HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hv hawa TPC washatoa zile placements 18 za Postal Clerk za Form IV holders..?
Kuna dogo wangu hapa alifanya Usaili wao
Akitaka kujua kama ameitwa au la....a-google tu jina lake.....
Jina lake litappear sehem mbalimbali alizowahi kuitwa serikalini
 
Umenikumbusha watu baadhi......oooh aiseee noumer sana
Humu kulikuwa hakuchoshi wala hakuboi kufuatilia minyukano mikali ya humu kioindi hicho
Kulikuwa na sisi sasa tulokuwa tunaikalia koooni PSRS kwa ucheleweshwaji na kufanya vijana wasubiri mno......sema ndo hvyo naona kunapoa poa[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Doooh naona mekumbushia kuhusu status
Web versus App
Selected versus not selected

Ilikuwa balaaaaaaa kipindi hiyo

Na sasa kuna ile not selected ya rangi nyekundu kabisa
Au selected ya kijani kijani
Tumepitia mengi aiseee
[emoji23][emoji23][emoji23]. Kweny wengi unapata kitu
 
Doooh naona mekumbushia kuhusu status
Web versus App
Selected versus not selected

Ilikuwa balaaaaaaa kipindi hiyo

Na sasa kuna ile not selected ya rangi nyekundu kabisa
Au selected ya kijani kijani
Tumepitia mengi aiseee
Hivi status ya kweny web baada ya usahili itabadilika kwenda neno SHORTLISTED au Inabaki selected for oral tu [emoji23][emoji23], wenye uzoefu wa status waje watuambie hapa Mbanti
 
Doooh naona mekumbushia kuhusu status
Web versus App
Selected versus not selected

Ilikuwa balaaaaaaa kipindi hiyo

Na sasa kuna ile not selected ya rangi nyekundu kabisa
Au selected ya kijani kijani
Tumepitia mengi aiseee
Tupe uzoefu kwako ilibadilika vipi ?
 
Mmh kwahyo vijana wakimaliza hata wiki moja ya oral waangalie App ,,wajue pakuweka maombi ya mrija wa asali Yes Today
Yes ndani ya wiki lakini pia hata ndani ya siku moja inabadilika, unaweza kufanya leo oral kesho kwenye app inakupa Feedback
Doooh naona mekumbushia kuhusu status
Web versus App
Selected versus not selected

Ilikuwa balaaaaaaa kipindi hiyo

Na sasa kuna ile not selected ya rangi nyekundu kabisa
Au selected ya kijani kijani
Tumepitia mengi aiseee
Dah ulikuwa mjadala wa moto sana 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…