HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Najaribu kuwaza mshahara wa mwalimu anaefundisha kiswahili SHULE ya mazoezi Chang'ombe ana mshahara Sawa na Afisa wa NECTA anaesimamia, utungaji,usahihishaji wa mitihani nchi nzima. Huyu mmoja yupo kwenye risk sana. Ila Kwa Tz Kila kitu kinawezekani
Kigezo kikubwa kwa mshahara ni kiwango cha elimu na aina ya taasisi iliyokuajiri.
 
ujue kuna muda uliokadiriwa kwa kujibu swali. Maswali yenyewe ni objective type na siyo subjective type kama vile essay. Hapo wanakusaidia kurudi kwenye mstari!!
 
ujue kuna muda uliokadiriwa kwa kujibu swali. Maswali yenyewe ni objective type na siyo subjective type kama vile essay. Hapo wanakusaidia kurudi kwenye mstari!!
Dogo anataka kuelezea nini, hahahaha! Pale kwenye panel Kuna mtaalamu mmoja au wawili wa hiyo fani kwahiyo wewe ukitaja tu watu wameshajua kama umewakanda au wamekukanda
 
Wakisema mention just mention
Wakisema describe ndo uelezeeee
Kukatishwa katishwa nadhan ni pale wamesema mention au outline halaf ww unataka kutiririka after all wanakuwa washaona walau una uelewa wa unachotaka kuelezea licha ya kwamba walikwambia mention
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…