HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kiongozi..review humu thread tulipiga sana kelele hilo swala tukasema ni kichaka cha kuingiza watoto wao...mwisho wa siku kunawengine humu walikuwa wanasema ni Sawa taarifa inawai kabla ya Utumishi update...
Cha msingi tunasema kama bahati yako ipo ni ipo tu Mungu hamtupi mpambanaji...


Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
900k kama additional sjakupata vyema hapo....au ndo anapata 980k ila kuna marupurupu humo out of hiyo?

Mkuu umelewa hapo? Sijajua wizara ya Elimu ila ndugu yangu ni Mchumi Wizara X kwa mwezi nje na mshahara anapewa 900k ya overtime, airtime nknk. So akijumlisha na mshahara anakua na 1.5m kwa mwezi.
 
[emoji56][emoji56][emoji56], so blessing.... kumbe wizara zinatofautiana.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app

Nahisi pia inadepend na kitengo kwa mhasibu sidhani kama anakwenda field. Ndugu yangu ni mchumi anazunguka sana mikoani kukagua Projects nknk. Kuna wizara ni nzuri kama ukipata wizara ya Afya, madini, Nishati [emoji847][emoji847]
 
Humu tukishaanza kujadili
kwa nini utumishi wanachelewa kuita watu kazini baada ya oral .
Kuna wakuu huwa wanaleta mada za mishahara na status...[emoji16][emoji16][emoji16]
Kama nilivyowah kuweka wazi kwamba hiki kilio haijalishi niwe nmelamba asali au la.......pa kusema tumeendelea kusema sana na pa kushauri nmefanya hivyo....
Isje onekana kama ni mbinu ya kuzima mjadala ilihali nmekuwa mdau wa title ya mada ya kwann psrs wanatumia muda mrefu kukamilisha mchakato
 
Humu tukishaanza kujadili
kwa nini utumishi wanachelewa kuita watu kazini baada ya oral .
Kuna wakuu huwa wanaleta mada za mishahara na status...😁😁😁
Wanazingua sana wanazima hii mada ambayo ndiyo ya msingi kabisa πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Humu tukishaanza kujadili
kwa nini utumishi wanachelewa kuita watu kazini baada ya oral .
Kuna wakuu huwa wanaleta mada za mishahara na status...😁😁😁
Jibu la kwann wanachelewa mpaka leo halijapatikana. Ndio maana watu wanapata relief kweny Status na wengine kujua mishahara basi cku inasonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…