Vizurii, hivi kumbe vyma vya wafanyakazi ni hiari?Makato ya kisheria hayana hiari!! Hata kama una mume/mke anayechangia NHIF, utalazimika pia kuchangia!!. Logic yake ni kwamba unachokatwa wewe siyo lazima ukitumie wewe, kitasaidia kutunisha mfuko wa NHIF ili uweze kuhudumia wateja wake vizuri!! NHIF iko kwenye kundi la makato ya kisheria, kama jinsi ilivyo hifadhi ya kijamii. Ila makato ya chama cha wafanyakazi ni hiari!!
Hapana mpka ujaze form ya kujiunga pia ata ukijiunga unaweza kijtoa kwa badaeVizurii, hivi kumbe vyma vya wafanyakazi ni hiari?
Na je wanaweza kukuunga wenyewe bila kujaza chochote?
zipo mkuu tembea uone, mimi mwenyewe ni shuhudaMuulize vizuri hiyo 900k anapataje, kakudanganya. Posho na vihela vipo plus wizi ila hakuna kitu inaitwa additional payment inayozidi mshahara.
Daa, kiongozi unazungumzia TANAPA ya juzi tu hapa, watu wanawaza application zilizofanyika mwaka janaKuna interview nyingi ziko pending..mfano TANAPA..wangeita hata watu kwenye usahili basi.
Hivyo ndivyo ninavyojua mimi piautakatwa tu
Acha basi [emoji28]Daa, kiongozi unazungumzia TANAPA ya juzi tu hapa, watu wanawaza application zilizofanyika mwaka jana
Kuna kada zinakatwa bila kujaza chochoteVizurii, hivi kumbe vyma vya wafanyakazi ni hiari?
Na je wanaweza kukuunga wenyewe bila kujaza chochote?
Hii nahisi ni walimu na CWTKuna kada zinakatwa bila kujaza chochote
Majizi na wanyonge waoHii nahisi ni walimu na CWT
Sheria hairuhusu kukuunga wenyewe japo waajiri wengine (kwa kumtumia HR) hurubuniwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi kwa kuwapa "kitu kikubwa" na kuwakata wafanyakazi bila ridhaa yao. Ikikutokea hivyo nashauri mtafute wakili wa kujitegemea na mwombe akuandikie barua ya kisheria ya kusimamisha makato hayo yaliyofanyika bila ridhaa yako. Japo barua unaweza kuiandika mwenyewe na ikafanikiwa, lakini wakili atakusaidia kuiweka vizuri zaidi. Binafsi wakati nafanya kazi nilisimamisha makato hayo na wakalazimika kunirudishia zile walizonikata bila ridhaa yangvu.Vizurii, hivi kumbe vyma vya wafanyakazi ni hiari?
Na je wanaweza kukuunga wenyewe bila kujaza chochote?
Ni kweli lakini unaweza kuyasimamisha makato hayo na ukarudishiwa pesa zote ulizokatwa. Kujiunga na chama cha wafanyakazi ni hiari kwa mujibu wa sheria. Ikikutokea tafuta msaada wa kisheria wakuandikie barua ya kusimamisha makato mara moja!!Kuna kada zinakatwa bila kujaza chochote
ishu nikuajiri waliopo database. na kuacha tangaza nafasi mpya kila siku kwa kada zile zile zenye waliofaulu usaili awali.Serikali imesema imepokea maoni ya wabunge kuhusu changamoto ya wingi wa waombaji wa ajira dhidi ya nafasi zilizotangazwa na inaifanyia kazi ili kuweza kupata ufumbuzi wa kudumu.
Ahadi hiyo imetolewa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalum, Ritta Kabati ambaye alitaka kufahamu kwanini Serikali isiangalie vigezo na kuepusha kuwaita waombaji wengi.
“Tunapotangaza matangazo matarajio yetu ni kwamba watajitokeza wengi ili waje kushindana kwa ajili ya kupata nafasi hizi,” amesema naibu waziri huku akisisitiza kwamba watakapokamilisha utaratibu mpya watatoa taarifa.
Aidha, akijibu swali la Mbunge Rashid Shangazi kuhusu wakazi wa vijijini kupata taarifa za ajira, Naibu waziri amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri kuhakikisha kuwa matangazo yote ya ajira yanakwenda hadi ofisi za kata na vijiji ili kumwezesha kila Mtanzania kupata fursa ya kuomba nafasi hizo na kuleta ushindani wa haki.
Kwa upande wake Mbunge wa Liwale, Zuberi Chauka amehoji kuwa Serikali haioni haja sasa ya kuwapa posho wale wanaoitwa kwenye usaili jijini Dodoma ili waweze kujikimu muda wote watakaokuwepo huko.
Akijibu swali hilo, Naibu Waziri amesema hilo ni suala la kibajeti na kisera hivyo Serikali itakapokuwa imejenga uwezo italifanyia kazi lakini kwa sasa ni jambo gumu.
Ameongeza kuwa Serikali inaufanyia kazi mfumo mzima wa ajira ili kutatua changamoto zinazojitokeza.
Si CWT tu, hata TUGHE na vyama vingine huwabambikizia waajiriwa wapya uanachama bila ridhaa yao. Wanajua kuwa waajiriwa wapya hawajui stahili zao na haki zao!! Huwatumia maafisa utumishi kufanya unyama huu. Maafisa utumishi walio wengi si watu wazuri, wanapenda sana rushwa!! Mishahara ya maafisa utumishi ni sawa tu na wengine (TSD D kwa kuanzia), lakini hujifanya kama mabosi fulani na kujiona wako juu ya wenzao wakati siyo!!! ni mgawanyo tu ya majukumu huyu haya na huyu mengine!!Hii nahisi ni walimu na CWT
Huu ni ujinga, mi nashangaa watu wanakaa kimya tuu, ndio maana wanadharaulika,Si CWT tu, hata TUGHE na vyama vingine huwabambikizia waajiriwa wapya uanachama bila ridhaa yao. Wanajua kuwa waajiriwa wapya hawajui stahili zao na haki zao!! Huwatumia maafisa utumishi kufanya unyama huu. Maafisa utumishi walio wengi si watu wazuri, wanapenda sana rushwa!! Mishahara ya maafisa utumishi ni sawa tu na wengine (TSD D kwa kuanzia), lakini hujifanya kama mabosi fulani na kujiona wako juu ya wenzao wakati siyo!!! ni mgawanyo tu ya majukumu huyu haya na huyu mengine!!
Wakati mwingine waajiriwa wapya wanaporipoti kwenye ajira mpya, hupewa fomu mbali mbali za kujaza, kati ya fomu wanazopewa zinakuwepo pia hizo za vyama vya wafanyakazi. Kwa kuwa afisa utumishi/HR huwa keshapewa "kitu kikubwa" na vyama husika, huwashinikiza waajiriwa wapya kuwa fomu zote ulizopewa lazima zijazwe. Kwa kutokuelewa utaratibu hujikuta wamejaza, ukizingatia kuwa bado wana furaha kubwa ya kuramba asali wanaona labda wakikataa wataweza kuikosa kazi. USHAURI: Ukipewa fomu ya chama cha wafanyakazi usiijaze, akikuuliza kwa nini hujaijaza mwambie nitafanya utafiti kwanza nijiunge na chama kipi cha wafanyakazi maana viko vingi, halafu mchezo utaishia hapo!!Kuna kada zinakatwa bila kujaza chochote
Sio poa mkuu.. ukifanya masihara unaweza kuondoka na take home ya 400,000.Si CWT tu, hata TUGHE na vyama vingine huwabambikizia waajiriwa wapya uanachama bila ridhaa yao. Wanajua kuwa waajiriwa wapya hawajui stahili zao na haki zao!! Huwatumia maafisa utumishi kufanya unyama huu. Maafisa utumishi walio wengi si watu wazuri, wanapenda sana rushwa!! Mishahara ya maafisa utumishi ni sawa tu na wengine (TSD D kwa kuanzia), lakini hujifanya kama mabosi fulani na kujiona wako juu ya wenzao wakati siyo!!! ni mgawanyo tu ya majukumu huyu haya na huyu mengine!!