mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Pesa wanayokata kimahesabu ni kubwa maana ni asilimia 2 (2%). Kwa kadri mshahara unapopanda na kiasi unachokatwa kinapanda!! Kwa kianzia mshahara cha 765,000/= makato ni sh 15,300/= kwa mwezi, kwa mwaka ni 183,600/=. kwa miaka kumi ni 1,836,000/=. Lakini pia mshahara hupanda kwa hiyo makato pia hupanda!! Kuna wakati utalazimika kukatwa zaidi ya 30,000/= kwa mwezi na muda utafika utakatwa 40,000/= kwa mwezi. Mpaka kuja kustaafu utakuwa umechangia mamilioni ya shilingi!! Kila mwaka wanakudanganyia kwa kupewa T/shirt ya 15,000/= wakati wa sikukuu ya mei mosi!!Huu ni ujinga, mi nashangaa watu wanakaa kimya tuu, ndio maana wanadharaulika,
Halafu Inshu sio hata hio pesa wanayokata eti kama ni kubwa, HAPANA..
Inshu ni kwa nini wakate kibabe? Ukiongezea huoni kikubwa unafaidika...
Kuna vyama vingine pia sio hao tuu.
Cha msingi ni kujitahidi kuzijua taratibu za ajira, haki na wajibu kabla ya kupata ajira!! Huko kuna uonevu sana, na waajiriwa wapya ni waoga sana ukizingatia kuwa wamesota sana kuja kufanikiwa kuramba asali!! Wengi huona labda wakihoji sana baadhi ya mambo wanayofsanyiwa wanaweza kupoteza ajira!! Ndio maana kuna baadhi ya waajiriwa hadi leo, posho ya kujikimu wanaisikia tu kwenye bomba japo wana miezi ya kutosha tu tangu waajiriwe, kitu ambacho si haki kabisa!!Sio poa mkuu.. ukifanya masihara unaweza kuondoka na take home ya 400,000.
Wafanyakazi wengi sana ni Waoga sababu ya njaa...Pesa wanayokata kimahesabu ni kubwa maana ni asilimia 2 (2%). Kwa kadri mshahara unapopanda na kiasi unachokatwa kinapanda!! Kwa kianzia mshahara cha 765,000/= makato ni sh 15,300/= kwa mwezi, kwa mwaka ni 183,600/=. kwa miaka kumi ni 1,836,000/=. Lakini pia mshahara hupanda kwa hiyo makato pia hupanda!! Kuna wakati utalazimika kukatwa zaidi ya 30,000/= kwa mwezi na muda utafika utakatwa 40,000/= kwa mwezi. Mpaka kuja kustaafu utakuwa umechangia mamilioni ya shilingi!! Kila mwaka wanakudanganyia kwa kupewa T/shirt ya 15,000/= wakati wa sikukuu ya mei mosi!!
Umeshajiandaa mkuu?.TRA nao sijui wamekwama wapi,blender alituaminisha mchakato ungechukua siku 30 lkn mwezi unakata kesho tarehe 27 na bado hawajashortlist Hadi Leo
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
😄😄😄😄au mwenye flash ya PDF yuko likizo..
Kumbuka walisema kuwa usipopewa taarifa ujue kuwa hujafanikiwa!! Hawa wanaweza kutoa taarifa kwa wale tu waliokuwa shortlisted kupitia akaunti zao walizofungua. Ni vizuri watu wakawa wanapitia pia akaunti zao na mtu akikuta huko taarifa zozote., ni vizuri akaziweka pia hapa jukwaani!! Kumbukeni huko ndiko kulikokuwa na interns kibao wengi wao ni watoto wa wakubwa (ambao hawawezi kabisa ushindani wa wazi!!)TRA nao sijui wamekwama wapi,blender alituaminisha mchakato ungechukua siku 30 lkn mwezi unakata kesho tarehe 27 na bado hawajashortlist Hadi Leo
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
😄😄😄😄
Kuchelewa kuita watu kazini baada ya oral kuendelea kuprove failures...itakua flash yenye pdf imepotea ..
Hahahaha sio kwa ukimya huu Sekretarieti ya Ajiraau mwenye flash ya PDF yuko likizo..
Kila la kheri mpambanaji.Najua HAIHUSIANI SAN ILA MSAADA
Nina degree ya COMMUNITY ECONOMIC DEVELOPMENT.
[emoji419]Naitafutia uzoefu ili badae niweze kuwa na chochote kwenye CV na kuombea Kazi.
Nisaidie hata Internship tu.
Location :KIGOMA ila kokote kama kuna uhakika mimi nitafika.
[emoji736]Msaada waungwana, mniinue
[emoji736]Taasisi
[emoji736]Social Work
[emoji736]Mashirika(NGOS)
kokote kule aisee
0628849189
Kwa bongo hii kila kitu kinawezekana!!itakua flash yenye pdf imepotea ..
Hivi idadi iliyokuwa inatakiwa na MDA & LGA haijafikiwa bado? Isije ikawa idadi ilishafika ndio maana hawachangamkii tena kutoa mkeka.Ni Jumatano Njema Wasaka Asali Dua zetu ni hawa PSRS washushe Pdf la nguvu. Cc Sekretarieti ya Ajira
Sheria ya ajira na mahusiano kazini itafute. Kifungu cha 72. Mwajiri anaweza kukata Agency fee Kwa mwajiriwa asiyemwanachama wa chama chochote bila ya idhini yake.Kuna kada zinakatwa bila kujaza chochote
Sheria za hovyo. Faken, Hii nchi inahitaji overhaul kwenye kila kitu!Sheria ya ajira na mahusiano kazini itafute. Kifungu cha 72. Mwajiri anaweza kukata Agency fee Kwa mwajiriwa asiyemwanachama wa chama chochote bila ya idhini yake.
Kwahiyo uwe na chama usiwe na chama wakiamua wanakukanda tu 2%
Hovyo kabisaSheria za hovyo. Faken, Hii nchi inahitaji overhaul kwenye kila kitu!