Ukicheki sheria zao Utumishi!!!Nafasi moja tra inagombewa na watu watatu, usaili wa mwenzi wa 3 walizivunja kanuni yao idadi ya kuita oral watu ilikuwa kubwa!! Kunakitu nyuma ya pazia kinaendelea....Najaribu kuhoji katika lile lundo la watu waliofnya usaili mwezi wa 3 au 4 mwaka huu je hakuna waliofaulu wakapewa kazi?nini maana ya database sasa?kwa hiyo ukiangalia kwa undani utakuta kuna uhuni mwingi ndani yake hii nchi yetu tunaijua vzr na sisi ndio wabongo wenyewe
Anatafutwa MTU Hapa.Hapo Mungu asimame tu....Kuna movie moja wanacheza mpaka uje kuelewa uwe umepitia cuba ...
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Huwa nakusomasoma unavyoandika ila leo mkuu umepuyanga,Mimi sikuomba TRA ila kuwalaumu unawaonea sana,idadi ya waombaji automaticaly ni kubwa mnooo,sasa hata mwezi haujaisha unalaumu hukumbuki kuwa hizo za Tra mwaka jana watu wameomba mwezi wa nne wakaitwa usaili mwezi wa 12 au ndio kujisahaulisha??au hujui huko utumishi kuna watu wana received nyingine miaka miwili na nyingine hadi miaka mitatu,tusiwalaumu bure kwa kitu ambacho hakihitaji lawama,unawatetea utumishi ilihali kuna watu wamefanya interview mwezi wa kwanza mpaka leo hamna placement na mmetulia,vingine fikiria kabla ya kuandika mkuu na sio kutoa lawama,tatizo la humu tulishatofautiana mawazo kwa baadhi yenu kuona kila kinachofanywa na utumishi ni sawa,tungekuwa pamoja kama uzi ulivyoanzishwa basi haya mambo yansingekuwepo maana badala ya kuungana kusema madhaifu yao tunakuwa tunaletewa ajenda mfu humu mara mtu anakuja kuzungumzia mshahara,mara marupurupu,mara njia za kupata hela kazini,mara hii inakuwa hv...leongo ni kupoteza mantiki ya uzi.Waswahili walisema kimya kingi kina mshindo mkuu!! Huu ukimya wa TRA unatia mashaka! Ni zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu deadline ya kufanya application zao ilipofika, lakini bado ni kimya!! Kama kuitisha tu interview inakuwa mbinde na hatua zingine itakuwaje? Inatia mashaka ukizingatia huko ndiko walikojaa interns ambao wengi wao walichomekwa huko kimchongo, wakisubiria favour fulani, na wengi wao hawana ubavu wa kupambana kihalali na wapiganaji walioko mitaani wanaosaka asali kwa udi na uvumba (they are combat ready!). Naona kama inasakwa mbinu ya kuwakwepa hawa wapiganaji walioko mitaani, ngoja tuendelee kusikilizia!!
Huu uzi umeharibiwa na mamlukiHuwa nakusomasoma unavyoandika ila leo mkuu umepuyanga,Mimi sikuomba TRA ila kuwalaumu unawaonea sana,idadi ya waombaji automaticaly ni kubwa mnooo,sasa hata mwezi haujaisha unalaumu hukumbuki kuwa hizo za Tra mwaka jana watu wameomba mwezi wa nne wakaitwa usaili mwezi wa 12 au ndio kujisahaulisha??au hujui huko utumishi kuna watu wana received nyingine miaka miwili na nyingine hadi miaka mitatu,tusiwalaumu bure kwa kitu ambacho hakihitaji lawama,unawatetea utumishi ilihali kuna watu wamefanya interview mwezi wa kwanza mpaka leo hamna placement na mmetulia,vingine fikiria kabla ya kuandika mkuu na sio kutoa lawama,tatizo la humu tulishatofautiana mawazo kwa baadhi yenu kuona kila kinachofanywa na utumishi ni sawa,tungekuwa pamoja kama uzi ulivyoanzishwa basi haya mambo yansingekuwepo maana badala ya kuungana kusema madhaifu yao tunakuwa tunaletewa ajenda mfu humu mara mtu anakuja kuzungumzia mshahara,mara marupurupu,mara njia za kupata hela kazini,mara hii inakuwa hv...leongo ni kupoteza mantiki ya uzi.
Kuna watu wakilamba asali wanaleta mada za hovyo humu sasa mtu anakuja kuuliza mshahara humu wakati anajua humu kwa wasaka asali maana yake nn,unakuta mtu analalamika makato wakati kuna mtu humu buku la vocha kwake ni zoezi na anauhitaji wa hiyo kazi na makato yake.leo mtu anakuja kuwasema TRA kuwa wamechelewa ilihali taasisi anayoitetea haijakamilisha michakato na ndio kiini cha kuundwa huu uzi
Na ajenda zao za kutupoteza reliniHuu uzi umeharibiwa na mamluki
Wazee wa VYAMA vya WAFANYAKAZIHuu uzi umeharibiwa na mamluki
Kweli mkuu ni Busara pia Mtu ukishalamba Asali ni bora kwenye huu uzi uje utoe mbinu za kuwakanda Utumishi, kutoa hongera kwa waliolamba Asali,kuwafariji wadau walioshindwa kwenda oral, ila za kusema mshahara mdogo au mkubwa au makato bora uende kwenye ule uzi wa viwango vya mshahara Serikalini. OVAHuwa nakusomasoma unavyoandika ila leo mkuu umepuyanga,Mimi sikuomba TRA ila kuwalaumu unawaonea sana,idadi ya waombaji automaticaly ni kubwa mnooo,sasa hata mwezi haujaisha unalaumu hukumbuki kuwa hizo za Tra mwaka jana watu wameomba mwezi wa nne wakaitwa usaili mwezi wa 12 au ndio kujisahaulisha??au hujui huko utumishi kuna watu wana received nyingine miaka miwili na nyingine hadi miaka mitatu,tusiwalaumu bure kwa kitu ambacho hakihitaji lawama,unawatetea utumishi ilihali kuna watu wamefanya interview mwezi wa kwanza mpaka leo hamna placement na mmetulia,vingine fikiria kabla ya kuandika mkuu na sio kutoa lawama,tatizo la humu tulishatofautiana mawazo kwa baadhi yenu kuona kila kinachofanywa na utumishi ni sawa,tungekuwa pamoja kama uzi ulivyoanzishwa basi haya mambo yansingekuwepo maana badala ya kuungana kusema madhaifu yao tunakuwa tunaletewa ajenda mfu humu mara mtu anakuja kuzungumzia mshahara,mara marupurupu,mara njia za kupata hela kazini,mara hii inakuwa hv...leongo ni kupoteza mantiki ya uzi.
Kuna watu wakilamba asali wanaleta mada za hovyo humu sasa mtu anakuja kuuliza mshahara humu wakati anajua humu kwa wasaka asali maana yake nn,unakuta mtu analalamika makato wakati kuna mtu humu buku la vocha kwake ni zoezi na anauhitaji wa hiyo kazi na makato yake.leo mtu anakuja kuwasema TRA kuwa wamechelewa ilihali taasisi anayoitetea haijakamilisha michakato na ndio kiini cha kuundwa huu uzi
Ukicheki sheria zao Utumishi!!!Nafasi moja tra inagombewa na watu watatu, usaili wa mwenzi wa 3 walizivunja kanuni yao idadi ya kuita oral watu ilikuwa kubwa!! Kunakitu nyuma ya pazia kinaendelea....
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu ni Busara pia Mtu ukishalamba Asali ni bora kwenye huu uzi uje utoe mbinu za kuwakanda Utumishi, kutoa hongera kwa waliolamba Asali,kuwafariji wadau walioshindwa kwenda oral, ila za kusema mshahara mdogo au mkubwa au makato bora uende kwenye ule uzi wa viwango vya mshahara Serikalini. OVA
Umeongea VIZURI sana MASTA.Kweli mkuu ni Busara pia Mtu ukishalamba Asali ni bora kwenye huu uzi uje utoe mbinu za kuwakanda Utumishi, kutoa hongera kwa waliolamba Asali,kuwafariji wadau walioshindwa kwenda oral, ila za kusema mshahara mdogo au mkubwa au makato bora uende kwenye ule uzi wa viwango vya mshahara Serikalini. OVA
Naongezea tu hapa ni marufuku mwanaume kukata tamaa na kulialia kila siku ,tupambane mpaka tone la mwishoUmeongea VIZURI sana MASTA.
Watu wakomae tu, hakuna kukata TAMAA.
Mimi nimeshuhudia KABISA madogo wa4 wakilamba asali..
1. Direct
2. Database
3. Database
4. Direct
Mmoja KALAMBA kule TUME ya MAHAKAMA..
Kikubwa ni KUMUOMBA MUNGU na HAKUNA KUKATA TAMAA
Kuwa na subira mkuu,Waswahili walisema kimya kingi kina mshindo mkuu!! Huu ukimya wa TRA unatia mashaka! Ni zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu deadline ya kufanya application zao ilipofika, lakini bado ni kimya!! Kama kuitisha tu interview inakuwa mbinde na hatua zingine itakuwaje? Inatia mashaka ukizingatia huko ndiko walikojaa interns ambao wengi wao walichomekwa huko kimchongo, wakisubiria favour fulani, na wengi wao hawana ubavu wa kupambana kihalali na wapiganaji walioko mitaani wanaosaka asali kwa udi na uvumba (they are combat ready!). Naona kama inasakwa mbinu ya kuwakwepa hawa wapiganaji walioko mitaani, ngoja tuendelee kusikilizia!!
Kuna watu wakilamba asali wanaleta mada za hovyo humu sasa mtu anakuja kuuliza mshahara humu wakati anajua humu kwa wasaka asali maana yake nn,unakuta mtu analalamika makato wakati kuna mtu humu buku la vocha kwake ni zoezi na anauhitaji wa hiyo kazi na makato yake
Level mishahara serikalini hili tatizo litaishaImefika hatua hadi Waziri wa FEDHA anasema watu wanasaka ajira SERIKALINI kwa KASI ya AJABU, Hadi wamefika mbali zaidi wanasema KABISA TARGET ni TRA...yani TRA aseeh VITA no KALI.
Naona nyie wenye degree mnakumbukana wenyewe ,wakati kuna form four,astashahada na stashahada kama wote huko maofisiniLevel mishahara serikalini hili tatizo litaisha
1. Degree zote za miàka 3 waanze na 1M
2. Degree za miàka 4 waanze na 1.2M
3. Degree za miàka 5 waanze na 1.4M
Mishahara iwe Sawa na scale iwe moja Kwa watumishi wa serikali bila kujali taasisi
Same toa laki 2 kutoka Kwa degree kushuka chiniNaona nyie wenye degree mnakumbukana wenyewe ,wakati kuna form four,astashahada na stashahada kama wote huko maofisini
Level mishahara serikalini hili tatizo litaisha
1. Degree zote za miàka 3 waanze na 1M
2. Degree za miàka 4 waanze na 1.2M
3. Degree za miàka 5 waanze na 1.4M
Mishahara iwe Sawa na scale iwe moja Kwa watumishi wa serikali bila kujali taasisi
Huyu unampa 2M na yule unampa laki 7 degree moja ya Accounts au HR Kila mtu atapambana aende kwenye asaliHii itasaidia hata ajira ziongezeke na kupunguza Mobility of labor
Upo sahihi..Level mishahara serikalini hili tatizo litaisha
1. Degree zote za miàka 3 waanze na 1M
2. Degree za miàka 4 waanze na 1.2M
3. Degree za miàka 5 waanze na 1.4M
Mishahara iwe Sawa na scale iwe moja Kwa watumishi wa serikali bila kujali taasisi
Tatizo LIMELALIA hapo..Huyu unampa 2M na yule unampa laki 7 degree moja ya Accounts au HR Kila mtu atapambana aende kwenye asali