Unachoandika kuhusu TRA ni kweli , nilihudhuria usahili mwezi wa tano utumishi Dodoma ,kuna chalii mmoja ni mfanyakazi wa PSRS tulimuuliza kuhusu hili suala la double standard iweje wengine wafanyiwe usahili na taasisi na wengine wakakandwe na psrs ?Lakn pia kwa hisia zngu sidhani kama kutakua na haki kwenye hizi ajira za TRA kama mchakato ungeendeshwa na psrs,mabosi wanaumia kuona vijana wao wanakandwa kila siku pale psrs sasa ni wakati wa kufnya jambo lao
Huyu unampa 2M na yule unampa laki 7 degree moja ya Accounts au HR Kila mtu atapambana aende kwenye asali
Unachoandika kuhusu TRA ni kweli , nilihudhuria usahili mwezi wa tano utumishi Dodoma ,kuna chalii mmoja ni mfanyakazi wa PSRS tulimuuliza kuhusu hili suala la double standard iweje wengine wafanyiwe usahili na taasisi na wengine wakakandwe na psrs ?
Akaniambia taasisi hasa TRA ,wale kabisa wanachukia kuona vijana wao wa internship wanashikishwa ukuta kila usahili ,yaani rate Yao ya kutoboa sahili za pale Utumishi ni ndogo mno hata asilimia kumi alisema hadhani kama inafika so aka conclude suala la wao kuomba kibali kufanyishwa usahili wenyewe halihusiani na kucheleweshwa kwa mchakato wa ajira bali ni fedheha ya vimada wao na ndugu zao waliowaweka kama interns hapo TRA kuzipiga kwenye sahili ,ajira wanazisikilizia kwenye bomba la Dawasa huku vijana wakitaa wakipeleka moto kwenye sahili, yaani wapambanaji wa kitaa ni kama jeshi yatima (Wagner ) na interns WA TRA ni jeshi la Ukraine ,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Degree miaka 3, 4 au 5 ni maamuzi tu. Au kuna thamani tofauti ya Degree hizo?Level mishahara serikalini hili tatizo litaisha
1. Degree zote za miàka 3 waanze na 1M
2. Degree za miàka 4 waanze na 1.2M
3. Degree za miàka 5 waanze na 1.4M
Mishahara iwe Sawa na scale iwe moja Kwa watumishi wa serikali bila kujali taasisi
Yanini ujitese kwenda Taasisi zenye kazi nyingi na mshahara unafanana? Mi ningachagua zangu halmashauri fresh kabisaaaa.Mshahara ungekua ni sawa idadi ya waombaji ingekua ndogo sana.
Ankoli 😂, don't worry, kijiti kupokezana,Lakn pia kwa hisia zngu sidhani kama kutakua na haki kwenye hizi ajira za TRA kama mchakato ungeendeshwa na psrs,mabosi wanaumia kuona vijana wao wanakandwa kila siku pale psrs sasa ni wakati wa kufnya jambo lao
Kitaa watu wako nondo balaa ukimjulisha na njaa basi material yanashuka tuUnachoandika kuhusu TRA ni kweli , nilihudhuria usahili mwezi wa tano utumishi Dodoma ,kuna chalii mmoja ni mfanyakazi wa PSRS tulimuuliza kuhusu hili suala la double standard iweje wengine wafanyiwe usahili na taasisi na wengine wakakandwe na psrs ?
Akaniambia taasisi hasa TRA ,wale kabisa wanachukia kuona vijana wao wa internship wanashikishwa ukuta kila usahili ,yaani rate Yao ya kutoboa sahili za pale Utumishi ni ndogo mno hata asilimia kumi alisema hadhani kama inafika so aka conclude suala la wao kuomba kibali kufanyishwa usahili wenyewe halihusiani na kucheleweshwa kwa mchakato wa ajira bali ni fedheha ya vimada wao na ndugu zao waliowaweka kama interns hapo TRA kuangukia pua kwenye sahili ,ajira wanazisikilizia kwenye bomba la Dawasa huku vijana wakitaa wakipeleka moto kwenye sahili, yaani wapambanaji wa kitaa ni kama jeshi yatima (Wagner ) na interns WA TRA ni jeshi la Ukraine ,😄😄😄😄😄😄😄
Baba kanitumaMimi huwa siamini kwenye double standard kabisa na watu wataprove ninachokisema kwenye huu usahili wa TRA ,wewe subiri .
Kama serikali imeshindwa kutatua changamoto za psrs basi ni taasisi basi interviews zote zifanywe na wao ,utumishi /psrs wawe wasimamizi lakini hii double standard sidhani kama ni sawa , inatengenezwa mianya ya kupitisha vilaza kinyemela
TRA usiwafananushe na psrs, Kila taasisi inafanya saili Kwa stail yake ,msitupangie, utaratibu wa kufanya saili.Raia wanasubiria kupima TRA vs PSRS nani atakua FAIR ...hii mechi inasubiriwa kwa hamu sana MATOKEO yake. Maana VITA ni KALI..
Taasisi ZIRUHUSIWE au ZIPIGWE NDOIGE kama KAWA.
Ukweli usiopingika huu japo ni mchungu, utumishi sasa ni ama wabadilike au wakubali tu wameshindwa kusimamia zoezi la kusajiri taasisi ziendeshe sailiIla ukweli mimi nasema ya moyoni kabisa.
Utumishi wanaelemewa na usahili inaonekana nguvu kazi ni ndogo wanashindwa kuendesha usaili kwa wakati. Napenda sana kuona utumishi wakiendelea na usaili ila wanazidiwa sana na hii itapelekea taasisi nyingi sana kuomba kibali cha kuajiri wenyewe.
Taasisi mpaka ikatangaza nafasi za kazi kutumia utumishi inamaana ilishapata kibali na hao watu wanahitajika haraka kujaza nafasi.
Nasema hivo kwasababu gani kuna taasisi ambazo zimetangaza kazi kupitia utumishi ndani ya mwezi kila kitu kikawa kimekamilika, kuanzia tangazo, written mpaka oral. Mfano mzuri bunge walisimamia wenyewe kuanzia written mpaka Oral na kila kitu kila chap.
Angalia jinsi usaili wa utumishi unavyokwenda slow, wakitoa tangazo kuja kufanya written wakijitahidi sana mwezi na nusu kuja kutoa placements miez 3. Angalia zile za LGA/MDA mpaka sasa kuna post hawajapangiwa, tunakwenda mwaka 2 huu. Siamini taasisi ihitaji watu afu wasubiri mpaka miez 3 siko kweli. Kuna ka uzembe utumishi, wakubali wanazidiwa.
Labda mnambie kibali cha kuajiri anatoa utumishi au serikali? Na hizi taasisi wanapewa kibali kutoka serikalini au kutoka utumishi??
Jambo lingine, utumishi toeni matokeo ya Oral kama ni PASS/FAIL mtu aone kwenye status yake. Kama mtu yuko kwenye database bhs ajue, kama mnatoa matokeo ya watu 2,000 mtashindwaje kutoa ya Oral??. Tuko kwenye dunia ya uwazi kwa sasa baada ya Oral wekeni matokeo mtu aone status yake. Mtu ana haki ya kujua matokeo yake ya Oral, mnaficha ficha nini?? Acheni uhuni.
Utumishi mjitahidi baada ya mkishatoa tangazo ndani ya mwezi kila kitu kiwe kimekamilika.
makofia360 wakilisha huu👆👆 ujumbe kwenye kile kikao cha mchongoCHONDE CHONDE PSRS BILA KUBORESHA HILI ENEO LA STATUS BAADA YA ORAL WATU WAJUE WALICHOPATA...MTAKUA MNATENGENEZA WAGONJWA WENGI SANA WA MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA.
TUNAOMBA MBORESHE HAPA...STRESS IMELALIA HAPA.
Ajira ni coordinationWeakness ya utumishi ni kujivuta vuta kwenye kutoa placement ,hili ni tatizo sugu ,sijui wanafail wapi aisee
Upungufu wa watumishi au uhuni ama vyote viwiliWeakness ya utumishi ni kujivuta vuta kwenye kutoa placement ,hili ni tatizo sugu ,sijui wanafail wapi aisee
Wadau Kuna group lolote either telegram, Whatsapp, Facebook ambalo wanapost maswali ya written interview za utumishi?
Huyo Mzee ni WAKALA, ana vuta upande wake, mwambieni kijiti kupokezanaHata utumish walikua wanaweka watu wao chief. Nepotism ipo tu
Vyote viwili Kwa pamoja 👆Upungufu wa watumishi au uhuni ama vyote viwili