mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
Pole Kwa tatizo lako.Wapigie simu Kuanzia kesho waeleze Hilo tatizo lako.MIMI NIMEKOSA ETI WANANAMBIA VYETI HAVIKUHAKIKIWA NA KUPIGWA MUHURI MWANASHERIA AU MAHAKAMANI CHA AJABU VYOTE VYOTE NIMEVYOWEKA VINA MUHURI WA MWANASHERIA NA HUYO HUYO MWANASHERIA ALITUPIGIA MUHURI WATU TULIKUA KAMA 20 HIVI KILA MTU NA VYETI VYAKE CHA AJABU WOTE WAMEPATA MIMI TU NDO NIMEKOSA
Hahahaha kaka nipo salama Mungu ni mwema.Hongera sana na wewe Database naona ilijibu.Mimi nilishaingia kwenye Utumishi wa Umma hiyo ya November...Natumai jamaa yetu huyu atakuwa ameelewa cha kufanya!
Ajitahidi mapema kesho awataarifu tatizo lake litatuliwe huenda nafasi mojawapo ni ya kwake!
Upo powa lkn kijana??
Nakumbuka mbiringe za kutaka kujua hatma ya 28/11.....
Status na struggles zetu humu ndani
Ilikuwa balaaaaa
Nliona unamwaga ushuhuda hapa....Hahahaha kaka nipo salama Mungu ni mwema.Hongera sana na wewe Database naona ilijibu.Mimi nilishaingia kwenye Utumishi wa Umma hiyo ya November...
Hakika kaka.Kikubwa ni Imani tu.Na kupambana.Sasa serikali ya Dkt.Samia Kwa kweli inamwaga Ajira.Vijana ni kujitahidi kuhudhuria saili tu.Mungu atatenda.Nliona unamwaga ushuhuda hapa....
Jambo jema aiseeee.
Tuendelee kuwatia moyo wenzetu...waendeleze mapambano na wasikate tamaaa
Hahahaha kaka nipo salama Mungu ni mwema.Hongera sana na wewe Database naona ilijibu.Mimi nilishaingia kwenye Utumishi wa Umma hiyo ya November...
Ewaaaaaa,tulipata mashaka kwa ukimya mkaliiiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nipige ramli kidogo
kesho jtatu pdf ni 98%
jnn 89%
jtano 100%
nilikua bize kufuatiali hadidhi ya mji uliozama baharini huko kilwa(rapta) ila nipo wakuu. na bado sijalamba asali
Sawa, mzee wa ramli umerudinipige ramli kidogo
kesho jtatu pdf ni 98%
jnn 89%
jtano 100%
nilikua bize kufuatiali hadidhi ya mji uliozama baharini huko kilwa(rapta) ila nipo wakuu. na bado sijalamba asali
Karibu sana Kiongozi.....nipige ramli kidogo
kesho jtatu pdf ni 98%
jnn 89%
jtano 100%
nilikua bize kufuatiali hadidhi ya mji uliozama baharini huko kilwa(rapta) ila nipo wakuu. na bado sijalamba asali
Hahaaa mzee wa mapidiefuu na malonja ,kimya sana humu sikuhizi vipi ? ,wadau wengi waliokuwa malegend wa ujobless washalamba asali inaonekana ,maana naona ID ngeni tu ,wamebaki newcomers ,😄😄😄😄 , mfwende ushalamba asali nini ?Ahsanteni ndugu zangu, imani itatuponya
Kila nikiona comments zako nasikia kufarijika pamoja na makofianipige ramli kidogo
kesho jtatu pdf ni 98%
jnn 89%
jtano 100%
nilikua bize kufuatiali hadidhi ya mji uliozama baharini huko kilwa(rapta) ila nipo wakuu. na bado sijalamba asali
sijafikiwa bado mkuuHahaaa mzee wa mapidiefuu na malonja ,kimya sana humu sikuhizi vipi ? ,wadau wengi waliokuwa malegend wa ujobless washalamba asali inaonekana ,maana naona ID ngeni tu ,wamebaki newcomers ,😄😄😄😄 , mfwende ushalamba asali nini ?
MUNGU atuongoze ndugu zangu , nafahamu hali ya mtaa ilivo taiti na bado wazazi wanatugemea ,michongo iwe ajira ama haso ipo siku zitakaa fresh there is no room to give up champsKila nikiona comments zako nasikia kufarijika pamoja na makofia
Amina! mkuu🙏MUNGU atuongoze ndugu zangu , nafahamu hali ya mtaa ilivo taiti na bado wazazi wanatugemea ,michongo iwe ajira ama haso ipo siku zitakaa fresh there is no room to give up champs
Pamoja sana mfwendeMUNGU atuongoze ndugu zangu , nafahamu hali ya mtaa ilivo taiti na bado wazazi wanatugemea ,michongo iwe ajira ama haso ipo siku zitakaa fresh there is no room to give up champs
Amen brotherMUNGU atuongoze ndugu zangu , nafahamu hali ya mtaa ilivo taiti na bado wazazi wanatugemea ,michongo iwe ajira ama haso ipo siku zitakaa fresh there is no room to give up champs
Jiridhishe! na isiwe umeupload photocopy ya nakala iliyopigwa muhuri!!Mkuu vyote vina muhuri
Hapo Dar wana ofisi yao pia.Nipo dsm mkuu