mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Je una uhakika walishawahi kuitisha usaili hapo awali? Kama ni hivyo basi aidha walifeli wote au waliofaulu hawakutosha kuziba nafasi zilizokuwepo au zimepatikana nafasi zingine za ziada.Hii inamaanisha walifeli ama?View attachment 2675395
"Re-Advertised"Je una uhakika walishawahi kuitisha usaili hapo awali? Kama ni hivyo basi aidha walifeli wote au waliofaulu hawakutosha kuziba nafasi zilizokuwepo au zimepatikana nafasi zingine za ziada.
Niliwaza upo kichaka miba sasaiv unaimba shumbwela.nipige ramli kidogo
kesho jtatu pdf ni 98%
jnn 89%
jtano 100%
nilikua bize kufuatiali hadidhi ya mji uliozama baharini huko kilwa(rapta) ila nipo wakuu. na bado sijalamba asali
Re-advertised maana yake ni kuwa nafasi inatangazwa tena baada ya kuwa ikishatangazwa awali. Inawezekana kabisa nafasi ikatangazwa na usaili usifanyike aidha kwa sababu hawakupatikana waombaji wenye sifa zinazotakiwa au waombaji waliojitokeza ni wachache sana kulingana na nafasi zilizopo, hivyo kuwa na uwezekano mkubwa wa usaili kutokufanyika. Ndiyo maana nikauliza je usaili nulifanyika? Kama usaili ulifanyika basi wasailiwa hawakufaulu hivyo nafasi zikabaki wazi!"Re-Advertised"
Mungu atabless ,tuvute Subirasijafikiwa bado mkuu
Kwan nini ina-uploadiwa??Jiridhishe! na isiwe umeupload photocopy ya nakala iliyopigwa muhuri!!
Ni kweli, una-upload photocopy iliyopigwa muhuri. Ila kuna watu hufanya makosa, photocopy iliyopigwa muhuri wanai-photocopy tena. Halafu hiyo photocopy inayotokea ndiyo wana-upload!! kwa hiyo muhuri unaonekana ni photocopy. Muhuri unapaswa uonekane original.Kwan nini ina-uploadiwa??
Si photocopy ilopigwa muhuri?
Duh ni hatariView attachment 2676995
Hawa jamaa naona wanataka watu wenye umri mkubwa waendelee kulamba asali, uzoefu wa miaka 13?
Hizo ni nafasi za Seniors mkuu.View attachment 2676995
Hawa jamaa naona wanataka watu wenye umri mkubwa waendelee kulamba asali, uzoefu wa miaka 13?
kabisa ayseee maana hali ni tete kifurushi cha subira kinakaribia kuisha.Mkuu makofia360 sio vibaya ukapita hapa jukwani japo tu kusalimia wadau....
Zile Jambo jambooo.... Hawayuduin.... za mara moja moja zinatutosha mzee
Soma Tangazo vizurii mkuu sio za ku apply hizo ni za kuhamia kwa wale wapo kweny mrija.View attachment 2676995
Hawa jamaa naona wanataka watu wenye umri mkubwa waendelee kulamba asali, uzoefu wa miaka 13?
Aisee mikeka imekwamaa kitamboo sana😫Mkuu makofia360 sio vibaya ukapita hapa jukwani japo tu kusalimia wadau....
Zile Jambo jambooo.... Hawayuduin.... za mara moja moja zinatutosha mzee
lea kuwapigia usikate tamaaJamani kuna mtu anaweza kunipa msaada wa afisa utumishi yoyote wa Dodoma?Nimechoka nimepiga simu zao tokea asubuhi hazipokelewi......Nyingine napiga hazipatikani, nimeenda ofisi yao ya pale Kivukoni sijapata msaada wowote ule zaidi ya kujibiwa kuwa hawapo wamehamia dodoma na anayehusika kwa hapo kivukoni nae kasafiri yupo mkoani so hakuna huduma
Nimechoka sana nimepoteza nauli muda na kila kitu simu hawapokei, sms hawajibu, emails hazijibiwi, Dm hawajibu! sasa nafanyaje jamani mimi na shida yangu inatakiwa itatuliwe kwa haraka sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ndivyo walivyo endelea kupiga watapokea ndugu usichoke ikiwezekana uwe na simu 2 au 3 ikikata hii unaunga( unapig) na nyingine watapokea tyuu.Jamani kuna mtu anaweza kunipa msaada wa afisa utumishi yoyote wa Dodoma?Nimechoka nimepiga simu zao tokea asubuhi hazipokelewi......Nyingine napiga hazipatikani, nimeenda ofisi yao ya pale Kivukoni sijapata msaada wowote ule zaidi ya kujibiwa kuwa hawapo wamehamia dodoma na anayehusika kwa hapo kivukoni nae kasafiri yupo mkoani so hakuna huduma
Nimechoka sana nimepoteza nauli muda na kila kitu simu hawapokei, sms hawajibu, emails hazijibiwi, Dm hawajibu! sasa nafanyaje jamani mimi na shida yangu inatakiwa itatuliwe kwa haraka sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Usichoke...endelea kupiga hadi watapokea..Jamani kuna mtu anaweza kunipa msaada wa afisa utumishi yoyote wa Dodoma?Nimechoka nimepiga simu zao tokea asubuhi hazipokelewi......Nyingine napiga hazipatikani, nimeenda ofisi yao ya pale Kivukoni sijapata msaada wowote ule zaidi ya kujibiwa kuwa hawapo wamehamia dodoma na anayehusika kwa hapo kivukoni nae kasafiri yupo mkoani so hakuna huduma