mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Ya june 6,hii kitamboMambo tayari huko PSRS ni mwendo wa kuramba asali japo ka-pdf ni kadogo sana, page ya kwanza, msisahau kuvaa barakoa,
Mkuu mbingunikwetu nani kashika simu yako leo ?Tunasubiri shuhuda za kuramba asali na kuainisha kama ni direct au data base ili kuendelea kutiana moyo. Kumbukeni kwenda kuwa watumishi wema!! Kamwe msiwasahau wenzenu wanaoendelea kusubiri nao kuramba asali!!
Mzee vipi tena !Mambo tayari huko PSRS ni mwendo wa kuramba asali japo ka-pdf ni kadogo sana, page ya kwanza, msisahau kuvaa barakoa,
Mmesoma vizuri alichoandika Khantwe..?!Una ushahidi na ulichokiandika hapo kuwa Halmashauri kuna njaa kuliko jobless, hebu sometimes tuwe serious na tunachoandika, fanya tafiti kabla huja andika au kusema jambo, kama kungekuwa na njaa hiyo unayoisema si pansingekuwa na watumishi huko?
Mwehu mwingine huyu hapaUna ushahidi na ulichokiandika hapo kuwa Halmashauri kuna njaa kuliko jobless, hebu sometimes tuwe serious na tunachoandika, fanya tafiti kabla huja andika au kusema jambo, kama kungekuwa na njaa hiyo unayoisema si pansingekuwa na watumishi huko?
Ndugu yangu wee...hizi stress za ujobless zinatutesa sana Mungu atunusuruMmesoma vizuri alichoandika Khantwe..?!
Ndugu yangu wee...hizi stress za ujobless zinatutesa sana Mungu atunusuru
Kujua kuwa mimi ni jobless au sio jobless inakuongezea nini? Pole kama nilikunanga japo sikumbuki ni wapi ila nadhani ulistahili...kama hawa wenzio kwenye huu uziAfu nilijuaga wewe sio jobless Kuna nyuzi ulininanga vby.
Kujua kuwa mimi ni jobless au sio jobless inakuongezea nini? Pole kama nilikunanga japo sikumbuki ni wapi ila nadhani ulistahili...kama hawa wenzio kwenye huu uzi
Mwaka mpya wa fedha na mambo mapya[emoji3]View attachment 2680006
Naoona wameondoa matangazo ya zamani, sasa mwezi huu tujiandae na mvua hapo itakuwa ni bandika bandua....
nzuri kabisa umepotea sana we jamaa. Kulikoni???habari za masiku wanajamvi wenzangu
Pdf iko wapNaona wametoa majina ya nyongeza kwa wale maafisa maendeleo wa jamii
Tangazo la Muhas tarehe 20/6 wameondoa wameacha Hilo la 6/6View attachment 2680006
Naoona wameondoa matangazo ya zamani, sasa mwezi huu tujiandae na mvua hapo itakuwa ni bandika bandua....
Pdf iko wap