Champion number one
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 1,560
- 4,016
Mungu amtangulie wale watu hawana masihara ohoo.hhhhhhhhhhhhhh asije akawa kajitafutia hasara kwa gharama πππ(jokes)
hhhhhhhhhhhhhh asije akawa kajitafutia hasara kwa gharama πππ(jokes)
Afadhali jobless weng wataweza kuhudhriaZinafanyika kwa Kanda.
Dah!! Samahani sana!! Sikusoma vizuri mwezi, nilipoona tarehe 6 na matangazo yote ya placement yameondolewa limebaki hilo moja NIKADHANI ni ni tarehe 6 ya mwezi wa saba!! kumbe ni tarehe 6 ya mwezi wa sita!! Unajua nina hamu kubwa sana kuona vijana wanaramba asali hata kusababisha kukosa umakini!! Sorry!Mkuu mbingunikwetu nani kashika simu yako leo ?
Mbona umeposti tangazo la zamani au ndio umeamua kutufanyia MASAPRAIZI (Unatesti mioyo yetu)
Hongera sana!! Jiandae vizuri. Hili jukwaa ni zuri sana maana kuna watu humu wa kila sekta na wako tayari kusaidia.FINALLY....NAMI NIMO DAAAAH ASANTE MUNGU.....ASANTENI SANA WANAJAMIIFORUM....[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Nipo mkuu, sijapoteanzuri kabisa umepotea sana we jamaa. Kulikoni???
π π π π
Kuvumilia haya mateso yao,ni kipaji kinachojitegemea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa PSRS walipotufikisha unaweza kujikuta mpaka unawaota ukilala kisa placements tu aiseee ni hatari[emoji23][emoji848]
Daah yani kila dakika ni ku reload page yao na kuja kuchungulia huku jf kama kuna taarifa ya placement daah wametuwezaπππKuvumilia haya mateso yao,ni kipaji kinachojitegemea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukutane kuanzia mwezi ujao nazazniNi siku nyingine wadau kumekucha.
Wazee wa ubashiri wa PDF mnasemaje watu wasubiri J3 au Maana leo ni sikukuu,kesho jmoc.
Nadhani tuweke matarajio yetu kuanzia mwezi wa tisa huko.Tukutane kuanzia mwezi ujao nazazni
Cha maana ni kuwa na kitu cha kufanya wakati unasubiri!! Vijana kipindi hiki cha mpito msichague kazi!! chote chote kinachokupa kipato cha halali fanya!! Hii itakupa uwezo wa kuhudhuria saili zinapojitokeza.Nadhani tuweke matarajio yetu kuanzia mwezi wa tisa huko.
Wanatesa watu tu na database haitumiki ipasavyo Bora ifutwe.Cha maana ni kuwa na kitu cha kufanya wakati unasubiri!! Vijana kipindi hiki cha mpito msichague kazi!! chote chote kinachokupa kipato cha halali fanya!! Hii itakupa uwezo wa kuhudhuria saili zinapojitokeza. Na unapohudhuria saili nyingi, unajiongezea wigo pia kwenye data base!! Usitegemee data base ya interview moja tu!! Wakati huo ukiwa unajiandaa na mikando ya PSRS!! Tafuta "received" as many as possible, and attend interviews as many as possible!! For sure God will reward such endless efforts. I keep praying for all of you!!
Relax mkuu mda wako unakujaWanatesa watu tu na database haitumiki ipasavyo Bora ifutwe.
Hapa utashangaa wanatoa kipdf cha kuzugia ili kuwapotezea watu mda.
Na wewe ni wakala wa psrs tushakujua unakuja huku kuhamisha mada na kuwatetea kwendraaaa