Tutegemee Labda Database Miezi hii ya Mwanzo wa Mwaka inaeza ikatema sana maana Taasisi nying zitaajiri.Wanatesa watu tu na database haitumiki ipasavyo Bora ifutwe.
Hapa utashangaa wanatoa kipdf cha kuzugia ili kuwapotezea watu mda.
Na wewe ni wakala wa psrs tushakujua unakuja huku kuhamisha mada na kuwatetea kwendraaaa
Kila la kheri kwenye hatua ya mtanange, hakikisha unakamia shoo kadri ya nguvu zakoFINALLY....NAMI NIMO DAAAAH ASANTE MUNGU.....ASANTENI SANA WANAJAMIIFORUM....[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Au watu hawajaendaaaa kuwahoji[emoji1787][emoji1787]Kwa wadau waliofanikiwa kuhudhuria maonyesho ya Leo 7/7 sekretariati ya Ajira any update
Itakuwa maana no any updates kuhusiana na hiliAu watu hawajaendaaaa kuwahoji[emoji1787][emoji1787]
Mtaalam Mwanamaji vip ulifanikiwa kwenda Sabasaba??Panapo majaaliwa Ijumaa nitakwenda hapo na swali nitalifikisha.
Kweli aseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wamebakisha kaPLACEMENT kakulinda GOLI....yaani zote zimeshuhswaaaa...kamebaki 06/06/2023..
Wakatoe TU na KENYEWE bora pabaki EMPTY tu, tujue MOJA
Sasa hivi ni kujitahidi tu kuacha kuwafikiria sana watatoa placement siku watakayoamua wenyeweAisee kimya kimekuwa kingi sana hawa jamaa wanataka watu wafe kwa stress za kusubiria placement.
Sasa hivi ni kujitahidi tu kuacha kuwafikiria sana watatoa placement siku watakayoamua wenyewe
Hawajui tu,,mimi hata kusema nikafanye interview nyingine naona ni mtihani mwisho unajikuta umefanya interview nyingi zisizokuwa na majibu na umetumia gharama kwenda , wangekuwa wanatusaidia kutupa majibu mapema ili hata ukienda kufanya interview nyingine unajua iliyopita ulishapata majibuNi rahisi ila hzi side hustling za vijana zinakatisha tamaa sana unakuta investmest ya muda kubwa sana then output ni ndogo. Hapo Vijana lazima tukumbuke miaka tuliyochoma shule na bado giza totorooo
Hawajui tu,,mimi hata kusema nikafanye interview nyingine naona ni mtihani mwisho unajikuta umefanya interview nyingi zisizokuwa na majibu na umetumia gharama kwenda , wangekuwa wanatusaidia kutupa majibu mapema ili hata ukienda kufanya interview nyingine unajua iliyopita ulishapata majibu
Ndio maana mm interviews zikiwa mbali sana na pesa yangu ya kuunga unga naona afadhali niendelee na mishe mishe zangu tu mambo ya kuchoma nauli then unarudi stress kibao za kukosa michongo ya pesa plus maana mm interviews zikiwa mbali sana na pesa yangu ya kuunga unga naona afadhali niendelee na mishe mishe zangu tu mambo ya kuchoma nauli then unarudi stress kibao za kukosa michongo ya pesa plus psrs nani anataka..
Lakini acha tuendelee kuwasikilizia watatoa tu placement kuna siku.Ndio maana mm interviews zikiwa mbali sana na pesa yangu ya kuunga unga naona afadhali niendelee na mishe mishe zangu tu mambo ya kuchoma nauli then unarudi stress kibao za kukosa michongo ya pesa plus psrs nani anataka..
π π πCCM mbele kwa mbele πππππ