ThugMaster
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 1,601
- 2,275
Duu alikua hajakusanya paper lenyewe? Huyo amekandwa kabla ya matokeo yenyewe.Kuna Dogo nasikia CIVE jana WAMEMKANDA, baada ya kumaliza pepa wapo kwenye harakati za kuruhusiwa kutoka, akawa anapiga PICHA ndani wakati wamekaa wanasubiria maelekezo ya mwisho,
Kuna MKANDAJI wa KIKE akawa anamuona , SO AS WE SPEAK ,amekua DISQUALIFIED.
Nina 72% na naitwa kama kawa japokuwa siku yangu ya kulamba asali bado haijafikaWadau kama umecertify vyeti vizuri na umejaza details vizuri 96%. Umeomba kazi ukapata receive. Unaweza ukakosa kuitwa Written?
Mwenye uzoefu na hii
Dogo mapepe, wameingia tu ndani wakaambiwa simu zenu mzizime, mtaziwasha mara TU baada ya kutoka Mlangoni, humu ndani hatutaki mtu afanye matumizi ya simu, wamekusanya mitihani, yeye baada tu ya kuchukua BEGI, kafungua kaanza kupiga PICHA ukumbi mzima, akiwa ndani hawajaruhusiwa KUSIMAMA wala KUTOKA..Yeye yupo BIZE na Uchukuaji KUMBUKUMBU.Duu alikua hajakusanya paper lenyewe? Huyo amekandwa kabla ya matokeo yenyewe.
Acha wamkande siku nyingine ataacha show off za kishambaDogo mapepe, wameingia tu ndani wakaambiwa simu zenu mzizime, mtaziwasha mara TU baada ya kutoka Mlangoni, humu ndani hatutaki mtu afanye matumizi ya simu, wamekusanya mitihani, yeye baada tu ya kuchukua BEGI, kafungua kaanza kupiga PICHA ukumbi mzima, akiwa ndani hawajaruhusiwa KUSIMAMA wala KUTOKA..Yeye yupo BIZE na Uchukuaji KUMBUKUMBU.
Yani huyo alitaka kwenda kuuzisha sura ma jobless.Dogo mapepe, wameingia tu ndani wakaambiwa simu zenu mzizime, mtaziwasha mara TU baada ya kutoka Mlangoni, humu ndani hatutaki mtu afanye matumizi ya simu, wamekusanya mitihani, yeye baada tu ya kuchukua BEGI, kafungua kaanza kupiga PICHA ukumbi mzima, akiwa ndani hawajaruhusiwa KUSIMAMA wala KUTOKA..Yeye yupo BIZE na Uchukuaji KUMBUKUMBU.
Hakika Masta, nasikia walimfata kwa sherehe WAKANDAJI, wakamwambia wewe TUNAKUBLACK LIST...kwanini unatupiga PICHA tukiwa tunatekeleza MAJUKUMU yetu? Umesoma vizuri vitu ambavyo HAVIRUHUSIWI HUMU?Yani huyo alitaka kwenda kuuzisha sura ma jobless.
😂😂😂😂😂uhalisia kabisaSHIDA ipo kwenye MATOKEO, unajua mtu ukiwa una HELA njaa haiumi sana, Mtu akijua kafaulu hata ukimwambia kazi ataanza JANUARY atakua na amani na kuendelea na MISHE ZAKE.
Jamaa wanafanya torture ya hali ya juu kwa jobless....kusubria miezi kadhaa na hujui unachosbria kwamba kipo au hakipo dah😂😂😂😂😂uhalisia kabisa
Kbsa hope next week mikeka itaanza kuachiwaa...tunaosbria mungu atusaidie tupenyeKweli mkuu ngoja tusubiri week inayoanza Kesho.
Torture nyingine ni hii ya hawa CDO's, Oral tarehe 18....wamefanya written jana.Jamaa wanafanya torture ya hali ya juu kwa jobless....kusubria miezi kadhaa na hujui unachosbria kwamba kipo au hakipo dah
Hapa wale wazee wa kulala stand na kuoga kwa kulipia kazi ipo...Torture nyingine ni hii ya hawa CDO's, Oral tarehe 18....wamefanya written jana.
Lakini si wamefanya kikanda wengi watakuwa wa mikoa husika au mikoa jirani gharama ya usafiri haitakuwa kubwa kama ile ya wote kwenda dodoma... Ningekuwa mimi ingekuwa bora kurudi nyumbani kuliko gharama za chakula,malazi,n.kTorture nyingine ni hii ya hawa CDO's, Oral tarehe 18....wamefanya written jana.
Mwingine kachangiwa nauli, akalale STAND mzee... GO and RETURNLakini si wamefanya kikanda wengi watakuwa wa mikoa husika au mikoa jirani gharama ya usafiri haitakuwa kubwa kama ile ya wote kwenda dodoma... Ningekuwa mimi ingekuwa bora kurudi nyumbani kuliko gharama za chakula,malazi,n.k
Usaili wangu wa mwisho pale Dom nilienda kibishi sana kwa kudandia malori na nilikuwa na hii ratba ya kulala pale nanenane dah wale suma wakuda sna wakanikwida na kunitoa nje maana sikuwa na ticket yan huu ujobless ni shida sanaHapa wale wazee wa kulala stand na kuoga kwa kulipia kazi ipo...
Pole sana kiongozi ungewatoa hata 1000 tu wale wana njaa tuUsaili wangu wa mwisho pale Dom nilienda kibishi sana kwa kudandia malori na nilikuwa na hii ratba ya kulala pale nanenane dah wale suma wakuda sna wakanikwida na kunitoa nje maana sikuwa na ticket yan huu ujobless ni shida sana
Ukiona hvyo jua kuna mafuriko ya watu ndg ...vunja rekodiTRA JOB APPLICATIONS:
Job opening date : 27-May-2023
Job closing date : 09-Jun-2023
Today it is: 09-July-2023
Date for interview: ???????
Date for placement: ?????
Sijui ni mpka liniTRA JOB APPLICATIONS:
Job opening date : 27-May-2023
Job closing date : 09-Jun-2023
Today it is: 09-July-2023
Date for interview: ???????
Date for placement: ?????
Kweli mkuu tuendelee kusubiri wanasema subira inavuta heri,wenda wiki ijayo ikawa heri kweli.Kbsa hope next week mikeka itaanza kuachiwaa...tunaosbria mungu atusaidie tupenye
Kbsa hope next week mikeka itaanza kuachiwaa...tunaosbria mungu atusaidie tupenye