HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
TRA JOB APPLICATIONS:

Job opening date : 27-May-2023
Job closing date : 09-Jun-2023
Today it is: 09-July-2023

Date for interview: ???????
Date for placement: ?????
Kwanza mimi ningekua COMMISSIONER namtaka aliyependekeza KALE kamfumo UCHWARA ka kuombea kazi, nna MASWALI Mengi KABLA sijamfukuza KAZI kuhusu KAMFUMO UCHWARA, maana mule niliona mambo ya MISHAHARA, MARA DOLLAR, mara sijui MA NCHI KIBAO yanatokea...wakati SWALA ni la TANZANIA, unaona unaletewa hadi VENEZUELA, hii nchi kuna watu WAVIVU sana..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ule mfumo ni copy n paste mkuu sidhni kama umetengenzwa na wao TRA
 
Yani kama vile kuna kausiri kapo hapo, sioni sababu kubwa ya msingi kumnyima mtu matokeo yake
Tulishasema baadhi ya wadau humu ndani huko nyuma kwamba hakuna sababu ya msingi ya kutokutoa matokeo ya oral..
Nashukuru wengne nao mnaendelea kuliongelea. Tukiwa wengi litawafikia na watalifikiria,n km limekaa kisiasa hivi.

Mtu akishajua matokeo yake ya oral kelele za kwanini placements zinachelewa zitapungua mno km sio kuisha.
 
Kbsa mkuu hili suala limekaa kisiasa sana hakuna hoja za msingi kutokua na matokeo ya oral..kuna kitu kimejificha hapo
 
Ni vizuri kujifunza kufuata maelekezo tunayopewa na wakubwa zetu wakati wote. Ukianza kuonyesha ukaidi mapema hivyo hata bado haujaajiriwa haileti picha nzuri!!

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Usaili wangu wa mwisho pale Dom nilienda kibishi sana kwa kudandia malori na nilikuwa na hii ratba ya kulala pale nanenane dah wale suma wakuda sna wakanikwida na kunitoa nje maana sikuwa na ticket yan huu ujobless ni shida sana
nishalala nane nane siku tatu mfululizo kwenye ule usahili wa MDAs na LGAs siku ya tatu usiku kuna SUMA akanifuata usiku mida ya sisita nikiwa nasoma akaniambia mbona kila siku ananiona nikamweleza hali halisi akanielewa. Baada ya kulamba asali nimesahau shida zote.
 
Amenza kujiwekea rekodi mbaya mapema hivyo!!!

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
kamfumo UCHWARA
Tukiwaambia mnatuona maboga soma

Kuna mfumo mwingine wameusuka haueleweki mpaka wameongezewa siku najiuliza wanawapa watu wanaojua kazi au watu wanaowafahamu (nepotism) ?
 
Na wenyewe wameingia katika "NADHANI, HUENDA, LABDA, INAWEZEKANA, INAONEKANA, ITAKUA, PENGINE, TUSUBIRIE, INGAWA, JAPOKUA, INASEMEKANA"
watakuwa wanasikilizia madogo udom wafungu chuo kwanza ndo mambo mengne yaendelee
 
TRA JOB APPLICATIONS:

Job opening date : 27-May-2023
Job closing date : 09-Jun-2023
Today it is: 09-July-2023

Date for interview: ???????
Date for placement: ?????
Muone wakala wa psrs jinsi huoni aibu. Sasa si afadhali tra kuliko utumishi last year tuliaply March interview December placement February karibu mwaka mzima mchakato πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Embu tulizana huko waacha wafanye kazi yao jobless ni wengi.


Wakuu huyu ni wakala anakuja huku kututoa kwenye reli ya kwanini utumishi wanatumia mda mrefu kuita watu kazini.
Tumpotezee na kumpiga chini huyu mbingunikwetu
 
Kumbe wamebobea KUBORONGA...daaah....(NEPOTISM hiyo MASTA) Kuna majanja kibao wapo STREET wakali sana wa hizi KAZI...hawapewi.
 
Inabidi umkumbuke na yule Suma kwa kutokuzingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…