mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Mimi ni afisa mstaafu wa serikali. Nimestaafu tangu 2019. Ninakula pension tamu ya serikali!! Nipo hapa ili kuchangia sehemu ambazo naona ninaweza kusaidia. Kwa mfano kuna watu wamekuwa wananiuliza maswali mbalimbali na kama wanachouliza nikawa nakifahamu, najisikia vizuri kutoa elimu hiyo. Kama sikifahamu nasema sikifahamu.Anko kwan wewe unajishughulisha na nn?
Kwa madini haya wewe sio jobless kabisaaa๐๐๐.
Naombeni muache kujadili masuala ya mishahara mnatoka nje ya uzi. Hapa ni kwa ajili ya jobless na mambo ya usahili hivyo kaanzisheni uzi wenuShukrani kwa kuzidi kutupatia nondo kiongozi. Hivi tofauti ya D1 na D12 ni nini? Yani naomba utufafanulie ili tuweze kuelewa zaidi.
Cha ajabu ni kwamba database haina watu ๐๐๐ au ni kutafuta posho tu wanazingatia. Basi kama ndio hivyo database ifutwe maana haina maana kila siku kufanya interview post zilezilePDF ilikua nzito , Tupige maombi irudi
TGS D1 ni kianzia mshahara/salary entry point. Baada ya mwaka mmoja mwajiri wako anaweza kukupa nyongeza moja ya mshahara kutokana na utendaji wako wa kazi. In practice karibuni watumishi wote hupata nyongeza kama ikitolewa. Ila mwajiri anaweza akazuia nyongeza ya mwaka kama hajaridhishwa na utendaji wako wa kazi. Na akiam,ua hivyo lazima akupe hiyo taarifa kwa maandishi (hii hutokea nadra sana). Kwa hiyo ukipata hiyo nyongeza unakuwa TGS D2, na kwa ngazi hii nyongeza ya mwaka ni 15,000/= na mshahara wake ni 780,000/= Mwaka unaofuata ukipata nyongeza unakuwa kwenye TGS D3 mshahara wake ni 795,000/=. Itaenda hivyo mpaka unafika TGS D12 -930,000/= kwa mwezi.Shukrani kwa kuzidi kutupatia nondo kiongozi. Hivi tofauti ya D1 na D12 ni nini? Yani naomba utufafanulie ili tuweze kuelewa zaidi.
Kiukweli hapo niko Dilema yahn kuna kada tayari zishafanya saili na watu database hopeful watakuepo,,Nabak najiuliza why inakua ivo but Nahisi waajiri hawataki watu kutoka databaseCha ajabu ni kwamba database haina watu [emoji849][emoji849][emoji849] au ni kutafuta posho tu wanazingatia. Basi kama ndio hivyo database ifutwe maana haina maana kila siku kufanya interview post zilezile
Mfano: mhandishi umeme, hydrogeologist, procumbent and supplier's office, assistant account, transport officer, ict information officer, trade officer, mwandishi mwendesha ofisi, muuguzi, afisa tehama, fundi sanifu, afisa mifugo, afisa usafirishaji, afisa misitu etc
Hizi zote watu si wamefanya usahili wengi kwenye LGA and MDA na mpaka sasa placement hazijakamilika hata idadi ya tangazo walilotaka.
Je ni kweli database haina watu Hadi washindwe kuwachukua na kuanza tena kuitisha usahili upya
Yani jobless tunateseka mno ni bora ijulikane hamna kazi kabisa kuliko kutoa matangazo na usahili daily lakin placement hazitolewi kwa wakat na zikitoka ni chache kuliko idadi iliyotangazwa [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Hoja mezani jobless tunaelewa tukiona ukweli.mbingunikwetu wewe ni mnafiki na lengo lako upo kuwatetea psrs na si vinginevyo unajitahid kuwatoa jobless kwenye lengo la uzi
Usiwaze mkuu poleni sana.It takes a strong person to forgive!! Granting forgiveness is not weakness but strength!! Kuna watu walifundishwa matusi walipokuwa wanatukanwa na wazazi wao! Watu kama hao ni wa kuwahurumia tu na kuwasamehe bure!! Mtu anayeamini kuwa kubadili simu ni sababu itakayowafanya watu waamini kuwa ndiyo iliyosababisha abadili akaunti!! Can you imagine such reasoning from the so called "mature" person!!
Wakala wa psrs huyo jamaa ๐Anko kwan wewe unajishughulisha na nn?
Kwa madini haya wewe sio jobless kabisaaa๐๐๐.
Nashukuru!Usiwaze mkuu poleni sana.
Ila unatupa faida nyingi anko shukran sana.Mimi ni afisa mstaafu wa serikali. Nimestaafu tangu 2019. Ninakula pension tamu ya serikali!! Nipo hapa ili kuchangia sehemu ambazo naona ninaweza kusaidia. Kwa mfano kuna watu wamekuwa wananiuliza maswali mbalimbali na kama wanachouliza nikawa nakifahamu, najisikia vizuri kutoa elimu hiyo. Kama sikifahamu nasema sikifahamu.
Fungueni uzi wenu mkajadili mishaharaTGS D1 ni kianzia mshahara/salary entry point. Baada ya mwaka mmoja mwajiri wako anaweza kukupa nyongeza moja ya mshahara kutokana na utendaji wako wa kazi. In practice karibuni watumishi wote hupata nyongeza kama ikitolewa. Ila mwajiri anaweza akazuia nyongeza ya mwaka kama hajaridhishwa na utendaji wako wa kazi. Na akiam,ua hivyo lazima akupe hiyo taarifa kwa maandishi (hii hutokea nadra sana). Kwa hiyo ukipata hiyo nyongeza unakuwa TGS D2, na kwa ngazi hii nyongeza ya mwaka ni 15,000/= na mshahara wake ni 780,000/= Mwaka unaofuata ukipata nyongeza unakuwa kwenye TGS D3 mshahara wake ni 795,000/=. Itaenda hivyo mpaka unafika TGS D12 -930,000/= kwa mwezi.
In practice siyo rahisi mtu kufika TGS D12 labda kama serikali imeamua kusimamisha kupandisha vyeo. Vinginevyo baada ya miaka kama 4 hivi mtu akiwa ngazi ya TGS D4(at most), kutokana na utendaji mzuri wa kazi mwajiri hupandisha vyeo na mtu kuwa kwenye ngazi ya TGS E1 - 1,000,000/= kwa mwezi.
Kwa mfano mtu akiajiriwa kama Agricultural Officer II -TGS D1, baada ya miaka mnne anaweza kupandishwa cheo na daraja akawa Agricultural Officer I - TGS E1 - 1,000,000/=.
Ulikuwa unatumia ID gani mwanzoni bro maana unachangamsha uzi.Mpotezeeni huyo amekuja kupotosha uzi na kututoa kwenye mada
Asa kazi zenyewe hatujapata tuanze kujadili mishahara badala ya kupaza saut psrs wajirekebishe na kutoa placement kwa wakat nyie mnakubali kuyumbishwa
jifunze kupokea mawazo kinzani nayale usiopenda kusikia.. usipende kusikilizwa ww tu haupo peke yako hapa kwenye uzi huu.. utakuja kupata ajira badae utarud hapa hapa kwenye huu uzi kuuliza mambo ya madaraja ya mshahara.. jamaa awe wakala au asiwe haituhusu sisi, imradi maelezo yake yanasaidia wengi hilo ndo lamsingiโฆ kama maneno yake hayakusaidii pita hiv..Mpotezeeni huyo amekuja kupotosha uzi na kututoa kwenye mada
Asa kazi zenyewe hatujapata tuanze kujadili mishahara badala ya kupaza saut psrs wajirekebishe na kutoa placement kwa wakat nyie mnakubali kuyumbishwa
Ila mkuu asikwambie mtu, ukishaingia kwenye mrija wa asali hakuna mada zinabamba kama scale za mishahara,,, sijui kwa nn..Humu tulishakubaliana tunauliza placement,hizi mada za mishahara zina nyuzi zake
ubarikiwe sana hapa nimepata knowledge kamaTGS D1 ni kianzia mshahara/salary entry point. Baada ya mwaka mmoja mwajiri wako anaweza kukupa nyongeza moja ya mshahara kutokana na utendaji wako wa kazi. In practice karibuni watumishi wote hupata nyongeza kama ikitolewa. Ila mwajiri anaweza akazuia nyongeza ya mwaka kama hajaridhishwa na utendaji wako wa kazi. Na akiam,ua hivyo lazima akupe hiyo taarifa kwa maandishi (hii hutokea nadra sana). Kwa hiyo ukipata hiyo nyongeza unakuwa TGS D2, na kwa ngazi hii nyongeza ya mwaka ni 15,000/= na mshahara wake ni 780,000/= Mwaka unaofuata ukipata nyongeza unakuwa kwenye TGS D3 mshahara wake ni 795,000/=. Itaenda hivyo mpaka unafika TGS D12 -930,000/= kwa mwezi.
In practice siyo rahisi mtu kufika TGS D12 labda kama serikali imeamua kusimamisha kupandisha vyeo. Vinginevyo baada ya miaka kama 4 hivi mtu akiwa ngazi ya TGS D4(at most), kutokana na utendaji mzuri wa kazi mwajiri hupandisha vyeo na mtu kuwa kwenye ngazi ya TGS E1 - 1,000,000/= kwa mwezi.
Kwa mfano mtu akiajiriwa kama Agricultural Officer II -TGS D1, baada ya miaka mnne anaweza kupandishwa cheo na daraja akawa Agricultural Officer I - TGS E1 - 1,000,000/=.
Ila lile tangazo Kuna baadhi ya post niliona wanataka watu wa certificate na diploma huenda kwenye database hawana hawa watu wanao wa degree tu mfano zile za lga na mda nyingi zilikuwa watu wa degree thats why naona huenda kwenye database wanao wa degree tu so hawawez wakachukua kwenye database mtu aliyefanya interview mwenye degree wakampanga sehemu wanayotaka mtu wa certificate au diploma. Huo ni mtazamo wanguCha ajabu ni kwamba database haina watu ๐๐๐ au ni kutafuta posho tu wanazingatia. Basi kama ndio hivyo database ifutwe maana haina maana kila siku kufanya interview post zilezile
Mfano: mhandishi umeme, hydrogeologist, procumbent and supplier's office, assistant account, transport officer, ict information officer, trade officer, mwandishi mwendesha ofisi, muuguzi, afisa tehama, fundi sanifu, afisa mifugo, afisa usafirishaji, afisa misitu etc
Hizi zote watu si wamefanya usahili wengi kwenye LGA and MDA na mpaka sasa placement hazijakamilika hata idadi ya tangazo walilotaka.
Je ni kweli database haina watu Hadi washindwe kuwachukua na kuanza tena kuitisha usahili upya
Yani jobless tunateseka mno ni bora ijulikane hamna kazi kabisa kuliko kutoa matangazo na usahili daily lakin placement hazitolewi kwa wakat na zikitoka ni chache kuliko idadi iliyotangazwa ๐๐๐๐๐
My age is not that much a secret! I'm now 64!! Not much, not less!!. I'm retired but not tired!! I'm totally not part of PSRS!!. Naunga mkono: MATOKEO YA ORAL NI HAKI YA WASAILIWA!!Ila unatupa faida nyingi anko shukran sana.
Sema unajua vitu vingi na unajitahidi kupangilia hoja mpaka nakaribia kukubali kwamba unaweza kuwa part of psrs๐๐๐.
Maana haya madini hawezi kuwa nayo jobless. ( Jokes).
Kingine kama kweli wewe ni mstaafu maana yake una age around 60 sasa na huu uzi ulivyokaa dizaini kama umeuzidi nguvu sana. ๐๐ Ukitoa point/ wazo mtu akicheki anajua huyu mtu sio bure lazima atakuwa jikoni huyu ( jokes).
Yote kwa yote nakukubali ankoo๐ unatupa maarifa naamini tukiwa kwa list ya pdf tutakutumia zaidi.
MUDA MWINGINE UWE UNATUDANGANYA MAADAM UONGO WAKO UTATUFANYA TUPATE NGUVU๐๐๐๐๐.
MATOKEO YA ORAL NI HAKI TETUUUU๐๐๐
Tuko pamoja!!Mkuu, mbingunikwetu binafsi nafurahia sana mchango wako kwenye huu Uzi, vitu vingi sana unatafungua jobless usichoke mkuu endelea kutushushia nondo.