ππππππππ sawa sawaaMy age is not that much a secret! I'm now 64!! Not much, not less!!. I'm retired but not tired!! I'm totally not part of PSRS!!. Naunga mkono: MATOKEO YA ORAL NI HAKI YA WASAILIWA!!
Acha roho ya kichawi kiongozi. Kupitia huu uzi tunajifunza vingi sana. Mbingunikwetu anatupa nondo nzuri hata kesho tukiajiliwa serikalin tunakuwa tushajua hata pakuanzia.Naombeni muache kujadili masuala ya mishahara mnatoka nje ya uzi. Hapa ni kwa ajili ya jobless na mambo ya usahili hivyo kaanzisheni uzi wenu
Shukran sana kiongozi, nimekuelewa vizuri sana. Unatupatia elimu ambayo itakuwa na manufaa huko mbeleni tukibahatika kuingia kwenye government. Now tunapambana na private huku.TGS D1 ni kianzia mshahara/salary entry point. Baada ya mwaka mmoja mwajiri wako anaweza kukupa nyongeza moja ya mshahara kutokana na utendaji wako wa kazi. In practice karibuni watumishi wote hupata nyongeza kama ikitolewa. Ila mwajiri anaweza akazuia nyongeza ya mwaka kama hajaridhishwa na utendaji wako wa kazi. Na akiam,ua hivyo lazima akupe hiyo taarifa kwa maandishi (hii hutokea nadra sana). Kwa hiyo ukipata hiyo nyongeza unakuwa TGS D2, na kwa ngazi hii nyongeza ya mwaka ni 15,000/= na mshahara wake ni 780,000/= Mwaka unaofuata ukipata nyongeza unakuwa kwenye TGS D3 mshahara wake ni 795,000/=. Itaenda hivyo mpaka unafika TGS D12 -930,000/= kwa mwezi.
In practice siyo rahisi mtu kufika TGS D12 labda kama serikali imeamua kusimamisha kupandisha vyeo. Vinginevyo baada ya miaka kama 4 hivi mtu akiwa ngazi ya TGS D4(at most), kutokana na utendaji mzuri wa kazi mwajiri hupandisha vyeo na mtu kuwa kwenye ngazi ya TGS E1 - 1,000,000/= kwa mwezi.
Kwa mfano mtu akiajiriwa kama Agricultural Officer II -TGS D1, baada ya miaka mnne anaweza kupandishwa cheo na daraja akawa Agricultural Officer I - TGS E1 - 1,000,000/=.
π€£π€£π€£π€£π€£kwamba wenye akili ndogo ndo wanaongea sana na makasiriko mengi
mtaani njaa kali kinoma chamuhimuMpotezeeni huyo amekuja kupotosha uzi na kututoa kwenye mada
Asa kazi zenyewe hatujapata tuanze kujadili mishahara badala ya kupaza saut psrs wajirekebishe na kutoa placement kwa wakat nyie mnakubali kuyumbishwa
Kwa hiyo psrs wamegoma kuweka PDF kwa muda wote huu????
Hii week iishe tena bila kimulimuli???
Mkuu umeadimika sana umu..mtaani njaa kali kinoma chamuhimu
checkno kwanza,hata tupangiwe mbwinde,tunduru,gamboshi wengine tutaripoti tu kwa mshahara huo huo wa halmashauri ambao baadhi ya watu wana uponda hapa.
Wametangaza kazi za LGA and MDA wanaona hata aibu kuandika tangazo la nafΓ si za kazi LGA and MDA wakaweka tu tangazo la kazi πππππKwa hiyo psrs wamegoma kuweka PDF kwa muda wote huu????
Hii week iishe tena bila kimulimuli???
Mwisho ni kutafuta suluhu tukikaa kimya na wao wanaendelea kututesaTuendlee tu kusubri mkuu kilajambo lina mwisho wake
π€π€kuna tangazo la kazi wadau lipitieni linaowahusu.
πππ, Wanacheza na hisia zetuNinawasiwasi na IT wa psrs. Kaamua afute tangazo la kazi bhn.