HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongera sana....
Ukawe mtumishi mwema!
 
Hongera sanaa mkuu!!

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mdau alitoa hoja kuhusu Tangazo la jana kuondolewa bila Taarifa naona Sekretarieti ya Ajira Wamemjibu kumbe tupo sehemu sahihi wanatusoma pia.
 

Attachments

  • Screenshot_20230712-225258.jpg
    54.4 KB · Views: 29
Oyeeeh
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Palikuwa panachimba kweli Aseeh.. nipo mara moja moja Ila nimeona wametoa zaga la placements huko Taasisi mbalimbali baada ya kimya kirefu.
Vijana tuendelee kulamba asali na tupige kazi ipasavyo tulijenge TaifaπŸ’ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…