captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 958
- 2,080
Hongera sana mkuu hakika Mungu ni mwema, kila la kheri katika utumishi wako ukawe mchapakazi na mtumishi mwadilifuHatimaye na Mimi leo nimelamba asali,wizara ya mifugo,kwa miaka 7 nafanya interview nakandwa na Psrs,lakin mwaka huu nimepata kazi,Mungu mkubwa🙏
Yani pale unapojaza hile form ndio unajaza cv yenyewe. Amna aja ya kuandika cv. alafu kule imejipanga poa sana mi huwa nikipata private sector naprint kule inatoka fresh namodified kidogoWakuu samahani nahitaji msaada hapa kidogo. Unapo apply ajira portal baada ya kuandika barua unaandika Tena na CV ?? au CV inakua tu automatically Ile Ile ya pale uliyoitengeneza ajira portal ?? Nahitaji msaada kwa anaefaham tafadhari
Yani pale unapojaza hile form ndio unajaza cv yenyewe. Amna aja ya kuandika cv. alafu kule imejipanga poa sana mi huwa nikipata private sector naprint kule inatoka fresh namodified kidogo
Yeah hapo wamepunguza idadi naona hao 29 watachukua database maana Kuna post tayar wamefanya sana interview tuendelee kupaza sauti watasikia kilio chetu. Nikisema huyu mbingunikwetu ni psrs mwenyew mnakataa kunielewa 😂😂Ndio idadi imepunguzwa kweli..ila alivyotuma tangazo na kusema 29 watatoka kwenye database nkahisi labda tangazo hilo ndo limetoa taarifa hiyo na nkalifungua kujihakikishia ila hakuna walikosema hao walopungua watatolewa kwenye database ndo nkabaki nashangaa au anazo za ndani ndani huko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kaka angu unaweza nifafanulia zaid unachomanisha, maana kwenye placement zetu nilizokosa pia naona kama database inafata marks za written na mm bado sijafikiwa ila walipata kutoka database naona wanaenda kwa trend ya marks za wrtten washapata watatu kutoka database mpaka sasa.Kahusiano kanaweza kuwepo kwa kuwekwa kwa database.......
It happened to me ndo maana naweza nkalisemea hiv
Status Inasoma
web : Selected for Oral
App: Selected for Oral
Cha msingi Umetoka oral kwenye application isome "'selected for Ora"Simama na Mungu toka ulipoaza written mpk oral hakika atafanya jambo kuliko kutoka kwenye oral kwenye application "not selected for Oral"inavunja moyo sanaa
Kaka angu unaweza nifafanulia zaid unachomanisha, maana kwenye placement zetu nilizokosa pia naona kama database inafata marks za written na mm bado sijafikiwa ila walipata kutoka database naona wanaenda kwa trend ya marks za wrtten washapata watatu kutoka database mpaka sasa.
KabisaOyeeeh
😂😂😂 Palikuwa panachimba kweli Aseeh.. nipo mara moja moja Ila nimeona wametoa zaga la placements huko Taasisi mbalimbali baada ya kimya kirefu.
Vijana tuendelee kulamba asali na tupige kazi ipasavyo tulijenge Taifa💪
Hongera Sana,kwenye Majukumu ya Utumishi,Mungu ni mwemaHatimaye na Mimi leo nimelamba asali,wizara ya mifugo,kwa miaka 7 nafanya interview nakandwa na Psrs,lakin mwaka huu nimepata kazi,Mungu mkubwa[emoji120]
hapana sio kweli,Tangazo lile la ajira lililonyofolewa tayari wameshalitolea maelezo. Wameweka tangazo lingine baada ya marekebisho. Marekebisho yaliyofanyika ni bora sana!! Nafasi za ajira kwenye tangazo la awali ni 372 lakini baada ya kufanyiwa mabadiliko nafasi za ajira zikapungua na kuwa 343. Hii inaonesha nafasi 29 zilipungua. Hizi nafasi zimepungua kwa sababu wameamua kuchukua majina kutoka kwenye DATA BASE na watu 29 wakalamba asali kutoka kwenye data base. Hii inaonesha kilio kilio kinachotolewa humu kinasikilizwa!!
Taarifa ya mabadiliko ya tangazo hii hapa:
Hongera sana mwamba..Nashukuru Mungu kwa siku ya leo, Nimekua mmoja wa watu waliolamba asali - MOI ,Nilifanya interview mwaka jana mwezi wa tisa placement zetu zilishatoka ,, Nimepata kupitia Database ,,Hivyo ndugu zanguni tusikate tamaa tuendelee kufanya saili Mungu atatuona [emoji120]
Umehesabu zilizojirudia na kufika 29. Kama kunazilizojirudia ni kweli itapunguza nafasi lakini si kwa kiasi hicho!hapana sio kweli,
kuna nafasi zilijirudia ikiwemo ya land officer ndo maana zimepungua
Hongera sana mwamba..Hatimaye na Mimi leo nimelamba asali,wizara ya mifugo,kwa miaka 7 nafanya interview nakandwa na Psrs,lakin mwaka huu nimepata kazi,Mungu mkubwa🙏
Sio kweli ukisoma kanuni za PSRS utaona kua Matokeo ya Written ni mchujo. Kwa wale wa practical zinajumlisha oral na practical.Kaka angu unaweza nifafanulia zaid unachomanisha, maana kwenye placement zetu nilizokosa pia naona kama database inafata marks za written na mm bado sijafikiwa ila walipata kutoka database naona wanaenda kwa trend ya marks za wrtten washapata watatu kutoka database mpaka sasa.
ucjali nipo pamoja nanyi tutazidi kutiana moyo na kupeana mbinu mbalimbali kutoboa Interview za utumishu kwa experience niliyoipataHata ww usiwasahau wenzet wanaoendelea kupaza sauti hasahasa kuhusiana na kamchakato kuwa ka muda mrefu...ni wa kutiwa moyo na kuwapa mbinu zaidi za kuendeleza ustahimilivu huku wakiendeleza mapambano
Hongereni sana wote mliolamba asali
Ahsante sanaHongera sana mwamba..
Hongera sana! Na mimi ngoja nisubiri PDF letu, Status zangu bado zinasoma selected for Oral both App n Web toka toka tufanye Oral mwezi May-2023Status Inasoma
web : Selected for Oral
App: Selected for Oral