Hongeraa sana aisee binafsi nimefurahi mno kupata kwako kazi nakumbuka ulikua ukilalamika sana humu hatimaye leo Mungu amekukumbuka nakutakia kila la heri katika utumishiHatimae leo na mimi nimelamba asali namshukuru mungu. nimepata kupitia Database. nimeamini utumishi wanatenda haki japo mwanzoni nilikata tamaa ila mungu kaniona
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana sio kweli,
kuna nafasi zilijirudia ikiwemo ya land officer ndo maana zimepungua
Hongera sana.Hatimae leo na mimi nimelamba asali namshukuru mungu. nimepata kupitia Database. nimeamini utumishi wanatenda haki japo mwanzoni nilikata tamaa ila mungu kaniona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana shujaa!! Kuvumilia na kusubiri kwa miaka sita si kazi ya kitoto!! Wengine igeni uvumilivu huu. Kukata tamaa hakujawahi kumsaidia mtu!! Once more again congratulations!!Namshukuru Mungu. Na mimi nimelamba asali kupitia database, asanteni kwa kampani humu ndani ktk safari hii..haikuwa rahisi'
ktk kusubiri kuna stress nyingi sana..
Kwa miaka 6 sasa nimefanya interview zaid ya 10..
Hatimae nimepata placement ya oral tulofanya mwaka jana.
Status kote iko
Selected for oral
hongera kwao wapambanajiKwa asali ya Jana asilimia kubwa inaonyesha database imehusika
Ni kweli kabisa na zitaendelea kumiminika!!Kwa asali ya Jana asilimia kubwa inaonyesha database imehusika
Asante afsa kwa hii taarifa yenye kutupa matumainiNi kweli kabisa na ztaendelea kumiminika!!
Arusha imetutoa kila la kheri mkuu.Hatimae leo na mimi nimelamba asali namshukuru mungu. nimepata kupitia Database. nimeamini utumishi wanatenda haki japo mwanzoni nilikata tamaa ila mungu kaniona
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliyoyasema yametimia hongera Sana Mr kenice Mungu hakukutupa na leo kakulambisha asali.Linakuja hili lakwangu kabisaaaaaa
Mwezi May naona bado kuna kiporo....Ngoja tuone wa mwezi wa sita mungu tukumbuke na sisi, hongereni wote mliopata.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaNamshukuru Mungu. Na mimi nimelamba asali kupitia database, asanteni kwa kampani humu ndani ktk safari hii..haikuwa rahisi'
ktk kusubiri kuna stress nyingi sana..
Kwa miaka 6 sasa nimefanya interview zaid ya 10..
Hatimae nimepata placement ya oral tulofanya mwaka jana.
Status kote iko
Selected for oral
Hongera sana mkuu,Hatimae leo na mimi nimelamba asali namshukuru mungu. nimepata kupitia Database. nimeamini utumishi wanatenda haki japo mwanzoni nilikata tamaa ila mungu kaniona
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa kutiana moyo hatujawahi kukata tamaa, mwamba akitaka kuweka silaha chini, yeye ndio akakalishwa chini.
kuna vituo vingine vimerukwa.Kituo kinachofata 20-24 May