Wansakieki
Senior Member
- Mar 23, 2023
- 182
- 656
Congrats Champ ,JAH akublessHatimae leo na mimi nimelamba asali namshukuru mungu. nimepata kupitia Database. nimeamini utumishi wanatenda haki japo mwanzoni nilikata tamaa ila mungu kaniona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo si status ukichaguliwa Oral interview? Ina uhusiano gani na placement?Hongera kwa kulamba asali
Mpaka sasa tumeshaprove ili upate Placement lazima status iwe inasoma “Selected for oral” both app and web [emoji736].
Ngoja "mbingunikwetu" aje atusaidie majibuHiyo si status ukichaguliwa Oral interview? Ina uhusiano gani na placement?
Ana maanisha kua ukishaingia Oral baada ya Interview Status ikibaki hivyo hivyo Kweny App yaani '"Selected for oral" kuna uwezekano wa kulamba Asali tofauti na Status kua "NOT SELECTED FOR ORAL"Hiyo si status ukichaguliwa Oral interview? Ina uhusiano gani na placement?
Sina sababu ya kudanganya, kudanganya hakujawahi kumsaidia mtu, hakuna tija katika kudanganya, nidanganye ili iweje?Ww si mstaafu, bado ni kijana mwenzetu sema uko upande wa pili.(Walamba asali)
Sio kwa uwezo mkubwa huo uliokuwa nao wa kupambana na vijana majobless kwa kutumia keyboard.
Mkuu mbona baadhi ya ajira zipo kwenye tangazo ila kwenye ajira portal hazijawekwaSina sababu ya kudanganya, kudanganya hakujawahi kumsaidia mtu, hakuna tija katika kudanganya, nidanganye ili iweje?
Flp 3:20 SUV
Kwa maana sisi, wenyeji wetu uko mbinguni; kutoka huko tena tunamtazamia Mwokozi, Bwana Yesu Kristo!
Hongera champNamshukuru Mungu. Na mimi nimelamba asali kupitia database, asanteni kwa kampani humu ndani ktk safari hii..haikuwa rahisi'
ktk kusubiri kuna stress nyingi sana..
Kwa miaka 6 sasa nimefanya interview zaid ya 10..
Hatimae nimepata placement ya oral tulofanya mwaka jana.
Status kote iko
Selected for oral
Hilo litakuwa ni kosa kama kosa lingine la bahati mbaya, likilalamikiwa rasmi kwa wahusika bila shaka litarekebishwa.Mkuu mbona baadhi ya ajira zipo kwenye tangazo ila kwenye ajira portal hazijawekwa
Hongera sana Mungu akubariki.Namshukuru Mungu. Na mimi nimelamba asali kupitia database, asanteni kwa kampani humu ndani ktk safari hii..haikuwa rahisi'
ktk kusubiri kuna stress nyingi sana..
Kwa miaka 6 sasa nimefanya interview zaid ya 10..
Hatimae nimepata placement ya oral tulofanya mwaka jana.
Status kote iko
Selected for oral
Amen amen amen🙏🙏Ndugu zangu tujiandae kulamba asali Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji, pdf linalofata watu wengi watakua kwenye hio wizara. Save this comment.
HongereniAm here to prove wrong.
Keki ya Taifa ineniangukia Jana nmelamba asalii baada ya kupigiwa simu nikiwa shambani na Jamaa yangu tulokutana kwenye Usaili na kunipa hongera zangu. Yeye pia kailamba asali hio.
Mungu katushika mkono.
Emeeeh
Big up kaka,wkt sahihi ni wakati wa Mwenyez MunguAm here to prove wrong.
Keki ya Taifa ineniangukia Jana nmelamba asalii baada ya kupigiwa simu nikiwa shambani na Jamaa yangu tulokutana kwenye Usaili na kunipa hongera zangu. Yeye pia kailamba asali hio.
Mungu katushika mkono.
Emeeeh
Miongoni mwa mada ambayo ni pendwa kwenye Uzi huuHiyo si status ukichaguliwa Oral interview? Ina uhusiano gani na placement?
Hongereni sana wakuu.Am here to prove wrong.
Keki ya Taifa ineniangukia Jana nmelamba asalii baada ya kupigiwa simu nikiwa shambani na Jamaa yangu tulokutana kwenye Usaili na kunipa hongera zangu. Yeye pia kailamba asali hio.
Mungu katushika mkono.
Emeeeh
Hongera sana mwambaAm here to prove wrong.
Keki ya Taifa ineniangukia Jana nmelamba asalii baada ya kupigiwa simu nikiwa shambani na Jamaa yangu tulokutana kwenye Usaili na kunipa hongera zangu. Yeye pia kailamba asali hio.
Mungu katushika mkono.
Emeeeh
Hongera sana kaka ,ukawe mtumishi mwemaAm here to prove wrong.
Keki ya Taifa ineniangukia Jana nmelamba asalii baada ya kupigiwa simu nikiwa shambani na Jamaa yangu tulokutana kwenye Usaili na kunipa hongera zangu. Yeye pia kailamba asali hio.
Mungu katushika mkono.
Emeeeh
Am here to prove wrong.