Hii itazidi kuwapa nguvu vijana, HAKUNA KUKATA TAMAA.Am here to prove wrong.
Keki ya Taifa ineniangukia Jana nmelamba asalii baada ya kupigiwa simu nikiwa shambani na Jamaa yangu tulokutana kwenye Usaili na kunipa hongera zangu. Yeye pia kailamba asali hio.
Mungu katushika mkono.
Emeeeh
watu wanazid kulamba asali hadi rahaKuna pdf huko jamani
Sanaaaaaa watu walete shuhuda humu tuwapongezewatu wanazid kulamba asali hadi raha
Naona watu wa UOTO wanachotwa...Mara misitu, mara Kilimo...Utumish wamechangamka sana kiukweli, pdf ya page 5, ndio inatakiwaga hivi hata kama haupo unakua na iman rafik zako watakuwepo
MAY naona kuna VITUO vinarukwa sana...daah..watu wana KIUHivi ni kwa nini huwa wanatoa majina nusu nusu kwa nini isingekuwa wakitoa placement za mwezi husika wanatoa majina ya wote waliofanya huo mwezi ili pdf ijayo waliofanya mwezi unaofuata wajiandae kusubiri huku wakijua kwamba wa mwezi wa nyuma walishaitwa wote waliofaulu🤔🤔🤔🤔
TEAM MAY tupo wengi...hatujafikiwaWanangu wa ega, duwasa na wcf naona bado hatujafikiwa🙏
Umewasahau na TPCWanangu wa ega, duwasa na wcf naona bado hatujafikiwa🙏
Nyie mnawaza may ya juzi wakati wenzenu tunasubiria za tangu January na hawajamaliza kuita, kuweni wapole tuTEAM MAY tupo wengi...hatujafikiwa
Ukiona wanaruka vituo, ujue pdf ijayo itakuwa imeshiba zaidi kikubwa tukubali foleni tuMAY naona kuna VITUO vinarukwa sana...daah..watu wana KIU
Si wale maprogrammer mkuu au sio walee kwnye mkeka?Wanangu wa ega, duwasa na wcf naona bado hatujafikiwa🙏
Hongera sana kiongozi , umepata taasisi gani, au ndio umebahatika kuingia kwa wakandaji kuongeza ngumuNamimi leo nimeangukiwa hatimaye the pursuit of happiness at last.
kwa niaba ya wote waliolamba asali hvi karibuni congrats champ, kwaheri huku juani . ukawe mtumishi mwema champNamimi leo nimeangukiwa hatimaye the pursuit of happiness at last.