mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
Mkuu sawadogo bado hujafikiwaa?kitaa jua kali balaa ukilamba asali
usitoe sadaka kanisani na msikitini pekee
mshukuruni MUNGU hata kwa kuwagusa watoto yatima,walemavu na watoto wa mtaani kwa wema huo ambao MUNGU kawatendea
KilimoHongera sana kiongozi , umepata taasisi gani, au ndio umebahatika kuingia kwa wakandaji kuongeza ngumu
Sawa kakakwa niaba ya wote waliolamba asali hvi karibuni congrats champ, kwaheri huku juani . ukawe mtumishi mwema champ
Namimi leo nimeangukiwa hatimaye the pursuit of happiness at last.
Am here to prove wrong.
Keki ya Taifa ineniangukia Jana nmelamba asalii baada ya kupigiwa simu nikiwa shambani na Jamaa yangu tulokutana kwenye Usaili na kunipa hongera zangu. Yeye pia kailamba asali hio.
Mungu katushika mkono.
Emeeeh
Hongera sana! Kuchaguliwa kwako kunatoa matumaini kwa wanaosubiri!. Nenda ukawe mtumishi mwema ambalo Taifa litakuwa na sababu ya kujivunia!! Hongera sana!!Namimi leo nimeangukiwa hatimaye the pursuit of happiness at last.
Shukrani kakaHongera sana mkuu,
Nakutakia mafanikio katika kazi yako hiyo mpya, pia kumbuka kutoa Shukurani kwa mafanikio hayo.
Mwisho, furahia mafanikio hayo pamoja na ndugu na jamaa zako kwan haikuwa rahisi.
Shukrani kaka
Hongera sana mkuu.Namimi leo nimeangukiwa hatimaye the pursuit of happiness at last.
Kuna pdf huko jamani
Oyaa kuna li pdf la asali huko
Hongera sana mkuuNamimi leo nimeangukiwa hatimaye the pursuit of happiness at last.
Mungu anajua ni namna gani nasubiri ku comment kama hiviNamimi leo nimeangukiwa hatimaye the pursuit of happiness at last.
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwemaNamimi leo nimeangukiwa hatimaye the pursuit of happiness at last.
Watu wa Mungu tumtake Bwana na Nguvu zake,tumuombe Yesu....Hivi ni kwa nini huwa wanatoa majina nusu nusu kwa nini isingekuwa wakitoa placement za mwezi husika wanatoa majina ya wote waliofanya huo mwezi ili pdf ijayo waliofanya mwezi unaofuata wajiandae kusubiri huku wakijua kwamba
wa mwezi wa
Mzee vipi mbona unageuza uzi kanisaWatu wa Mungu tumtake Bwana na Nguvu zake,tumuombe Yesu....
Ulimwengu huu wa nyama unatudanganya sana hizo post watu washazipata kwenye ulimwengu wa Roho.
Tazama Mhubiri anasema Yote ni ubatili mtupu.......
Tuombe Neema ya Mungu, Toba na Rehema ya Yesu tuzione mbingu. Hayo mengine ni ya kupita tazama ya faa nini tangu sasa ukaishi kwa mali na utajiri mkubwa, hatimaye ukamezwa kuzimu.
Bwana ututazame Taifa lako, Okoa watu wako ,utupe neema yako tujaze Roho wako tukupendeze wewe Mungu.
Jamani Yesu, Yesu,Yesu,Yuseu... hilo jina nibalaa,Lina nguvu sana Limepewa mamlaka yote,mbinguni, Duniani na kuzimu.Yaani wewe hata ukibisha ila Huyu Yesu tumemsahau ndio maana tuna hangaika leo, Hilo Jina Yesu ni MOTOOOOO ULAO..., nibalaaa tushituke vijana tumtake bwana na nguvu zake haya mengine ni hamna kitu kabisa,tuogope Yule anae weza angamiza Mwili na Roho..Yesu ni Mungu.
πππππMzee vipi mbona unageuza uzi kanisa