HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongereni wote mliolamba Asali, hakika Asali ni nzito ina Quality ya viwango vya ISO.

Wale mnaoenda kuwa wakandaji, kila la kheri, kadumisheni wema, uadilifu pindi mnapotekeleza majukumu ya kuwahudumia Jobless
 
mimi ni christian , ila mkuu stand katika maudhui ya uzi na sio udini hii inaweza tugawanya watafutaji
 
Hongereni wote mlioramba asali, mkawe watumishi wema.

Lakani wakandaji wapya mliopata shavu PSRS mkawe chachu kwenye vikao vyenu kuhusu agenda ya uzi huu msitusahau na msiwasahau wataokuja baadae.
Wakandaji wapya wasisahau #MATOKEOYAORALNIHAKIYETU
Na watudondoshee humu sababu wanazotoa ni ZIPI, hadi kupelekea USIRI HUU MKUBWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…