SureViwango vya posho ni vile vile ila mtazidiana kwa kuzipata hizo posho.
Ukiwa na shughuli nyingi za kukufanya upate posho hauwezi kulingana na ambaye hana shughuli nyingi za kumfanya apage posho.
Mtu wa Wizara anaweza akawa na safari za hapa na pale, hapo anapata posho ukilinganisha na yule ambahe hana visafari.
Asante sana kakaHongera sana madam The firstone ,
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi kabisa, Kumbuka kutoa Shukurani kwa mafanikio hayo.
Mwisho, nakutakia utendaji wenye weledi katka majukumu yako.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Baada ya chuo maisha hayana formula, wapo wanaotoboa papo hapo after Uni na wapo wanaopitia mchakato wa kawaida wa kujipata ambao maximum ni 2-5 Years.
Hili kundi la pili, kwa kawaida kuna kipindi cha mpito huwa nakiita (Post-Uni Trauma) ambapo kwa sababu ya presha ya ndani na nje utatamani kila kazi halali na utaomba kila kazi iliyo mbele yako.
Funny part about this ni kwamba, 90% ya hizo kazi hutopata, na utazopata zitaishia kuku disappoint tu maana zote zitakua nje ya expectations zako sababu uliziomba out of desperation etc.
Utashuhudia wenzio/classmates wanaanzisha familia nzuri, wengine wanapata kazi nzuri, wengine utawapoteza mazima, wengine watakua madalali ili mradi kila mtu atapambania ugali wake.
Ukipanic sana unaeza amua kurudi home kwa kipa kuchek mambo yakoje huku unaskiizia ajira za Ajira Portal kama kitu pekee cha maana unachoskiizia ambazo hata ukiitwa interview utakupa posts ni 40 na watu mpo 10,000
Mtaani kwenu utakutana na wanao mlokua na kusoma nao O level, Primary washakua na mifumo yao ya kuishi na kimsingi katika context yao washatoboa.
Wale ulowaonaga miyeyusho kwa kuzaa mapema you'll find out wamekuza na watoto wao ni wakubwa na wazuri kweli kweli. Utakata tamaa, utaichukia elimu yako, utakosa vitu vingi BUT baadae utapiga mshindo mmoja na kila kitu kitabaki history.
One good thing about education is that, inaeza chelewa kukulipa ila siku ikikulipa ni inakulipa mazima mazima na utafanya kila kitu uliwahi tamani smoothly & in a decent manner.
Tuishi hapa. By nkololo
Halafu kuna wale ambao miaka zaidi ya hiyo mitano na wengine zaidi ya 10 wanajitafuta tu na hawajipati. Inafika mahali mtu unajiuliza kama kweli wewe ni binadamu wa kawaida kama wengineBaada ya chuo maisha hayana formula, wapo wanaotoboa papo hapo after Uni na wapo wanaopitia mchakato wa kawaida wa kujipata ambao maximum ni 2-5 Years.
Hili kundi la pili, kwa kawaida kuna kipindi cha mpito huwa nakiita (Post-Uni Trauma) ambapo kwa sababu ya presha ya ndani na nje utatamani kila kazi halali na utaomba kila kazi iliyo mbele yako.
Funny part about this ni kwamba, 90% ya hizo kazi hutopata, na utazopata zitaishia kuku disappoint tu maana zote zitakua nje ya expectations zako sababu uliziomba out of desperation etc.
Utashuhudia wenzio/classmates wanaanzisha familia nzuri, wengine wanapata kazi nzuri, wengine utawapoteza mazima, wengine watakua madalali ili mradi kila mtu atapambania ugali wake.
Ukipanic sana unaeza amua kurudi home kwa kipa kuchek mambo yakoje huku unaskiizia ajira za Ajira Portal kama kitu pekee cha maana unachoskiizia ambazo hata ukiitwa interview utakupa posts ni 40 na watu mpo 10,000
Mtaani kwenu utakutana na wanao mlokua na kusoma nao O level, Primary washakua na mifumo yao ya kuishi na kimsingi katika context yao washatoboa.
Wale ulowaonaga miyeyusho kwa kuzaa mapema you'll find out wamekuza na watoto wao ni wakubwa na wazuri kweli kweli. Utakata tamaa, utaichukia elimu yako, utakosa vitu vingi BUT baadae utapiga mshindo mmoja na kila kitu kitabaki history.
One good thing about education is that, inaeza chelewa kukulipa ila siku ikikulipa ni inakulipa mazima mazima na utafanya kila kitu uliwahi tamani smoothly & in a decent manner.
Tuishi hapa. By nkololo
Kuna wale familia inakuulizaa mbona wenzio uliosoma nao wanafanikiwa kwanini wewe pekeako maisha hayana muelekeo?Halafu kuna wale ambao miaka zaidi ya hiyo mitano na wengine zaidi ya 10 wanajitafuta tu na hawajipati. Inafika mahali mtu unajiuliza kama kweli wewe ni binadamu wa kawaida kama wengine
Aise we acha kabsa,,Halafu kuna wale ambao miaka zaidi ya hiyo mitano na wengine zaidi ya 10 wanajitafuta tu na hawajipati. Inafika mahali mtu unajiuliza kama kweli wewe ni binadamu wa kawaida kama wengine
Hii n mim kbsa [emoji3], classmate wangu wa primary kapata kazi juzi tu hiz za LGA.. kila siku naulizws mbna mwenzako kapata.?Kuna wale familia inakuulizaa mbona wenzio uliosoma nao wanafanikiwa kwanini wewe pekeako maisha hayana muelekeo?
[emoji2]Hii n mim kbsa [emoji3], classmate wangu wa primary kapata kazi juzi tu hiz za LGA.. kila siku naulizws mbna mwenzako kapata.?
Sasa bora ilo, mbaya zaid n kwamba madogo zetu saiz wakikataa shule excuse yao wanasema "mbna kaka/dada kamaliza chuo lakn hamna anachofanya miaka nenda rudi".
Majuzi tu imenitokea hii, dogo kakataa shule anataka kucheza mpira tu, nmeumia alivyonitolea mfano mm aise. Ila nmemsupport maamuzi yake. Siku nikitoboa lazma nimwambie nilivyojisikia siku iyo alivyonitolea mfano.
Baada ya chuo maisha hayana formula, wapo wanaotoboa papo hapo after Uni na wapo wanaopitia mchakato wa kawaida wa kujipata ambao maximum ni 2-5 Years.
Hili kundi la pili, kwa kawaida kuna kipindi cha mpito huwa nakiita (Post-Uni Trauma) ambapo kwa sababu ya presha ya ndani na nje utatamani kila kazi halali na utaomba kila kazi iliyo mbele yako.
Funny part about this ni kwamba, 90% ya hizo kazi hutopata, na utazopata zitaishia kuku disappoint tu maana zote zitakua nje ya expectations zako sababu uliziomba out of desperation etc.
Utashuhudia wenzio/classmates wanaanzisha familia nzuri, wengine wanapata kazi nzuri, wengine utawapoteza mazima, wengine watakua madalali ili mradi kila mtu atapambania ugali wake.
Ukipanic sana unaeza amua kurudi home kwa kipa kuchek mambo yakoje huku unaskiizia ajira za Ajira Portal kama kitu pekee cha maana unachoskiizia ambazo hata ukiitwa interview utakupa posts ni 40 na watu mpo 10,000
Mtaani kwenu utakutana na wanao mlokua na kusoma nao O level, Primary washakua na mifumo yao ya kuishi na kimsingi katika context yao washatoboa.
Wale ulowaonaga miyeyusho kwa kuzaa mapema you'll find out wamekuza na watoto wao ni wakubwa na wazuri kweli kweli. Utakata tamaa, utaichukia elimu yako, utakosa vitu vingi BUT baadae utapiga mshindo mmoja na kila kitu kitabaki history.
One good thing about education is that, inaeza chelewa kukulipa ila siku ikikulipa ni inakulipa mazima mazima na utafanya kila kitu uliwahi tamani smoothly & in a decent manner.
Tuishi hapa. By nkololo
Halafu watu waliomaliza nyuma yako wanatoboa wewe upo tu [emoji1]Kuna wale familia inakuulizaa mbona wenzio uliosoma nao wanafanikiwa kwanini wewe pekeako maisha hayana muelekeo?
Kuna jamaa tulimaliza wote Olevel yeye akaondoka na Div IV ya 28 tuliokuwa tunakomaa na madesa tukaondoka na Div I, II n.k, kundi hili la Div one na two tukawa na furaha maana ilikuwa dalili ya mambo kunyooka.Baada ya chuo maisha hayana formula, wapo wanaotoboa papo hapo after Uni na wapo wanaopitia mchakato wa kawaida wa kujipata ambao maximum ni 2-5 Years.
Hili kundi la pili, kwa kawaida kuna kipindi cha mpito huwa nakiita (Post-Uni Trauma) ambapo kwa sababu ya presha ya ndani na nje utatamani kila kazi halali na utaomba kila kazi iliyo mbele yako.
Funny part about this ni kwamba, 90% ya hizo kazi hutopata, na utazopata zitaishia kuku disappoint tu maana zote zitakua nje ya expectations zako sababu uliziomba out of desperation etc.
Utashuhudia wenzio/classmates wanaanzisha familia nzuri, wengine wanapata kazi nzuri, wengine utawapoteza mazima, wengine watakua madalali ili mradi kila mtu atapambania ugali wake.
Ukipanic sana unaeza amua kurudi home kwa kipa kuchek mambo yakoje huku unaskiizia ajira za Ajira Portal kama kitu pekee cha maana unachoskiizia ambazo hata ukiitwa interview utakupa posts ni 40 na watu mpo 10,000
Mtaani kwenu utakutana na wanao mlokua na kusoma nao O level, Primary washakua na mifumo yao ya kuishi na kimsingi katika context yao washatoboa.
Wale ulowaonaga miyeyusho kwa kuzaa mapema you'll find out wamekuza na watoto wao ni wakubwa na wazuri kweli kweli. Utakata tamaa, utaichukia elimu yako, utakosa vitu vingi BUT baadae utapiga mshindo mmoja na kila kitu kitabaki history.
One good thing about education is that, inaeza chelewa kukulipa ila siku ikikulipa ni inakulipa mazima mazima na utafanya kila kitu uliwahi tamani smoothly & in a decent manner.
Tuishi hapa. By nkololo
Yeah!!! Mkuu..Baada ya chuo maisha hayana formula, wapo wanaotoboa papo hapo after Uni na wapo wanaopitia mchakato wa kawaida wa kujipata ambao maximum ni 2-5 Years.

Lizika na ulicho nacho kweny maisha hatuwezi KULINGANA ...kuna watu waliingia kweny siasa nao ni madac,ras, wakuu wa wilaya, wabunge n.k haoMimi nilipata kazi Mara baada ya kumaliza chuo 2011 nikapangiwa halmashauri moja ndani ndani huko. Mmoja wetu baada ya form six hakwenda chuo baada ya kukosa mkopo alikaa mtaani akapigika kidogo na sisi tuliopata kazi tulijiona tumetoboa. Ninavyotype hapa jamaa yule ni Captain JWTZ. Akikusanya posho zake ndio mishahara yetu mbuzi ya halmashauri
Yeah!! JW Kuna maisha sana.Mimi nilipata kazi Mara baada ya kumaliza chuo 2011 nikapangiwa halmashauri moja ndani ndani huko. Mmoja wetu baada ya form six hakwenda chuo baada ya kukosa mkopo alikaa mtaani akapigika kidogo na sisi tuliopata kazi tulijiona tumetoboa. Ninavyotype hapa jamaa yule ni Captain JWTZ. Akikusanya posho zake ndio mishahara yetu mbuzi ya halmashauri
Kule hadi elimu ina posho yake, yaani ukiwa na degree basi una posho ya degree yako wanaita professional allowanceYeah!! JW Kuna maisha sana.
Polisi je, wao pia wana hizo posho za elimu zao?Kule hadi elimu ina posho yake, yaani ukiwa na degree basi una posho ya degree yako wanaita professional allowance