HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna mwamba yeye alikua wa MWISHO kila siku DARASANI, Tulipomaliza Shule ya msingi, yeye akaamua kutoendelea na SEKONDARI, Maana Baba yao alifariki sisi tukiwa form two, yeye akiwa STREET, alikua anauza duka la baba yake Kariakoo, baada ya Kugawana Hela za urithi, waja wakaanza ooh..huyu jamaa hajasoma Hela zote zitaisha Kwa kula BATA maana yeye ndo alikua mfano wa watoto wa HOVYO mtaani, yani akionekana Rafiki yako basi wote mnaonekana wa HOVYO, hivi ninavyoandika jamaa ana Nyumba Kali, Magari, Familia na Biashara zaidi ya MOJA hapa JIJINI DAR...
Wale watoto wazuri tuliioendelea na SHULE ndo tunaongoza kumpiga VIBOMU TAJIRI.
Na simu nyingi za BOSS nipo mitaa ya KARIAKOO vipi upo OFISINI....😅😅😅😅
 
Yaah well said! Kwa kuongezea pia inategemea na Taasisi ikoje, kwa mfano nimewahi shuhudia mtu anakataa promotion ya kwenda Wizarani abaki katika Taasisi yake! Nadhani aliusoma upepo
 
Huu ujumbe wako nimeusindikiza na kawimbo ka bwana Lavalava - Tajiri.
 
Yaah well said! Kwa kuongezea pia inategemea na Taasisi ikoje, kwa mfano nimewahi shuhudia mtu anakataa promotion ya kwenda Wizarani abaki katika Taasisi yake! Nadhani aliusoma upepo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ni sahihi kuna taasisi ziko njema sana, imagine unaweza kuta taasisi inatoa huduma ya chakula bure, posho, salary imenona, mazingira ya kazi mazuri, hapo mtu hauna haja ya kuhangaika kwenda kwingine
 
Kitaa hakina Utani kabsa Acha tusubirie nyakati sahihi km zitafika Kwa wkt Sahihi
 
Hii Mifano uwaga kuna muda nakereka sn lkn uwezi kutoa hata Ushauri ukiwa we mwenyewe ujafanikiwa. Yani mtu anasupport Upuuz wake Juu ya miangaiko yako ya kukosa Ajira inaoneka ni Sawa tu Mtu ambae amesoma na ambae hajasoma wote ni group 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…