Wizara na halmashauri usipokuwa mkuu wa idara utaishia TGS I, kama 3.2M hii utafika baada ya kufanya kazi miaka 21.Yaah well said! Kwa kuongezea pia inategemea na Taasisi ikoje, kwa mfano nimewahi shuhudia mtu anakataa promotion ya kwenda Wizarani abaki katika Taasisi yake! Nadhani aliusoma upepo
Mada yetu pendwa, Nimesikia kuna SELECTED inakua ya kijani halafu βfor oral interviewβ¦β¦.βni black na nyingine inakuwa ya kijani yote kwenye web wataalam watujuze ina maanisha nini wizy πWazee wa SELECTED na NOT SELECTED for oral ... STATUS ya WEB vs APP..mpoo?
Hii ni ngumu sana kamwe hawataweza kuja kutoa matokeo ya oral yani huwezi kujua ni kusubiri tu PDF#MATOKEOYAORALNIHAKIYETU
Wazee wa SELECTED na NOT SELECTED for oral ... STATUS ya WEB vs APP..mpoo?
Ukitaka ku prove mpigie mwenyewe akwambie nami ilikuwa ivo nilikuwa Nina mawenge vibayaMada yetu pendwa, Nimesikia kuna SELECTED inakua ya kijani halafu βfor oral interviewβ¦β¦.βni black na nyingine inakuwa ya kijani yote kwenye web wataalam watujuze ina maanisha nini wizy π
Haukumuuliza hili swali kwamba kwa nini wanatumia muda mrefu kutoa placementπππ€π€Ukitaka ku prove mpigie mwenyewe akwambie nami ilikuwa ivo nilikuwa Nina mawenge vibaya
+255784398259
Ewaaaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haukumuuliza hili swali kwamba kwa nini wanatumia muda mrefu kutoa placement[emoji23][emoji23][emoji36][emoji36]
Honest nilikuwa nime focus kwenye status maana wadau walitaka kuniua kwa presha umuHaukumuuliza hili swali kwamba kwa nini wanatumia muda mrefu kutoa placementπππ€π€
Dah ayseee kumbe wana response nzuri ivyoo? inabid waulizwe swali la huu uzi????Honest nilikuwa nime focus kwenye status maana wadau walitaka kuniua kwa presha umu
Ko akalicheki jina langu akaona liko fresh akasema subilia mkeka, kutokana na panelists walivyokujazia
Nikamdadavua kwa mbali kuhusu placement akasema inatokana na burget ya taasisi husika
Huyo jamaa yuko pisi Sana unaweza kumpigia akakupa majibu yote
Ila kuwa mvumilivu huwa anakuwa busy Sana na simu anapokea mara moja moja
Ni mtu safi Sana.
Dah ayseee kumbe wana response nzuri ivyoo? inabid waulizwe swali la huu uzi????
Unaweza kumtafuta mkuu ili upate majibu ya swali lako.Dah ayseee kumbe wana response nzuri ivyoo? inabid waulizwe swali la huu uzi????
vijana tunateseka
ππππ StatusAchana na ayo mambo subili PDF nilimpigia simu it wa utumishi iyo app inakuwa inaleta majibu yasiyo sahihi ndo maana huwa inabadilika badilika ko relax mzee.
Kumekucha tenaπ€£π€£π€£ππππ Status
Mjadala wa status unakuwaga mzito humu, sasa kwa huo ushuda wako kwa IT naona utaenda kukusa nguvu humuKumekucha tenaπ€£π€£π€£
Sawa mkuuπUkitaka ku prove mpigie mwenyewe akwambie nami ilikuwa ivo nilikuwa Nina mawenge vibaya
+255784398259
Hapo kwenye "HAWATAWEZA"...KWANIINI?Hii ni ngumu sana kamwe hawataweza kuja kutoa matokeo ya oral yani huwezi kujua ni kusubiri tu PDF