Kaka issue si kutoa majina. Issue ni utayari wa taasisi inayo ajiri. kamaa taasisi imeshajipanga ipo tayari kuwapokea PDF linatoka chap
Basi acha tuendelee kusubiri
Acha mambo ya hear say hapa, ni akina nani unaowajua wana selected for oral hawajapata ajira ? ,Halafu tuonyeshe huo ushuhuda hapa usituandikie upuuz wa jamaa yangu , jamaa yako who ?Alafu kuwa selected for oral sio kupata kazi wangapi Wana selected for oral na kazi hawajapata ?
Asali gani ndg yng sema si ni wale wa Kozi inayokutaka kuomba Kazi kwenye Taasisi 1 tu na hv ss hyo Taasisi imejitoa PSRS so Uvivu wa kuwafatilia Lzm Uwepo maana hakuna taarifa itayokunufaisha wala kukufurahishaUmeshalamba asali?
Ubarikiwe kwa kututia moyo.... wakati wa Mungu ndiyo wakati sahihi huwa hauchelewi wala hauwahi, Acha tujipe moyo kuna siku tutakuja kutoa ushuhuda hapaMm nawatia moyo endeleeni kupambana. Binafsi niliajiriwa kupitia mfumo huu na wala sikuwa namjua mtu, wala sikutoa chochote. Nilifanya interview mwezi 11 na nikaitwamwezi wa 3 what a wait [emoji2361]
Lakini pia taasisi niliyopo nimeshasimamia Saili zaidi ya 5 Psrs. Najua sana mambo huwa yanakwendaje.
All in all Utendaji wa haki ni zaidi ya 80% na 20% ni changamoto za kibinadamu.
hakikisha unafanya interview nyingi iwezekanavyo na hakikisha unaitwa Oral interview na unafanya. Utajiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata kazi serikalini.
Mi nilijua nipo peke yangu kumebe team NOT SELECTED FOR ORAL wapo wengi tuThe same na watu wengi ipo ivo kwa interview za mwezi wa sita apa ni wengi wanaogopa madongo ya umu
Tupo mkuu, watoe nyingine at least tuwe na received tuendelee kusubiri.Mi nilijua nipo peke yangu kumebe team NOT SELECTED FOR ORAL wapo wengi tu
I mean mkeka umetoka kaangalieniMjema umetoka kaangalieni
Acha ubishi Selected for Oral baada ya Oral Interview inakupa tumaini la kuwa Umeweza kufikisha Pass Marks yao lkn kupata Kazi inategemea na Nafasi zilizopoAcha mambo ya hear say hapa, ni akina nani unaowajua wana selected for oral hawajapata ajira ? ,Halafu tuonyeshe huo ushuhuda hapa usituandikie upuuz wa jamaa yangu , jamaa yako who ?
Toa screenshot hapa
Usituone wajinga
alijitokezaga mmoja,watu walimjia juu sana .alikua na not na akadai alipata kaziTangia huu uzi umeanza nimesoma comment zote kuanzia ya Kwanza ya mwanzilishi wa huu uzi mpaka muda huu hii comment ninayoandika mimi sijawahi kuona mtu mwenye not selected kapata kazi kwa shuhuda zilizotoka humu so far , never
Tuma humu mkuu. Kule website naona haifunguki sasa hiviKumekucha huko
Huo mkeka wenyewe una kurasa ngapi kwanza (tuanzie hapo) ?mliopata..hongereni.