mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
mwili mmoja ila unarangi tatu kisa msoto mkuu,Tunadhalilika sana asee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata miminimeshangaa kule juu kuna mdau kasema waweke hadi SELECTED FOR DATABASE [emoji16][emoji16] Leo hii umepata 50 sijui 60 halafu mko 2998 huko na kila siku watu wanafanya interview na kupata marks za juu usipofikiwa si bado utalaumuukiwa unapitia pumzi ya moto ya mtaa, kila jambo la psrs unaona hawako fair kabisa. ila ukweli ni kwamba kuna vitu hata tuvipiganie vipi ningumu kufanyiwa kazi ikiwemo la
1.matokeo ya oral
2.uwazi wa database
yote sababu ratio ya fursa za ajira na wasaka ajira = 000.1 kabisa.
unaweza pasua oral lkn umezidiwa na wenzio ukawa database na nafasi isipatikane !je ukiwekwa wazi c utawalaumu sana psrs!
vibali vya ajira vyenyewe vinatoka kutokana na mood ya rais then utumishi wanawapa mandate Secretariat waendeshe mchakato mzima wakuu tuendelee kukaza japo ni kweli mtaa unatu dhalilisha majobless
umeona eeh mkuuHata miminimeshangaa kule juu kuna mdau kasema waweke hadi SELECTED FOR DATABASE [emoji16][emoji16] Leo hii umepata 50 sijui 60 halafu mko 2998 huko na kila siku watu wanafanya interview na kupata marks za juu usipofikiwa si bado utalaumu
Hata miminimeshangaa kule juu kuna mdau kasema waweke hadi SELECTED FOR DATABASE [emoji16][emoji16] Leo hii umepata 50 sijui 60 halafu mko 2998 huko na kila siku watu wanafanya interview na kupata marks za juu usipofikiwa si bado utalaumu
Haiwezekani wewe kufuta ni hadi uwaandike barua waondoe wao wenyewe kwenye systemMsaada jinsi ya kufuta vyeti kwenye akaunti yangu ya ajira portal
Sikuhizi wanadhibiti sana multiple placements. Uwezekano huo ni mdogo mno kuelekea kwenye haupo kabisa.Hivi wadau Kuna uwezekano wa mtu kupata placement mbili kwenye interview mbili tofauti?mfn mtu amefanya usahili TPdc,then akafanya Tena usahili LGAs na MDAs, placement ya Lg ikawahi kutoka,kapangiwa halmashauri x,je Kuna uwezekano wa kuitwa Tena TPDC km alifanya vizuri??
Inategemea interval ya placement moja na nyingine. Kama placement moja imetoka January na nyingine June inawezekana kabisa.Hivi wadau Kuna uwezekano wa mtu kupata placement mbili kwenye interview mbili tofauti?mfn mtu amefanya usahili TPdc,then akafanya Tena usahili LGAs na MDAs, placement ya Lg ikawahi kutoka,kapangiwa halmashauri x,je Kuna uwezekano wa kuitwa Tena TPDC km alifanya vizuri??
Babu TUTAANGALIA HEAD to HEAD...kama kwenye mpira TU, tutaangalia magoli ya kufunga na kufungwa...hawawezi kufanana kila kitu.Hata miminimeshangaa kule juu kuna mdau kasema waweke hadi SELECTED FOR DATABASE [emoji16][emoji16] Leo hii umepata 50 sijui 60 halafu mko 2998 huko na kila siku watu wanafanya interview na kupata marks za juu usipofikiwa si bado utalaumu
Kufuta vyeti na kubadilisha vyeti tofauti yake nini?Haiwezekani wewe kufuta ni hadi uwaandike barua waondoe wao wenyewe kwenye system
Babu unataka ushushe kiwango chako cha ELIMU ama?Msaada jinsi ya kufuta vyeti kwenye akaunti yangu ya ajira portal
Uwezekano upo mkubwa sana kwa sababu pia nmeona kwa marafik zangu ikitokea hvyoHivi wadau Kuna uwezekano wa mtu kupata placement mbili kwenye interview mbili tofauti?mfn mtu amefanya usahili TPdc,then akafanya Tena usahili LGAs na MDAs, placement ya Lg ikawahi kutoka,kapangiwa halmashauri x,je Kuna uwezekano wa kuitwa Tena TPDC km alifanya vizuri??
Acha tusubiri tuoneKimweku kimoja kimezima leo, kwahiyo tutarajie pdf iliyoshiba watu walete ushuhuda wa kulamba buyu la asali
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kuna mtaalamu mmoja aliniiomba PC ajaze taarifa zake kwenye ajira portal, Kwa bahati isiyo nzuri akawa amejaza taarifa zake za kitaaluma kwenye akaunti yangu ikiwa ni pamoa na Ku'upload Cheti chake kwenye akaunti yangu.Babu unataka ushushe kiwango chako cha ELIMU ama?
Kwanza eleza CHANGAMOTO gani unakabiliananayo ili upewe USHAURI mzuri, je? Kwanini unataka UFUTE VYETI?