Ukiondoa Muhas na DUCE kuna taasisi gani iliyofanya usaili January hadi Leo bado Placement?Kimweku kimoja kimezima leo, kwahiyo tutarajie pdf iliyoshiba watu walete ushuhuda wa kulamba buyu la asali
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Yeye ana elimu gani na wewe una elimu gani?Kuna mtaalamu mmoja aliniiomba PC ajaze taarifa zake kwenye ajira portal, Kwa bahati isiyo nzuri akawa amejaza taarifa zake za kitaaluma kwenye akaunti yangu ikiwa ni pamoa na Ku'upload Cheti chake kwenye akaunti yangu.
Hivyo, nataka nifute taarifa zake kwenye akaunti yangu.
Kufuta huwezi mpaka uandike Barua kwenda PSRS halafu wapigie au kama upo karibu na ofisi zao uende.Kuna mtaalamu mmoja aliniiomba PC ajaze taarifa zake kwenye ajira portal, Kwa bahati isiyo nzuri akawa amejaza taarifa zake za kitaaluma kwenye akaunti yangu ikiwa ni pamoa na Ku'upload Cheti chake kwenye akaunti yangu.
Hivyo, nataka nifute taarifa zake kwenye akaunti yangu.
Pole mkuu, Ivo unaedit Tu. Simple sanaKuna mtaalamu mmoja aliniiomba PC ajaze taarifa zake kwenye ajira portal, Kwa bahati isiyo nzuri akawa amejaza taarifa zake za kitaaluma kwenye akaunti yangu ikiwa ni pamoa na Ku'upload Cheti chake kwenye akaunti yangu.
Hivyo, nataka nifute taarifa zake kwenye akaunti yangu.
Asilimia kubwa wamejawa na ubinafsi, hawana uzalendo yaan wanaishi kwenye hii nchi kama vile wanapita Tu watahamia nchi nyingine.Divide and rule ndio wanatumia kutawala hawa viongozi wetu ila kimsingi wameshindwa kutatua challenges zinazotukabili vijana wengi
#MATOKEOYAORALNIHAKIYETU
Nenda kwenye ku edit upande wa attachment.Kuna mtaalamu mmoja aliniiomba PC ajaze taarifa zake kwenye ajira portal, Kwa bahati isiyo nzuri akawa amejaza taarifa zake za kitaaluma kwenye akaunti yangu ikiwa ni pamoa na Ku'upload Cheti chake kwenye akaunti yangu.
Hivyo, nataka nifute taarifa zake kwenye akaunti yangu.
Huoni hapo aki edit cheti cha jamaa yake kitabaki pia vip kweny kuapply akashindwa kuitwa kweny Interview wakamwambia ameweka vyeti vyenye majina Tofauti??Nenda kwenye ku edit upande wa attachment.
Then upload Tena Cheti chako.
Kama level wapo sawa na jamaa yake ku edit ni simple, ila kama Mmoja ana BACHELOR na MWINGINE ana DIPLOMA...Huoni hapo aki edit cheti cha jamaa yake kitabaki pia vip kweny kuapply akashindwa kuitwa kweny Interview wakamwambia ameweka vyeti vyenye majina Tofauti??
Ila ukichezesha asali hauwezi kulamba, Maana Index number Yako ya FORM FOUR ndo kila kitu, ikitumbukizwa TCU...inaleta majibu ...ikitumbukizwa NACTE inasema...So Hadi PDF ya asali inatoka na jina lako..ujue umesakwa kila Angle.Kama level wapo sawa na jamaa yake ku edit ni simple, ila kama Mmoja ana BACHELOR na MWINGINE ana DIPLOMA...
Hilo tatizo hawezi akalitatua Bila kuandika BARUA..
Hiyo siku hizi wameitia pini, wamepunguza goli naona labda mwanzo walipata madereva wenye DEGREE sijui.. 🤣 🤣
Wala usipoteze muda sijui kuedit nenda ofisi za psrs au wapigie waeleze tatizo lako watafuta account yako then utaanza kujaza upya taarifaKuna mtaalamu mmoja aliniiomba PC ajaze taarifa zake kwenye ajira portal, Kwa bahati isiyo nzuri akawa amejaza taarifa zake za kitaaluma kwenye akaunti yangu ikiwa ni pamoa na Ku'upload Cheti chake kwenye akaunti yangu.
Hivyo, nataka nifute taarifa zake kwenye akaunti yangu.
Tayari ushajua tofauti yake mpaka hapo, we labda uulize kirefu cha MDAWakuu hivi tofauti ya MDA vs LGA ni nini? Japo najua LGA ni local govt
Tayari ushajua tofauti yake mpaka hapo, we labda uulize kirefu cha MDA
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ministries departments AuthorityNdio Mkuu nisaidie kirefu chake
Ministry department and agency (wizara idara zinazojitegemea na wakala wa serikali)