Kuna jamaa alikosea akawapigia it alimsaidia kufuta account yake akafungua upya. Ukishaupload cheti sio rahisi kukifuta tenaKama level wapo sawa na jamaa yake ku edit ni simple, ila kama Mmoja ana BACHELOR na MWINGINE ana DIPLOMA...
Hilo tatizo hawezi akalitatua Bila kuandika BARUA..
Hiyo siku hizi wameitia pini, wamepunguza goli naona labda mwanzo walipata madereva wenye DEGREE sijui.. 🤣 🤣
Hapa kwenye kufuta akaunti ndio ninawaza maana nimefanya usaili last month - June kabla ya changamoto hii kutokea na ninasubiri placement Mungu akijalia.Wala usipoteze muda sijui kuedit nenda ofisi za psrs au wapigie waeleze tatizo lako watafuta account yako then utaanza kujaza upya taarifa
Ministry department and agency (wizara idara zinazojitegemea na wakala wa serikali)
Mwambie IT atakusaidia nini cha kufanya.Hapa kwenye kufuta akaunti ndio ninawaza maana nimefanya usaili last month - June kabla ya changamoto hii kutokea na ninasubiri placement Mungu akijalia.
Vipi wakifuta akaunti na kujaza taarifa upya si kwenye system itaonekana sijawahi omba kazi yoyote na kufanya oral interview ?
Kwanini unataka kufuta? umekosea ku upload?Msaada jinsi ya kufuta vyeti kwenye akaunti yangu ya ajira portal
Wapigie PSRS( IT wao) mueleze shida yako na jinsi unavyotaka akufanyie mabadiliko.Hapa kwenye kufuta akaunti ndio ninawaza maana nimefanya usaili last month - June kabla ya changamoto hii kutokea na ninasubiri placement Mungu akijalia.
Vipi wakifuta akaunti na kujaza taarifa upya si kwenye system itaonekana sijawahi omba kazi yoyote na kufanya oral interview ?
IT anachezea Ma Pdf karudisha Tangazo la 12 Julai.Kuna tangazo uko la nafasi za kazi mbona kama limerudiwa?
Inaonyesha litakalorekebishwa hapo zitakuwa ni nafasi za kutoshaIT anachezea Ma Pdf karudisha Tangazo la 12 Julai.
[emoji23][emoji23][emoji23]Halmashauri ndo kuna asali ambayo haijagoshiwa. Bendera chuma mlingoti chuma.
IT kachanganya folder[emoji1787][emoji1787][emoji1787]IT anachezea Ma Pdf karudisha Tangazo la 12 Julai.
Au anataka kutupia Pdf ya Kuitwa kaziniiIT kachanganya folder[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpaka mida fulani hv,usiku mnene,tutakuwa tumejua lengo lake[emoji1787][emoji1787]Au anataka kutupia Pdf ya Kuitwa kazinii
Asilimia kubwa wamejawa na ubinafsi, hawana uzalendo yaan wanaishi kwenye hii nchi kama vile wanapita Tu watahamia nchi nyingine.
Hali mbaya alafu bado utakuta vijana wanakaa kusifia ujinga na wengine ni wasomi kabisa, swala la ajira kwenye nchi hii halijapewa kipaumbele kabisa, limekaa kisiasa sanaAsilimia kubwa wamejawa na ubinafsi, hawana uzalendo yaan wanaishi kwenye hii nchi kama vile wanapita Tu watahamia nchi nyingine.
Nipo nami naisubiria kupata abcd kutokana na swali lakoSamahani naomba abcd kwa alowahi Fanya interview ya computer system analysis
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Daaah...anatishia raia...IT kala TUNGI Nini...Mpaka mida fulani hv,usiku mnene,tutakuwa tumejua lengo lake[emoji1787][emoji1787]
Au kuna mfanyakazi mpya karipoti nini? Mwamba kapangwanae meza moja? Mtoto kamchanganya...IT anachezea Ma Pdf karudisha Tangazo la 12 Julai.
ukiwa unapitia pumzi ya moto ya mtaa, kila jambo la psrs unaona hawako fair kabisa. ila ukweli ni kwamba kuna vitu hata tuvipiganie vipi ningumu kufanyiwa kazi ikiwemo la
1.matokeo ya oral
2.uwazi wa database
yote sababu ratio ya fursa za ajira na wasaka ajira = 000.1 kabisa.
unaweza pasua oral lkn umezidiwa na wenzio ukawa database na nafasi isipatikane !je ukiwekwa wazi c utawalaumu sana psrs!
vibali vya ajira vyenyewe vinatoka kutokana na mood ya rais then utumishi wanawapa mandate Secretariat waendeshe mchakato mzima wakuu tuendelee kukaza japo ni kweli mtaa unatu dhalilisha majobless