mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Nadhani anamaanisha aondoe cheti alicho-upload kwa makosa na aweke aweze ku-upload cheti chake sahihi. Cheti huwezi kukifuta!Babu unataka ushushe kiwango chako cha ELIMU ama?
Kwanza eleza CHANGAMOTO gani unakabiliananayo ili upewe USHAURI mzuri, je? Kwanini unataka UFUTE VYETI?
Wadau jibuni swala la mtaalamu.Ukiondoa Muhas na DUCE kuna taasisi gani iliyofanya usaili January hadi Leo bado Placement?
MDA&LGA tangazo la ajira la Juni 28 mwaka 2022, ambalo usaili wake wa mahojiano ulifanyika February 2023, bado hawajaitwa wote kazini.Wadau jibuni swala la mtaalamu.
January na mwaka jana kama wapo watuambiee
Huyu IT,watamshtua kesho kazini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]atoe tangazo lake hlooDaaah...anatishia raia...IT kala TUNGI Nini...
Hilo tangazo halina kosa lipo updated tu, kuna post moja imeongezwa kutoka 343 tangazo lililopita hadi 344Huyu IT,watamshtua kesho kazini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]atoe tangazo lake hloo
Wanamaanisha nn kufanya hvy kwenye system..kwann wasiongeze kwenye kuita watu kazini kwenye kitengo hicho..Hilo tangazo halina kosa lipo updated tu, kuna post moja imeongezwa kutoka 343 tangazo lililopita hadi 344
Ni changamoto kweli, lakini nadhani ni protocol tu ili mambo yote yawe wazi. Kama nafasi ni 2 basi ziwe mbili watu wajue idadi halisi inayohitajika, kuliko kuandika nafasi 1 labda watu wengine watakata tamaa ku-applyWanamaanisha nn kufanya hvy kwenye system..kwann wasiongeze kwenye kuita watu kazini kwenye kitengo hicho..
IT inaonekana hana cha kupost kaona angalau social network ihamia kwenye system ya Utumishi ila haina maana yoyote kufanya hivyo..Wasaka ajiri wanataka placement 6,000+ Psrs walizojinadi kwenye tangazo lao kukava nafasi za wazi walizosema ....Kuficha uzaifu wao kushindwa kutekeleza agizo la boss wao wa zamani Mh:Mhagama walilosema ni siasa zile.....Ni changamoto kweli, lakini nadhani ni protocol tu ili mambo yote yawe wazi. Kama nafasi ni 2 basi ziwe mbili watu wajue idadi halisi inayohitajika, kuliko kuandika nafasi 1 labda watu wengine watakata tamaa ku-apply
[emoji28][emoji28][emoji28]IT inaonekana hana cha kupost kaona angalau social network ihamia kwenye system ya Utumishi ila haina maana yoyote kufanya hivyo..Wasaka ajiri wanataka placement 6,000+ Psrs walizojinadi kwenye tangazo lao kukava nafasi za wazi walizosema ....Kuficha uzaifu wao kushindwa kutekeleza agizo la boss wao wa zamani Mh:Mhagama.....
Jobless mko serious sana na jambo lenuBabu TUTAANGALIA HEAD to HEAD...kama kwenye mpira TU, tutaangalia magoli ya kufunga na kufungwa...hawawezi kufanana kila kitu.
Labda watatukumbuka wa mwezi wa sitaNi siku nyingine tena jobless wenzangu ya utafutaji na kujipa tumaini jipya
Siyo utaratibu wa KISOMI huo....hilo ni KOSA...Hiko kimulimuli kimeandikwa NEW. Maana ya NEW ni nini?Hilo tangazo halina kosa lipo updated tu, kuna post moja imeongezwa kutoka 343 tangazo lililopita hadi 344
Very serious, HEAD to HEAD itakutoa TU mbele yangu, Maana ORAL sawa tumefungana, tutarudi Written..kama nilikupiga Ndoige..nachukua GOLDEN BOOTπ π π π πJobless mko serious sana na jambo lenu
Believe,obey fightNi siku nyingine tena jobless wenzangu ya utafutaji na kujipa tumaini jipya
Not selected for oral si inamaana hata oral hajafanya? Sasa mtu hujafanya oral interview placement unapataje?Jamaa hawezi kukupa siri za ofisi ni kosa la jinai kutoa siri kama hzo ndomana wanaishia kukupa moyo tu, kama βNOT SELECTED For oralβ usitegemee maajabu sana. Cha muhimu ni kuomba Mungu kama ridhiki ni yako utapata tu kwa wakati sahihi
Ipo ukishafanya oral inabadilika kutoka selected for oral kwenda not selected for oralNot selected for oral si inamaana hata oral hajafanya? Sasa mtu hujafanya oral interview placement unapataje?
π€£π€£π€£Mmeanza mambo ya status tusubili placement ipo ipo haipo haipo, ukikandwa ni kujipanga upya.
π π π π π π Mada pendwa....Mmeanza mambo ya status tusubili placement ipo ipo haipo haipo, ukikandwa ni kujipanga upya.