captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 958
- 2,080
Na hii ni kwa wote ata kwa wadogo zetu watakaokuja wasikutane na changamoto kama iz, naunga mkono hoja sote tupaze saut tuwe kitu kimoja.Sawa ni kweli nakubali nimepitiliza kutokana na changamoto nazozipata.
Kulalamika huku sio kwamba natafuta attention au huruma lengo ni kupaza sauti, unafikir kama wote wangecomment hapa na kulalamika nadhani ujumbe ungefika.
Huu uzi unafwatiliwa na watu zaidi ya 2M
Ila kiukweli kbsa huu mchakato wa ajira chini ya psrs umekua mrefu sana daah,kazi unasbira mwaka mzima aisee sio poa kbsaKwa mnaolamba asali tuunganeni pamoja msisahau msoto na changamoto mlizozipata tupambanie ili kwanini wanachukua Mda mrefu kweny mchakato mzima wa Ajira.
Mkuu kuna ambazo sasa zimefikisha mwaka na miezi 2.Ila kiukweli kbsa huu mchakato wa ajira chini ya psrs umekua mrefu sana daah,kazi unasbira mwaka mzima aisee sio poa kbsa
Nakuelewa sana ila tafuta ishu ya kukuweka busy maana kuipotezea website ya psrs sio kazi rahisi lazima kuwe na kitu cha kukuweka busy.Ndio bro ningeshamove on lakin kwa sasa najitahidi niachane na psrs lakin nashindwa
Dah inasikitisha sanaMkuu kuna ambazo sasa zimefikisha mwaka na miezi 2.
Wakuu sikuacha kazi na singeweza kujirisk hvy maana maisha yang ni magumu na kibarua chenyewe ni biashara ya mtu nilikua nafanya na niliomba ruhusa ya siku chache lakin oral ilisogezwa mbele hvy ilinibid kubaki Dodoma sikuwa na uwezo wa kifedha na between hapo nasubiria oral tuliitwa interview nyingine written but kwa hii sikufanya vizur maana boss alikua ananisumbua mno na akasema nisirud job nilipata depression kubwa ukizingatia fedha ndgo niliyoitunza iliishia kwenye usahili
dah labda tuombee tu sku 1 mkubwa wa serkalini huko apitie huku aone vijana wanavyoumizwa na hii haliMkuu kuna ambazo sasa zimefikisha mwaka na miezi 2.
Hizi nafasi mbona ukiingia kwa akaunt ili kufanya application hazionekani je ni kwa wote au kwangu tu?Makumbusho ya taifa asali yake ikoje wadau?
Yaap, piga ua oral hamuwezi kufanana Kila kitu, panelists watatafuta tu weakness ya mmoja na itapatikana na hautakataa hata wewe mwenyewe.Tunaposema theoretically ok, maana yake tunakubali huo utaratibu wa umri kutumika maana ni suala la kikanuni. Inapokuja kiuhalisia, probability ya mtu kulamba asali kwa kuwa tu amemzidi mwenzake umri ni ndogo mno kiasi cha kuwa kama hamna kabisa!! In practice si rahisi kwenye oral interview watu wawili wafanane kila kitu kisha watofautishwe na umri tu!!
Hapana usikate tamaaAsante hapa nawaza nifute Kila kitu niachane na psrs labda nafasi yangu itapata amani.
comment ya mwaka hiiNakuelewa sana ila tafuta ishu ya kukuweka busy maana kuipotezea website ya psrs sio kazi rahisi lazima kuwe na kitu cha kukuweka busy.
Performance ya usaili wa oral PSRS inakua quantified in numbers (marks). Chochote kinachokua assessed kinapewa marks (hii inajumuisha aspects zote za personality pamoja na majibu ya maswali "ya kazi husika").Yaap, piga ua oral hamuwezi kufanana Kila kitu, panelists watatafuta tu weakness ya mmoja na itapatikana na hautakataa hata wewe mwenyewe.
Ukiambiwa MWENZAKO alikua SMART kukuzidi wewe? Utabisha?
Confidence yako ya MCHONGO?