HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
You have nailed it,
Hongera sana.
 
Wana tuendelee kupambana, Mimi nilichoona humu SHUHUDA ni NYINGI..Tunalamba ASALI...Haipiti PDF bila kutoa MTU humu, kwa hilo tujipongeze ni eneo ambalo lina MADINI sana..
Wale mnaokata tamaa, nawasihi sana MSIWEKE SILAHA CHINI..
 
Tupo tofauti mkuu wengine wana maisha tyri so sio kitu cha kuwastua,sisi wenye njaa tusio na ramani ndio tunaofrhi sana

Tunatofautiana kuna sisi watoto wa maskini ambao tuna watu nyuma walijinyima ili tusome ili walau tukipata tulete unafuu kidogo kwenye familia furaha zetu haziwezi kufanana na za wengine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kabisa kaka

Kweli mkuu kuna wengine kipindi anaenda kupiga Interview unakuta hajapata asali labda private sasa mpaka Utumishi wanakuja kumchukua unakuta ashalamba asali private. Kwahiyo anaona kawaida.

Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…