dah hongera na pole sana.DUCE tu Mimi nimeanzia chuo Cha mwalimu nyerere kigamboni mzee,kila usahili nikiitwa nilienda,utumishi wamenikanda kinoma saili 12 alafu oral nikaingia Mara 3,moja ya MDAs ndo imenipa kazi mwaka huu
Mkuu utatoboa psrs wako fair sana ni kumuomba Mungu tu na jitihada.
Siku mtu unaenda kuchukua barua yako ya kazi ile feeling siwezi kuielezea unajisemeza moyoni kweli ni mimi huyu?[emoji28]
Na huku ukijiuliza yale mambo ya kuedit barua za kuombea ajira ndio basi tena?[emoji28]
Vuta picha ukiwa unatoka nyumbani asubuhi na kuelekea kazini.
Yaani siku ukipata kazi serikalini hata watu waseme kuwa kuna connection huwa unaona ni maneno ya vijiweni tu hayana ukweli wowote na ni kweli kule connection mbinde sana.
Siku zote huwa na msemo wangu kuwa mtu aliepata kazi kwa connection huwa hayajui machungu ya mojobless wanavyo suffer kupambania kombe kwenye usaili wa mamia ya watu au maelfu kuwania nafasi chache hatimae kuibuka kidedea.
Naamini wote humu tutalamba asali ni swala la mda tu.
DUCE tu imi nimeanzia chuo Cha mwalimu nyerere kigamboni mzee,kila usahili nikiitwa nilienda,utumishi wamenikanda kinoma saili 12 alafu oral nikaingia Mara 3,moja ya MDAs ndo imenipa kazi mwaka hu
Hizi za MDAs ilifika muda nikakata tamaa kabisa maisha yakanishinda Arusha,ikabidi nirudi tu nyumban,vile nimekaa tu siku tatu,Mara napokea simu ya pongezi na jamaa yang,aise siku hiyo sikulala,nilikesha nacheka cheka tu usiku mzima,japo si haba,japo asali ya wizarani ni km ya halmashauri,kikubwa ni kumshukuru Mungu,maana nimechekwa sana,mpk baba majiran walimsema vibaya kwa kukosa kwang kazi kwa miaka 7Duh kweli mzee ligendary 🙌🙌 hii ndo hakuna kukata tamaa
Status zilikuaje master?Ni kuomba tu
Mungu mkuu utumishi pagumu kufika oral sio kupata kazi unaeza kufika na usitokee kwenye pdf
DUCE tu Mimi nimeanzia chuo Cha mwalimu nyerere kigamboni mzee,kila usahili nikiitwa nilienda,utumishi wamenikanda kinoma saili 12 alafu oral nikaingia Mara 3,moja ya MDAs ndo imenipa kazi mwaka huu
Za usahili upi? Kk umefanyaStatus yangu kwenye web, selected for oral, app inaonekana not selected for oral.!! Shida nn hapa wakuu au ndo nishamwagiwa mboga hvyo [emoji45][emoji45][emoji45]
Mkuu tuko wote sawa interview umepiga mwezi gani?Status yangu kwenye web, selected for oral, app inaonekana not selected for oral.!! Shida nn hapa wakuu au ndo nishamwagiwa mboga hvyo 😟😟😟
Status yangu kwenye web, selected for oral, app inaonekana not selected for oral.!! Shida nn hapa wakuu au ndo nishamwagiwa mboga hvyo 😟😟😟
Zile za MDA's na LGA'sZa usahili upi? Kk umefanya
Mkuu tuko wote sawa interview umepiga mwezi gani?
Asante sana,Ila kikubwa msikate tamaa,endeleeni kupambana km ipo IPO tu,wakati wa Mungu ndo wakati sahihiNouma Sana hongera mkuu.
Amen
Status zilikuaje master?
Na huku ukijiuliza yale mambo ya kuedit barua za kuombea ajira ndio basi tena?[emoji28]
una inspire wengi hapa jukwaaniHizi za MDAs ilifika muda nikakata tamaa kabisa maisha yakanishinda Arusha,ikabidi nirudi tu nyumban,vile nimekaa tu siku tatu,Mara napokea simu ya pongezi na jamaa yang,aise siku hiyo sikulala,nilikesha nacheka cheka tu usiku mzima,japo si haba,japo asali ya wizarani ni km ya halmashauri,kikubwa ni kumshukuru Mungu,maana nimechekwa sana,mpk baba majiran walimsema vibaya kwa kukosa kwang kazi kwa miaka 7
Sanaaauna inspire wengi hapa jukwaani
nikicheki background ya huu uzi mpaka ulipofikia ni wakongwe wachache sana ambao hatujalamba asali
ngoja tuendelee kusoma ramani
Asante sana Kaka,Ila Kaka kikubwa kila ikitangazwa ombeni bila kuchoka,huwez kujua Mungu atakupa ipi,Mimi jina Lang lilikatwa kabisa na utumishi,kuwa Sina vigezo vya kufanya usahili,ikabidi niende dodoma Psrs,wakanisikiliza nikawekwa kwenye majina ya nyongeza,nikaenda dodoma kufanya usahili wa written,sikuwa na namba ya mtihan,jamaa mmoja wa utumishi akanitoa nje aise,vile natoka tu nikakutana na boss wao mdada hivi akanirudisha ndan(walionekana wanamtetemekea),akapiga simu,na akawatumia kitambulisho changu na IT,nikawekwa kiti Cha mbele udom peke yang tu,wakat nyumba watu Mia 6 wamebanana wanasaidiana,ni Mungu tu aise,mpk kupata placement tunapitia meng mnouna inspire wengi hapa jukwaani
Dah pole sana ayseee pua honeraaa kwa kukomaaHizi za MDAs ilifika muda nikakata tamaa kabisa maisha yakanishinda Arusha,ikabidi nirudi tu nyumban,vile nimekaa tu siku tatu,Mara napokea simu ya pongezi na jamaa yang,aise siku hiyo sikulala,nilikesha nacheka cheka tu usiku mzima,japo si haba,japo asali ya wizarani ni km ya halmashauri,kikubwa ni kumshukuru Mungu,maana nimechekwa sana,mpk baba majiran walimsema vibaya kwa kukosa kwang kazi kwa miaka 7
kweli kabisa asitutoroke huyu jamaa maana uzi umepowa wakongwe wengi washapita hivi.una inspire wengi hapa jukwaani