mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
aiseehAsante sana Kaka,Ila Kaka kikubwa kila ikitangazwa ombeni bila kuchoka,huwez kujua Mungu atakupa ipi,Mimi jina Lang lilikatwa kabisa na utumishi,kuwa Sina vigezo vya kufanya usahili,ikabidi niende dodoma Psrs,wakanisikiliza nikawekwa kwenye majina ya nyongeza,nikaenda dodoma kufanya usahili wa written,sikuwa na namba ya mtihan,jamaa mmoja wa utumishi akanitoa nje aise,vile natoka tu nikakutana na boss wao mdada hivi akanirudisha ndan(walionekana wanamtetemekea),akapiga simu,na akawatumia kitambulisho changu na IT,nikawekwa kiti Cha mbele udom peke yang tu,wakat nyumba watu Mia 6 wamebanana wanasaidiana,ni Mungu tu aise,mpk kupata placement tunapitia meng mno
Mkuu, asee nimaumivu kila mahali anzia mwili Hadi maisha, asee dah hakuna pa kushika stress mwanzo mwisho, hakuna wa kumwelezea unavyoteseka akakuelewa, yaan kiujumla hakuna wa kukusikiliza kweny haya mapambanouzi huu watu wengi tunaongea lugha moja,
sirahisi mtu mwingine kujua machungu tunayopitia watu tusio na ajira ama mchongo unao eleweka
Mapambano ya kukata na shoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ni balaaaaMkuu, asee nimaumivu kila mahali anzia mwili Hadi maisha, asee dah hakuna pa kushika stress mwanzo mwisho, hakuna wa kumwelezea unavyoteseka akakuelewa, yaan kiujumla hakuna wa kukusikiliza kweny haya mapambano
muda mwingine watu wakitoa malalamiko yao inapaswa watu wawe wapole wasiwapalamie coz watu wa tress nzito.Mkuu, asee nimaumivu kila mahali anzia mwili Hadi maisha, asee dah hakuna pa kushika stress mwanzo mwisho, hakuna wa kumwelezea unavyoteseka akakuelewa, yaan kiujumla hakuna wa kukusikiliza kweny haya mapambano
Huku ni nyumban mkuu,hatuwezi kupasahau,tunapata vingi sana humu ndani,ni home of knowledgekweli kabisa asitutoroke huyu jamaa maana uzi umepowa wakongwe wengi washapita hivi.
Acha Tu kupata kazi na yenyewe ni kaziMapambano ya kukata na shoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ni balaaaa
Asante sana Kaka,Ila Kaka kikubwa kila ikitangazwa ombeni bila kuchoka,huwez kujua Mungu atakupa ipi,Mimi jina Lang lilikatwa kabisa na utumishi,kuwa Sina vigezo vya kufanya usahili,ikabidi niende dodoma Psrs,wakanisikiliza nikawekwa kwenye majina ya nyongeza,nikaenda dodoma kufanya usahili wa written,sikuwa na namba ya mtihan,jamaa mmoja wa utumishi akanitoa nje aise,vile natoka tu nikakutana na boss wao mdada hivi akanirudisha ndan(walionekana wanamtetemekea),akapiga simu,na akawatumia kitambulisho changu na IT,nikawekwa kiti Cha mbele udom peke yang tu,wakat nyumba watu Mia 6 wamebanana wanasaidiana,ni Mungu tu aise,mpk kupata placement tunapitia meng mno
DUCE tu Mimi nimeanzia chuo Cha mwalimu nyerere kigamboni mzee,kila usahili nikiitwa nilienda,utumishi wamenikanda kinoma saili 12 alafu oral nikaingia Mara 3,moja ya MDAs ndo imenipa kazi mwaka huu
Mkuu, asee nimaumivu kila mahali anzia mwili Hadi maisha, asee dah hakuna pa kushika stress mwanzo mwisho, hakuna wa kumwelezea unavyoteseka akakuelewa, yaan kiujumla hakuna wa kukusikiliza kweny haya mapambano
Soma Tangazo la Ajira vizurii hizo zitakua ni post za Kuhamia kigezo mojawapo muajiri akusainie Barua.Wakuu, hii imekaaje, niliapply kazi ya licensing officer Brela. Nmeangalia leo siko shortlisted. Reason Application Letter not Routed Through Current Employer. Sasa sijaajiriwa sehemu yeyote. Kuna mwenye changamoto Kama hii labda anishauri
Mkuu wizarani si sawa na halmashauri, wizarani kuna benefits nyingi!!Hizi za MDAs ilifika muda nikakata tamaa kabisa maisha yakanishinda Arusha,ikabidi nirudi tu nyumban,vile nimekaa tu siku tatu,Mara napokea simu ya pongezi na jamaa yang,aise siku hiyo sikulala,nilikesha nacheka cheka tu usiku mzima,japo si haba,japo asali ya wizarani ni km ya halmashauri,kikubwa ni kumshukuru Mungu,maana nimechekwa sana,mpk baba majiran walimsema vibaya kwa kukosa kwang kazi kwa miaka 7
Ujumbe mzuri broNaam!!! n siku nyingine tena.
Trh 25/july. Yan bado siku 1 huu Uzi ufikishe 1 year.
Mwanzilishi wa Uzi aliuliza "kwann psrs wanachelewa kutoa placements"
Mpaka sasa hatujapata specific answer, yan the specific reason behind this delay.
●Some wanasema the problem ni psrs wenyewe (Yan majukumu n mengi)
●Some wanasema the problem ni serikali (budget).
●Some wanasema the problem ni taasisi husika(hazina haraka)
●Some wanaamin sababu tajwa apo juu zote zinachangia.
●Afu kuna wengne ambao wao wanakuja tu na solution ya nn kifanyike to tackle this problem, regardless of the reason behind the causative factors of this delay.
●Afu kuna hawa sasa ambao wao hawatoi sababu za kuchelewa kwa placements wala hawatoi solution ya nini kifanyike. They are just there for criticising kile wengine wanasema. Some wanaenda mbali zaid either kwa kutokujua au kwa kujua, yan mtu katoa suggestion yake mwngne anakuja anasema hiyo haitakuja kutokea, ina katisha tamaa kuona hatuna mlengo m1.
If huna cha kumsaidia mtu by any means ata kwa ushauri tu basi usikae ktk angle ya kumkatisha tamaa. N Yale Yale ya wanasiasa akisimama jukwaani kuongelea vijana hana chochote cha kuwasaidia ata kwa ushauri zaid ya kuwalaumu tu, nataka kusema nini apa, n kwamba kama una solution ambayo unaona n better zaid ya iliyoletwa bas ilete tutaipokea lkn sio hii ya kukaa angle ya ku criticize mawazo ya wadau humu. Sorry kwa yule ntakua nmemkwaza kwa hili. Lengo ni 1 tu. Tuna wish Interval ya from oral to placements iwe ndogo sio kama hiv ilivyo saizi.
Uzi unafunga mwaka sasa na bado hatujapata majibu ya kwann placement zinachelewa.. watu wamekuja na suggestion ya kutoa matokeo ya oral, wengne wamesuggest kuongeza kipengele cha selected for placement,data base na not selected for any. Lkn Watu wamekuja ku criticize wanasema hicho hakitakuja kutokea na huo ndo ukweli "according to them". Kuna mdau jana kasema zamani mamb hayakua hiv, yan ilikuaga mkimaliza tu oral mnapewa majibu apo apo kama unasubiri barua au lah. Sasa hawa wanaosema "haitakuja kutokea", wanadhan psrs imeanzishwa 2022? Mbna mamb hayakua hiv huko nyuma? Any way kwenye hili nmeweka nukta am ready to be criticised too.
Some wapo na status.Naam!!! n siku nyingine tena.

Ukipangwa sehemu ambayo huikubali utaona kawaida ni furaha kupata kazi ila ukipelekwa sehemu mbovu uwa inauma aseeYani wewe kama mimi tuu nione jina kwa pdf kwanza nikiona jina iyo furaha yake siipatii picha
alafu nipande gari sasa kuelekea dom, aki nitajikuta na smile tuu kwenye gari hadi na fika dom.
Kila sehem kuna taratibu zake tuwe tunaelewa hilo neno TARATIBUSiku nikipata kuhudhuria kwenye mkusanyiko wowote ambao mheahimiwa raisi atakuwa anatoa fursa za watu kuongea kama zile za magufuliza livelive. Mimi huenda nikajitosa kuongelea suala hili la kuchelewa placement.
Pole sana mkuu inaonyesha umetupwq bush mzeeUkipangwa sehemu ambayo huikubali utaona kawaida ni furaha kupata kazi ila ukipelekwa sehemu mbovu uwa inauma asee
"Taratibu" za kufanyaje mkuu ?Kila sehem kuna taratibu zake tuwe tunaelewa hilo neno TARATIBU