HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mwingine huyu apa Ni wabishi vibaya.
Wangeondoa hii sintofahamu kwa kutoa taarifa rasmi au waweke status ya mtokeo ya oral...suala la kumsubirisha msailiwa miezi 4 anasbria jambo ambalo hajui uhakika wake sio zuri halina afya kwa wasiliwa
 
Mi navyoona amekujibu vizuri kabisa katika hilo.
Kakujibu hivo kutokana na kwamba majibu ya Oral huwa hawatoi ila raiti kama wangekuwa wanatoa majibu ya Oral angekwambia ukweli juu ya hizo aspects mbili.
Kukwambia hivo anazidi kutunza siri za Kambi
 
Mimi naona hizi mada za status tungeziacha PDF zikitoka ndo zitaamua kwa sababu unaweza kuwa na selected for oral kote na bado ukakosa na database ikakutema. Kwahiyo naoka tuwe wapole tusubiri mikeka tu
Ni kweli kbsa kikubwa kusuburia PDF...lakni PSRS watoe matokeo ya oral au waweke status aliefaulu ajijue mapema kusbri muda mrefu wanatutesa sio poa
 
Walishaamua kutofanya hivyo sasa tutafanyeje, wenye mamlaka ndiyo wananguvu ya kuamua wanavyoona ni sawa kwao kwahiyo tuwe wapole tusubiri tu PDF wakati wetu ukifika tutapata tu ata status zikiwa NOT SELECTED πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni kweli kbsa kikubwa kusuburia PDF...lakni PSRS watoe matokeo ya oral au waweke status aliefaulu ajijue mapema kusbri muda mrefu wanatutesa sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…