hahahahahahahahπππππ we jamaa unang'ata huku unapuliza. πππππππππππTatizo hamna shuhuda alie na NOT alfu akapata placement hii inatia was was kwmba zina maana π π
Sahihi KabisaOmba sana Mungu isitokee ukapelekwa sehemu mbovu, in the long run unaweza Juta kwa nini ulipata hio kazi.... Ukiwa huna kazi utaona hii kauli ya ajabu sana ila anza kazi uone.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ[emoji23][emoji23][emoji23] mtu anaamini kabisa kwamba ile NOT haina maana yoyote
Mwaka huu 2023Aysee wataalamu ivi kuna yeyote aliyefanya usaili mwezi wa kwanza lkn placement bado hazijatoka.
Ukipangwa sehemu ambayo huikubali utaona kawaida ni furaha kupata kazi ila ukipelekwa sehemu mbovu uwa inauma asee
Watu wanachukulia pouwa Halmashauri lakini kuna wadau wapo Halmashauri wapo njema tu. Huko unakuta wana Ownsource za kutosha kwahiyo hapo Mkurugenzi akiwa vizurii mambo yanaenda safi.Kuna hizo za MDAs na LDAs. Unakuta
1. Afisa hesabu - TPDC
2. Afisa hesabu - Halmashauri ya xxxx
Daaaaah hawa watu watafute baada ya miaka 2. Ni huzuni huyo namba 2.
Muhimu kuomba Mungu pia Upangwe taasisi bora.
Sio dhambi kumuomba hivyo Mungu.
π π SHORTLISTED tena. Hizi status zitatuuaMm bro wangu alipata kazi zile za TRA mwez wa 2.
Sasa nikamuuliza kuhusu status (webb & app) kama na mm labda naweza kujua maana nimefanya oral 1.
Akanielekeza yy ilivyokua
Moja baada ya written interview status zilisoma selected for oral interview both webb & app
Akaenda kufanya oral interview baada ya siku 2 toka afanye oral akaingia kwenye Webb ikawa inasomeka neno SHORTLISTED (lilikua black bila no za usahili) na app bado ilikua inasomeka selected for oral (kijani) baada ya wiki Moja kwenye Webb & app zote zikarudi selected for oral interview.
Yeye alikua anafatilia changes hizi zote na kweli majina yalivyotoka akapata.
Nimemuuliza je ikasoma not selected for oral ( akasema ukiona hivi baada ya kufanya oral ujue umefeli oral interview) hvy sio rahis kupata.
Pia walikua na wenzake kipindi hicho wanafatilia kazi za TRA ila cha ajabu ni kwamba Kuna ambao status zao zilipitia changes kama yeye na hawakupata kazi.
Alafu pia alisema kipindi kile mwezi wa 2 status za watu wengi zilibadilika kwenye app zikawa zinasomeka selected for practical interview badae zikarudi kawaida.
Toka niambiwe hvy bas nimeshindwa kuelewa status na hata kufatilia ni ngumu
Watoe placement tupate kazi popote tu, then itajulikana mbele ya safarWatu wanachukulia pouwa Halmashauri lakini kuna wadau wapo Halmashauri wapo njema tu. Huko unakuta wana Ownsource za kutosha kwahiyo hapo Mkurugenzi akiwa vizurii mambo yanaenda safi.
DUCEAysee wataalamu ivi kuna yeyote aliyefanya usaili mwezi wa kwanza lkn placement bado hazijatoka.
Nyingine ninayoijua MUHASDUCE
lakin 2022 hakuna kipole??? Au kuna ambao badoDUCE
Wakurugenzi wanakula wao tu huku chini mnaambulia shingo na miguu tena kwa tabu sanaWatu wanachukulia pouwa Halmashauri lakini kuna wadau wapo Halmashauri wapo njema tu. Huko unakuta wana Ownsource za kutosha kwahiyo hapo Mkurugenzi akiwa vizurii mambo yanaenda safi.
Mfano halisi ni mimi na mshkaji wangu. Tena Mimi nilitangulia kuajiriwa halmashauri yeye alifatia miaka 3 baadae, TBS. Sasa hivi hela yake ya mafuta ya gari kwa mwezi ndio takehome yanguKuna hizo za MDAs na LDAs. Unakuta
1. Afisa hesabu - TPDC
2. Afisa hesabu - Halmashauri ya xxxx
Daaaaah hawa watu watafute baada ya miaka 2. Ni huzuni huyo namba 2.
Muhimu kuomba Mungu pia Upangwe taasisi bora.
Sio dhambi kumuomba hivyo Mungu.
Kuna watu wamefanya oral tu, hawakuwa na written..kwny web lazima waandikiwe SHORTLISTED.π π SHORTLISTED tena. Hizi status zitatuua
Soma maelezo yake utaelewa shortlisted anayosema haina interview number na ni baada ya kufanya oralKuna watu wamefanya oral tu, hawakuwa na written..kwny web lazima waandikiwe SHORTLISTED.
Kweli kabsaaaKuna watu wamefanya oral tu, hawakuwa na written..kwny web lazima waandikiwe SHORTLISTED.
Nimemuelewa, ila kuna watu wanadhani ukishafanya oral huwezi andikiwa SHORTLISTED.Soma maelezo yake utaelewa shortlisted anayosema haina interview number na ni baada ya kufanya oral