both teams to score-YES
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 988
- 1,882
Tbs pako vzr sn..wana mishahara 2 pale..HAZINA NA WENYEWE..Na sijui kwanini hawaajiri maana wanasema hawajapewa kibari cha kuajiri[emoji57]Mfano halisi ni mimi na mshkaji wangu. Tena Mimi nilitangulia kuajiriwa halmashauri yeye alifatia miaka 3 baadae, TBS. Sasa hivi hela yake ya mafuta ya gari kwa mwezi ndio takehome yangu
Nimemuelewa, ila kuna watu wanadhani ukishafanya oral huwezi andikiwa SHORTLISTED.
Hii kauli inafanya kazi mpaka pale utakapokutana na NOTMe nadhani hakuna Uhusiano hizi Status hazina link na kupata placement Cha msingi ni Kuomba Mungu tu
Ishindwe For Jesus NameHii kauli inafanya kazi mpaka pale utakapokutana na NOT
Ishindwe For Jesus Name
Na wale wa selected for Null[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii kauli inafanya kazi mpaka pale utakapokutana na NOT
HahahahaHuu mjadala wa status naufuatilia huku nikiniwa nakunywa maji mengi moyo ueleeView attachment 2699968
Maafisa Maendeleo mko wengi sana humu kwa sasaHuu mjadala wa status naufuatilia huku nikiniwa nakunywa maji mengi moyo ueleeView attachment 2699968
JULY kweli ilikua inakabia JUU
Na wale wa selected for Null[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
August na yenyewe Inabidi itumie "HIGH PRESSING"
Wanatakiwa 800β¦...lazima wawe active...Maana si mchezo...Maafisa Maendeleo mko wengi sana humu kwa sasa
Mkuu utayari upo ww niambie ni kazi gan? Na maelekezo.Upo tayari kufanya kazi sehemu "MBOVU"?
π*Kila la kheri wana, siku yenu yaja...mtalamba tu asali"
Wameshafanya oral kitambo tu wanasubiri MkekaWanatakiwa 800β¦...lazima wawe active...Maana si mchezo...
Ila kwa utafiti wangu, Masjala ya wazi unakutana na watu "Umri umesogea kidogo, inaonekana wakiingia ORAL wanakichafua sana kwa hasira za kukaa JOBLESS kwa muda mrefu"