HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Omba sana Mungu isitokee ukapelekwa sehemu mbovu, in the long run unaweza Juta kwa nini ulipata hio kazi.... Ukiwa huna kazi utaona hii kauli ya ajabu sana ila anza kazi uone.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi elewa huyu akipata kazi ataelewa imagine uombe kazi tra afu upelekwe kigoma kutokea kanzidata tena halmashauri
 
Hawezi elewa huyu akipata kazi ataelewa imagine uombe kazi tra afu upelekwe kigoma kutokea kanzidata tena halmashauri
unaweza kuwaomba psrs wakurudishe kanzidata alafu nafasi wampe mtu mwingineπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„. Huku unawaambia sina shida miminitavumilia tuuuπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Mbona kama huongo apo kwenye web/browser kama ulivomaanisha hatuoni namba ya mtihani ili tufananishe kama ni mtu mmoja?. Inawezekana ni watu wawili tofauti umeamua kutuwekea screenshot by the way tuweke wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…