HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wazee wa status msijipe sana presha mm ninazo kwenye web na app since mwaka jana mwanzoni na placement zilishafanyika kitambo na hata waliopata kupitia database walishapata na watu kazini zaidi ya miezi 6 now.
Status inamwambia not selected for oral interview na oral interview ulifanya., unaamini hayo ndo majibu umekosa kazi 😅😅😅 ebu tutulie mimi na selected zangu miaka 3 sikuambulia kitu.
 
Status inamwambia not selected for oral interview na oral interview ulifanya., unaamini hayo ndo majibu umekosa kazi [emoji28][emoji28][emoji28] ebu tutulie mimi na selected zangu miaka 3 sikuambulia kitu.

Mm pia ninazo since mwaka jana mwanzoni lakini hola watu wakae kwa utulivu tu nothing serious as people pretend to do.
 
Kuna hizo za MDAs na LDAs. Unakuta
1. Afisa hesabu - TPDC
2. Afisa hesabu - Halmashauri ya xxxx

Daaaaah hawa watu watafute baada ya miaka 2. Ni huzuni huyo namba 2.

Muhimu kuomba Mungu pia Upangwe taasisi bora.

Sio dhambi kumuomba hivyo Mungu.

unaweza kuwaomba psrs wakurudishe kanzidata alafu nafasi wampe mtu mwingine😄😄😄😄😄. Huku unawaambia sina shida miminitavumilia tuuu😄😄😄
Hii ni kweli kabisa, sema ndo Hauna namna
 
Sina uhakika wa status kubadilika kuwa kuna mahusiano na kupata placement au kutopata, ila pia kinachosemwa huenda kikawa kweli.

Ila swala ya kupata placement inategemea na fani uliyosoma imagine mtu umesoma telecommunication au petroleum ajira zake mbinde sana kutoka zaidi ya miaka miwili zinatoka mara moja.

So database ya mtu huyu ku expire na kutopata placement ni jambo la kawaida tu.
 
Hii hapa chini ni Web status ya mtu aliyelamba asali tangu mwezi wa nne. Lakini status yake haijawahi kubadilika toka ilipokuwa "shortlisted" kabla ya usaili. Haya mambo ya status yasiwavuruge, msema kweli ni pdf ya placement!!
SHORTLISTED
Interview No:PSRS/23/4159/---.
> View Timetable
Employer: MDAs & LGAs
Job Post: AFISA UVUVI DARAJA LA II (FISHERIES OFFICER GRADE II)
2022-06-03View
 
Nakupongeza sana kwa kukomaa na kuendesha maisha ya familia!! wewe ni shujaa!!
 
Tunakalili status kumbe hakuna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…