Mzigo unaweza dondoka kesho na jumamosi
Leo kama siku imesha hvii
Leo labda watuonee huruma,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzigo unaweza dondoka kesho na jumamosi
Leo kama siku imesha hvii
Shukrani mkuu...hatuna namna..Nakupongeza sana kwa kukomaa na kuendesha maisha ya familia!! wewe ni shujaa!!
Duh ikuwa hivyo itakuwa msala aseeNa tunaweza kushangaa ikawa imeisha ivo mpaka august๐๐๐๐
Afu mwaka jana mwezi wa 8 hawakutoa placement hata moja๐ค
Kidogo wamejitaidi leo pdf inaonekana sio za juzi pdf page 2Kamati ya pongezi ikae tayari
Yani MCHECHETO....au anawarusha ROHO JOBLESS...waone kama ni PDF MBILI NZITO..kumbe ni hiyo Hiyo.IT kapagawa karudia PDF ๐ ๐ ๐ ๐
Huyu IT mbinu zake za kuchanganya jobless ni za hali ya juuIT kapagawa karudia PDF [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Waliolala jobless wakaamka watumishi wa umma,walete shuhuda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli siku njema huonekana asubuhi, shuhuda wakuu.
Umehakikisha status inasoma "Selected for Oral interview" Lkn?"JULY ni MWEZI wa neema hasa... Consistency yake ni NOMA"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umehakikisha status inasoma "Selected for Oral interview" Lkn?
Nawasoma vijana nacheka sana but Mungu awasaidie wapate maana maisha ni magumu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asubuhi tuuu...Umehakikisha status inasoma "Selected for Oral interview" Lkn?