Kwa kweli kwenye suala la ajira mama apewe maua yakeSaivi psrs wanajitahidi sanaa kutoa placement. Hongera kwao. Naomba kazi iendelee ivi ivi
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Ni kweli amejitahidi sana aisee kufuta machozi ya vijana waliowekwa bench toka 2015Kwa kweli kwenye suala la ajira mama apewe maua yake
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Nyongeza ya mshahara hupewa mtumishi baada ya kutumikia ngazi yake kwa mwaka mmoja. Kwa maana hiyo haitawahusu waajiriwa wapya. Ila ongezeko la mishahara huwa linawahusu watumishi wote wakiwemo waajiriwa wapya. Ongezeko la mishahara hupandisha kianzia mshahara kwa kila ngazi. Kwa mfano kwa sasa TGS D1 ni sh 765,000/= kwa mwezi. nyongeza yake kwa mwaka ni 15,000/= kwa hiyo nyongeza itamsogeza mtu kuwa TGS D2 sh 780,000/= kwa mwezi. Waajiriwa wapya watabaki TGS D1 765,000/=.Hivi nyongeza ya mishahara waajiriwa wapya wanahusika kwenye huo mgao??
Kutokana na shuhuda za watu hapa, huchukua kati ya wiki mbili na miezi miwili mtu kuitwa kuanza kazi baada ya kuripoti. Ila habari nzuri ni kwamba baada ya kukabidhi barua na kuzaja fomu za taarifa binafsi, unahesabika kuwa umeshaanza kazi na watu wamekuwa wanapokea mishahara hata kabla hawajaanza kazi rasmi. Ila kitu kibaya ni kwamba kama sehemu ulikoajiriwa huna ndugu katika mji huo, na huna pesa za kula na malazi, na nauli ya kurudi nyumbani huna, waajiriwa wapya wanapata shida sana kipindi hiki cha kusubiria. Wengine hulala stendi usiku na mchana hutafuta vibarua ili maadamu wapate chochote cha kuwategemeza!Habari zenu wakuu, kwa ambao walishapataga kazi kupitia utumishi hua inachukua muda gan mpka kupangiwa kituo chako cha kazi? After kuchukua barua na kuipeleka sehem husika inayoelekeza!
Yule msukuma yule....apumzike kwa amaniNi kweli amejitahidi sana aisee kufuta machozi ya vijana waliowekwa bench toka 2015
Barua kusoma mwezi wa sita sio tatizo maana ni siku ambayo mchapaji ndo aliichapa hiyo baruaKama kawa BARUA zinasoma mwezi wa SITA...ila PLACEMENT zimetoka JULY...π π π π π π
Hili jambo na lenyewe hatujawahi pata majibu yake hadi Leo....
Wewe ulifeli Mkuu,, Dogo wangu kapata hizi kazi ya Postal Clerk,,Wale wazee wa STATUS picha ya kwanza ni from APP na ya pili ni from browser na tarehe 22 mkeka ulitoka na nimekula Left ndoige so mtajiongeza wenyeweView attachment 2700060View attachment 2700062
Kwahiyo now dogo anakula zake PESA ya KUJIKIMU na WANA KITAAA..π π π π πWewe ulifeli Mkuu,, Dogo wangu kapata hizi kazi ya Postal Clerk,,
Alicheck status Hadi siku mkeka unatoka kwa App iko "Selected for oral"
Mliolamba Asali heri kwenu kitaa huku hakusomiKwahiyo now dogo anakula zake PESA ya KUJIKIMU na WANA KITAAA..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Zamu yenu inakuja MastaMliolamba Asali heri kwenu kitaa huku hakusomi
Acha kabisa na Nzi nzi kila kukichaZamu yenu inakuja Masta