watu wanaziponda halmashauri utafikiri halmashauri hakuna watu wanaondesha maisha yaoYaani sasa kama vile miaka ya nyuma katika nyuzi flani watu walivyokuwa wanatambiana vyuo walivyosoma UDSM&DITπ π
Na ma GPA waliopata vyuoni
Ila psrs kwenye usaili ndoige ipo pale pale haijalishi chuo ulichosoma au GPA uliyopata.
Ukweli wa salary scale ya eGa wanaijua wenyewe waliomo na changamoto wanazokutana nazo.
nilisema nimelamba asali serikalini, so sikua jobless na sikusema nimepata kazi Halmashauri. haikua juzi ilikua mwezi wa nne.
Kabisawatu wanaziponda halmashauri utafikiri halmashauri hakuna watu wanaondesha maisha yao
Mkuu bado hujalamba asali tu
- mkeka wa mwezi wa nne ulikuwa wa halmashauri almost, bila shaka uko halmashauri ndio maana unateseka na eGA
- Anyway mimi Niko kijiweni nakunywa kahawa nikisubiri vibarua
Nahisi kulamba asali ni connection labda.Mkuu bado hujalamba asali tu
Nikikumbuka mada ya status kipindi kile cha selected for null
Mm nilikua na nawazia kama ww lakin nimeona mshkaji wang katoboa juzi bila connectionNahisi kulamba asali ni connection labda.
Kapata kitengo gani?Mm nilikua na nawazia kama ww lakin nimeona mshkaji wang katoboa juzi bila connection
dav umesharelax mwishowe maana ulikuwa unalalamika sana vipi umeshalamba asaliMm nilikua na nawazia kama ww lakin nimeona mshkaji wang katoboa juzi bila connection
Mwamba umerudi mjini π π πHaina haja ya kupost, ww taja tu hiyo salary scale
Niko kijiweni nakunywa kahawa nikisubiri vibaruaMwamba umerudi mjini π π π
Kapata kitengo gani?
Sijapata mkuu nimeamua nipotezee tu nasubiria za TRAdav umesharelax mwishowe maana ulikuwa unalalamika sana vipi umeshalamba asali
Mungu ni mwema Tutapata tu siku mojaSijapata mkuu nimeamua nipotezee tu nasubiria za TRA
AminaMungu ni mwema Tutapata tu siku moja
Mkuu tuendelee kupiga msuli na kumuomba mungu, nahisi bado wanapembua majina.
Umefnya saili mwez wa ngapi mkuu au unaskilizia database?PSRS angusheni PDF la kumalizia mwezi na kuanzia week. Tunawaaminia sana sana msituangushe majobless wenzetu wa zamani.
π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯.