Jina gani lililorudiwa ?Psprs mbona mnarudia majina jamani? Mtu mlishapangia kituo cha kazi na Leo tena mnampangia kituo kingine hii imekaaje? Wakati kuna watu Bado wapo mtaani hawajui hatima yao
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kuna mtu alipata placement mwezi wa tano na ameshaanza kazi, Leo tena mtu yuleyule wamemuita kituo kingineJ
Jina gani lililorudiwa ?
Ukiona hivyo alifanya interview zote mbili, ila kwasasa PSRS wanajitahidi sana kuzuia Multiple selections japo zinajitokeza baadhi kwasababu wafanyakazi sio malaikaKuna mtu alipata placement mwezi wa tano na ameshaanza kazi, Leo tena mtu yuleyule wamemuita kituo kingine
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hajawai kufanya sail nyingingine zaidi ya zile za mda na lgaUkiona hivyo alifanya interview zote mbili, ila kwasasa PSRS wanajitahidi sana kuzuia Multiple selections japo zinajitokeza baadhi kwasababu wafanyakazi sio malaika
Mistke za kibinadamu nafkriHajawai kufanya sail nyingingine zaidi ya zile za mda na lga
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
ππAisee mkuu mimi natoa maoni yangu tu hakuna guarantee kwamba unatakiwa ukae mwaka ndiyo uanze kulalamikia placement ingekuwa unafanya interview halafu unakaa mwaka mzima ndo unapata majibu basi wasingetoa placement za waliofanya interview mwezi wa 5.Mzee hata miezi 2 bado unallamika waliosbri mwaka mzima au miez8 hukoo wasemaje mkuu...tuliza boli kua mpole
W
Wewe Fresh graduate sio ?
Hahah atakua katoka chuo juzi huyu π π
Mzee mbona kama una makasiliko juu ya huyo mwenzako kupata placements mbili, shida nini?Hajawai kufanya sail nyingingine zaidi ya zile za mda na lga
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
We nawe nani anamakasirikio? Nimeshangaa kama we wa juzi unayesubiria placements wakati wenzio tangu January na tupo hapa tumetulia.Mzee mbona kama una makasiliko juu ya huyo mwenzako kupata placements mbili, shida nini?
Hongera sana kiongozi, Mungu akuongoze ukawe mtumishi mwema hukoNdugu zangu, naomba niwashukuru kwa michango yenu hapa jukwaani, kiukwel kupitia uzi huu ulinipa matumaini sana katika safari yangu ya kusaka ajira, safari ni hii ni ngumu lakin naombeni kwa ambao bado hamjafanikiwa msikate tamaa, MUNGU yupo tusichoke kumuomba. Mimi ni kati ya waliotokea katika mkeka wa leo.
Hongera kaka ukawe Mtumishi nwema Data base au direct na status.. vpNdugu zangu, naomba niwashukuru kwa michango yenu hapa jukwaani, kiukwel kupitia uzi huu ulinipa matumaini sana katika safari yangu ya kusaka ajira, safari ni hii ni ngumu lakin naombeni kwa ambao bado hamjafanikiwa msikate tamaa, MUNGU yupo tusichoke kumuomba. Mimi ni kati ya waliotokea katika mkeka wa leo.
Kaa kwa kutulia acha wenge Kila kitu kitakuja kwa wakati wake, wacha waliokutangulia wapate.ππAisee mkuu mimi natoa maoni yangu tu hakuna guarantee kwamba unatakiwa ukae mwaka ndiyo uanze kulalamikia placement ingekuwa unafanya interview halafu unakaa mwaka mzima ndo unapata majibu basi wasingetoa placement za waliofanya interview mwezi wa 5.
Humu unaandika unachoona kwako ni sawa ilimradi tu hakipo nje ya mada na hakipo nje ya maadili wala kumkwaza tu.
Kwahiyo samahani sana mniache tu wazee mimi sijawaandikia nyieπ
ππππ
ππAisee mkuu mimi natoa maoni yangu tu hakuna guarantee kwamba unatakiwa ukae mwaka ndiyo uanze kulalamikia placement ingekuwa unafanya interview halafu unakaa mwaka mzima ndo unapata majibu basi wasingetoa placement za waliofanya interview mwezi wa 5.
Humu unaandika unachoona kwako ni sawa ilimradi tu hakipo nje ya mada na hakipo nje ya maadili wala kumkwaza tu.
Kwahiyo samahani sana mniache tu wazee mimi sijawaandikia nyieπ
ππππ
We haujashangaa mzee bali una makasiliko kama, umeshangaa umeshaeleweshwa ni amefanya interview zote za izo placements alizopata au laa ni makosa ya kibinadamu tu ya PSRS maana kwasasa wanajitahidi kuzuia ilo tatizo tofauti na mwanzo.We nawe nani anamakasirikio? Nimeshangaa kama we wa juzi unayesubiria placements wakati wenzio tangu January na tupo hapa tumetulia.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ndugu zangu, naomba niwashukuru kwa michango yenu hapa jukwaani, kiukwel kupitia uzi huu ulinipa matumaini sana katika safari yangu ya kusaka ajira, safari ni hii ni ngumu lakin naombeni kwa ambao bado hamjafanikiwa msikate tamaa, MUNGU yupo tusichoke kumuomba. Mimi ni kati ya waliotokea katika mkeka wa leo.
Kaa kwa kutulia acha wenge Kila kitu kitakuja kwa wakati wake, wacha waliokutangulia wapate.
KAMA IPO, IPO TU
Kabisa muhimu ni placement zitoke mapema kama hizi za watu wa mwezi wa 5 zilivyowahiYeah upo sahihi mkuu psrs wajitahid walau miezi 2 watu wawe wamepata placement
Na hauwezi kuwazuia ndio mana nikakwambia mda wako ukifika utapata tu.Sasa hao walionitangulia mimi nimewazuia vipi wasipate?