Mkuu wala hata usishangae sana.Kabisa muhimu ni placement zitoke mapema kama hizi za watu wa mwezi wa 5 zilivyowahi
Sasa badala watu wasupport kuwahi kwa placement naonekana tena nina wenge,mara sijui kwa vile mimi ni fresher aisee watu wa hii nchi tuna kazi kweli kweli ππππ
Hongera sana Masta....Direct mkuu
Hongera sana, ukakumbuke kuwa mtumishi mwema na mwaminifu!. Usisahau kuwaombea pia ambao bado wanasubiri kulamba asali ili nao Mungu awajalie bkulamba asali kama alivyokujalia wewe! Hongera sana kwa kusubiri na kuvumilia na kuendelea kuwa na imani kuwa kuna siku yako itafika kama ilivyofika ya wengine!! Usisahau kumshukuru Mungu na wazazi/walezi walioku-support kwa namna moja au nyingine!Ndugu zangu, naomba niwashukuru kwa michango yenu hapa jukwaani, kiukwel kupitia uzi huu ulinipa matumaini sana katika safari yangu ya kusaka ajira, safari ni hii ni ngumu lakin naombeni kwa ambao bado hamjafanikiwa msikate tamaa, MUNGU yupo tusichoke kumuomba. Mimi ni kati ya waliotokea katika mkeka wa leo.
Mbona unaandika pumba mzee, Yani kushauriwa asubirie wakati wake ukifika ndio kushindana kuteseka ?Mkuu wala hata usishangae sana.
Watanzania sisi tuna kawaida ya kushindana kuteseka.
Naona wadau hapo wanaonyesha kwamba wewe hauna haki ya kudai Placements kwa haraka kwa sababu wewe "haujateseka sana" kama waliokutangulia kufanya interviews.
Unajiuliza hivi lengo la mtu kama huyu ni nini haswa ?
Hongera sanaa....Ukawe mtumishi mwema kiongoziNdugu zangu, naomba niwashukuru kwa michango yenu hapa jukwaani, kiukwel kupitia uzi huu ulinipa matumaini sana katika safari yangu ya kusaka ajira, safari ni hii ni ngumu lakin naombeni kwa ambao bado hamjafanikiwa msikate tamaa, MUNGU yupo tusichoke kumuomba. Mimi ni kati ya waliotokea katika mkeka wa leo.
Kuna misteki wanafanya wanaotoka direct placement au Data base hawa save file lao kwenye system kama kumbukumbu...Psprs mbona mnarudia majina jamani? Mtu mlishapangia kituo cha kazi na Leo tena mnampangia kituo kingine hii imekaaje? Wakati kuna watu Bado wapo mtaani hawajui hatima yao
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
kabisa inabid awe mpole kuna wakongwe wanaMzee hata miezi 2 bado unallamika waliosbri mwaka mzima au miez8 hukoo wasemaje mkuu...tuliza boli kua mpole
hongera sana jobless mstaafu ukawe mtumishi mwemaaNdugu zangu, naomba niwashukuru kwa michango yenu hapa jukwaani, kiukwel kupitia uzi huu ulinipa matumaini sana katika safari yangu ya kusaka ajira, safari ni hii ni ngumu lakin naombeni kwa ambao bado hamjafanikiwa msikate tamaa, MUNGU yupo tusichoke kumuomba. Mimi ni kati ya waliotokea katika mkeka wa leo.
There you are. Mtetezi wa watesi. The same game as always.... BLAME THE VICTIM.Mbona unaandika pumba mzee, Yani kushauriwa asubirie wakati wake ukifika ndio kushindana kuteseka ?
Hata kama PSRS wanamapungufu yao mjifunze ku appreciate kile wanachokifanya haswa kwa mwezi wa saba.
All in all mimi pia ni miongoni mwa wanaosubiria hizo placements za mwezi wa6 rakini sina wenge najua mambo yanaenda kwa ratiba na sio kwa mihemko
Maana hii ni output ya ujobless uliokomaa ni makasiliko kwa kwenda mbele.Hhhhhhhhhh naona majobless wameamua kuzichapa kidogo, IT angekuwa anaonekana angetoa damu kwa vitasa vya majobless
Apa sasa ndio umeongea point, acha muda uhukumu kila mtu na apate kwa wakati wake.Humu watu wanamakAsiliko sana yote ni sababu ya ujobless kikubwa ni kuwa wapole na wenye busara huku tukiendelea kuomba Mungu. Wakati wa kila mmoja ukifika atapata tu it doesn't matter amesubiri for one week, a month or even a year.
TUWE NA AMANI WAKATI WA MUNGU NDIYO SAHIHI NA TUKUMBUKE KUWA KILA MTU ANA SAHANI YAKEππ
God's Timing is perfect: He has perfect timing: never early, never late. God is never in a hurry, but he is always on time.Humu watu wanamakAsiliko sana yote ni sababu ya ujobless kikubwa ni kuwa wapole na wenye busara huku tukiendelea kuomba Mungu. Wakati wa kila mmoja ukifika atapata tu it doesn't matter amesubiri for one week, a month or even a year.
TUWE NA AMANI WAKATI WA MUNGU NDIYO SAHIHI NA TUKUMBUKE KUWA KILA MTU ANA SAHANI YAKEππ
View attachment 2704658
Nyomi ya waombaji wa ajira kupitia PSRS wakipokea maelekezo kabla ya kufanya written interview. Hapo ni mwanza, dodoma nyomi hivyo hivyo, kadhalika Dar, Mbeya na Zanzibar!! Ila Mungu alivyop mwema kila mtu atampatia riziki yake aliyompangia!!