Champion number one
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 1,560
- 4,016
Lete feedback ya vyote Apo Anza na status?Nipo na Mkandaji wenu hapa ananiweka sawa kwenye vitu kadhaa tunavyobishana humu
Status inamchango gani kwenye ajira [emoji777]
Upendeleo , rushwa [emoji777]
Kuchelewesha matokeo ni PSRS [emoji736]
Kuchelewesha placement ni PSRS [emoji777]
Database [emoji736]
Muda wa kupata kwa kila mtu ndo tumemuachia Mungu kwa sababu kuna ambao wamefanya interview mwezi wa 5 na wameshapata na kuna ambao walifanya mwaka jana au mwezi wa kwanza na hawajapata japo kuna wenzao waliofanya nao hiyo miezi walishapata.Kwahiyo tumekubaliana kwamba hili suala la placement kucheleweshwa tumemwachia Mungu ?
Kwahiyo PSRS wanahusika kwenye kuchelewesha matokeo ila hawahusiki kwenye kutoa placement🤔🤔🤔 hapo mbona kama sijaelewaNipo na Mkandaji wenu hapa ananiweka sawa kwenye vitu kadhaa tunavyobishana humu
Status inamchango gani kwenye ajira [emoji777]
Upendeleo , rushwa [emoji777]
Kuchelewesha matokeo ni PSRS [emoji736]
Kuchelewesha placement ni PSRS [emoji777]
Database [emoji736]
yes na no hizo huzioni mkuuLete feedback ya vyote Apo Anza na status?
Wao wanahusika moja kati ya haya yanapochelewaKwahiyo PSRS wanahusika kwenye kuchelewesha matokeo ila hawahusiki kwenye kutoa placement[emoji848][emoji848][emoji848] hapo mbona kama sijaelewa
Sijaelewa mkuu ebu dadavua vizuriyes na no hizo huzioni mkuu
-Status haina maana yoyote ( baada ya oral)Sijaelewa mkuu ebu dadavua vizuri
Kwa hiyo ulitaka akwambie wanatoa upendeleo au rushwa??Nipo na Mkandaji wenu hapa ananiweka sawa kwenye vitu kadhaa tunavyobishana humu
Status inamchango gani kwenye ajira [emoji777]
Upendeleo , rushwa [emoji777]
Kuchelewesha matokeo ni PSRS [emoji736]
Kuchelewesha placement ni PSRS [emoji777]
Database [emoji736]
Hapo nimekupata mkuu, endelea kubalikiwa kwa moyo wa ukarimu nadhani Sasa umu wataelewa Sasa.-Status haina maana yoyote
-Rushwa na upendeleo haupo
-kuchelewa kwa placement sio kosa la PSRS
-Kuchelewa kuitwa written, matokeo ya written na practical ni kosa lao
Mzee wa Not selected bila shaka umepata amaniHappy nimekupata mkuu.
Acha tu, sema niliwapigia lakini amani sikuwa nayo nadhani wadau wengi wanapozidi kutoa feedback napata moyoMzee wa Not selected bila shaka umepata amani
Mlioingia oral hao 15 mmeshaanza kuitwa kazini au bado ?Acha tu, sema niliwapigia lakini amani sikuwa nayo nadhani wadau wengi wanapozidi kutoa feedback napata moyo
Ila hakuna kitu kinaumiza kama umepiga oral mtu anakukandia anakwambia
Mama jeni bye bye
Kwanza kuingia oral si mchezo
Tulikuwa watu 1005 shortlisted afu tukapita 15
Aisee umejibu maswali yote 5
Status inakuletea mawenge
Ogopa Sana moyo unaendaje sijui, usingizi hupati yaani kila kitu kinavurugwa
Mungu atusaidie.
Mungu ni mwema kaka Kama Mungu kasema utapita zingine ni changamoto tu ili ufe moyoAcha tu, sema niliwapigia lakini amani sikuwa nayo nadhani wadau wengi wanapozidi kutoa feedback napata moyo
Ila hakuna kitu kinaumiza kama umepiga oral mtu anakukandia anakwambia
Mama jeni bye bye
Kwanza kuingia oral si mchezo
Tulikuwa watu 1005 shortlisted afu tukapita 15
Aisee umejibu maswali yote 5
Status inakuletea mawenge
Ogopa Sana moyo unaendaje sijui, usingizi hupati yaani kila kitu kinavurugwa
Mungu atusaidie.
BALENSIAGA Fanya comparison eGA, tpa, tasac, tcra who is the boss of em alleGA salary scale zao ziko juu sio kama hapo halmashauri ulipo.
Mungu ni mwema kaka Kama Mungu kasema utapita zingine ni changamoto tu ili ufe moyo
Bado ata mmoja oral tulifanya 19/6/2023Mlioingia oral hao 15 mmeshaanza kuitwa kazini au bado ?
Acha tu, sema niliwapigia lakini amani sikuwa nayo nadhani wadau wengi wanapozidi kutoa feedback napata moyo
Ila hakuna kitu kinaumiza kama umepiga oral mtu anakukandia anakwambia
Mama jeni bye bye
Kwanza kuingia oral si mchezo
Tulikuwa watu 1005 shortlisted afu tukapita 15
Aisee umejibu maswali yote 5
Status inakuletea mawenge
Ogopa Sana moyo unaendaje sijui, usingizi hupati yaani kila kitu kinavurugwa
Mungu atusaidie.
MUngu akufanyie wepesi upate. At least jobless tupungue. Hivi mnajua wakitoa placement watu wakapata wanapungua kwenye database na hiyo itasaidia wengine kufikiwaNikikumbuka msoto nilio pitia udom kula mara moja, kulala kwa madogo hostel
Naishia kuomba mungu tu nauli zenyewe za kuunga unga
Namuomba mungu niwe mmoja wao
Nipate popote tu.
Cycle yangu wote wapo serikalini.
Jana wawili wameondoka.
Hakuna kitu kinauma unapambana na mtu mwisho wa siku wenzako wanatangulia wewe unabaki.
Ila mwisho wa siku ,unaelewa mafanikio yako mikononi mwa Mungu kuna siku ninaweza kuamka ikawa yangu tu.
Tuendelee kuomba tu