kitanywe 1
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 222
- 446
Mkuu wizy mambo vip? status zina ukweli?ππππTatizo binadamu huwa hatupendi kuambiwa ukweli unaoumiza sema yajayo yanafurahisha
We jamaa mkuda sana ,ulivyopata placement Ocean Road ukaamua kupotea humu mazima au sio ?ππππTatizo binadamu huwa hatupendi kuambiwa ukweli unaoumiza sema yajayo yanafurahisha
ππππkama kawa mzee unataka nikupe ukweli unaoumiza?Mkuu wizy mambo vip? status zina ukweli?
Hahahaaaa Tupe ukweli. We kwako ulivyopata OCRI Inasomaje status?ππππkama kawa mzee unataka nikupe ukweli unaoumiza?
amna we muombe Mungu tuπππHahahaaaa Tupe ukweli. We kwako ulivyopata OCRI Inasomaje status?
Hapo mpka ijumaa mkuu πIT press button tulambeπ asali si unajua lakini joto la kitaa.
Naona ka web kazitozito fanya kweliiii tunakuaminia jobless mstaafu.
π₯π₯π₯
Kwahiyo wizy upo Taasisi gani au unalinda Privacy.amna we muombe Mungu tuπππ
We jamaa upoo? Kitambooo sanaa π π π mzee wa status baba jane bye bye π πππππkama kawa mzee unataka nikupe ukweli unaoumiza?
Mbona mm ninamatumaini leo tunalamba asali yenyewe kabisaaaHapo mpka ijumaa mkuu π
We sindo ipo na maandishi mekundu au?Yale ya not nini nini sijuiπππππMbona mm ninamatumaini leo tunalamba asali yenyewe kabisaaa
Tuishi kiongozi watu wakuda sanaπππKwahiyo wizy upo Taasisi gani au unalinda Privacy.
HahahaaaTuishi kiongozi watu wakuda sanaπππ
oya nipo nitaenda wapi sasaπππbaba jeni bye bye Yani unakuta maandishi mekundu afu bado unahema kweli??We jamaa upoo? Kitambooo sanaa π π π mzee wa status baba jane bye bye π π
FIFO (FIRST IN FIRST OUT) ana Maanisha walioanza kuingia Database waitwe kwanza na ndio inavyokua NiggaPac
πππ hata yakiwa ya brue mi ni wale wasiojali statusWe sindo ipo na maandishi mekundu au?Yale ya not nini nini sijuiπππππ
Swali nzuri mkuu ngoja nipitie Kanuni au Wajuzi wanaeza kutudadavulia kuhusu Database.Mkuu hata kama Last in akiwa ana max nzuri kuliko First in wanatumia FIFO??
@Mwifwa njoo umeone baba jeni karudioya nipo nitaenda wapi sasa[emoji23][emoji23][emoji23]baba jeni bye bye Yani unakuta maandishi mekundu afu bado unahema kweli??
Bro jana wametoa mkeka mkubwa alf kimuli muli hakijazima πMbona mm ninamatumaini leo tunalamba asali yenyewe kabisaaa
Mzee wa baba jane byebye ππππ we jamaa ni hatari na status zakoamna we muombe Mungu tuπππ
ππππMzee wa baba jane byebye ππππ we jamaa ni hatari na status zako