HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Dooooh..kwahiyo wanaotoka ULAYA wanashindwa kuMENTION wanaweza kuHOW?
Basi wanatakiwa WAJIFUNZE kutoka kwetu na WAO....hiyo TUNAITA GG
 
Nilijua tyuu lazima utarudi kwenye uzi😂😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😭 porojo simple mzee lkn mziki wa psrs sio wa kitoto
 
Acha mbwembwe mkuu.
Mfano ukiulizwa "Mention three features of financial statement" ukashindwa kujibu

Basi hata ukiulizwa "How to prepare financial statement huwezi kujibu pia.
Content muhimu sana sio ya kupuuza hata kidogo
 
hahahaaa Oral mara ya kwanza usipokua makini lazma upanick
Hahaha mi nilimbwela sana asee had swali la introduce yourself nilipuyanga Ile natoka nje nachukua beg naeka sawa veti naskia ndan wanacheka....yale maswal yangekua written ningetoa content ya hatari mana yalkua mepesi sanaa sema kumbwela tu..vitu vika evaporate 😅
 
Oral za utumishi ziheshimiwe asee, kama hujui, hujui tu. Tulipiga oral ya Bunge June pale Bungeni, kwanza kabla hujaingi kwenye Oral kuna chumba unawekwa kama dk10 unaambiwa tulia humu urelax, hapo unasubiri mwenzako atoke kukandwa.

Baada ya hapo ndo unaingia kwa Oral sasa, kwanza unaingia kuba panelists 10, kulikuwa na Halima Mdee, wabunge nknk, hawa jamaa wakaweka mpaka mpiga kengele[emoji23][emoji23].

Maswali 8 afu kila swali una dakika 2 za kujibu ukichelewa kengele inagonga, mnakwenda next question.[emoji23][emoji1544][emoji1544].

Halima Mdee ndo anapanikisha Balaa, nimepiga oral nyingi ila za utumishi ni hatari aseee. Mle ndani ni kwa moto balaa.
 
Duuuh hii ilikuwa noma sana😁
 
Guyz hi,alofanya written interview nafasi ya airport security officer na airport operation officer.plz wanatoaga maswali gani
(Airport operation officer)
1.steps za kufungua mlango wa ndege
2.Aviation negative impacts
3.Steps za kufanya research
4.Activities znazofanyka hunger ckumbk vzr kama cyo hangar ni apron
5.swl lengne nmelisahau ila nahs lilideal na mambo ya taxiway au runways... Umo umo tu
Kwani TAA washatoa majina???
 
"KUPANGA ni KUCHAGUA"
Wewe KOMAA na HOW wakati WENZAKO WANAKOMAA na MENTION, then SUBIRIA PDF ya IT uone PLACEMENTS na SHUHUDA za wana wakilamba asali, hii ni VITA ya KIUCHUMI..wanangu PAMBANENI na VINAVYOULIZWA, haya MAMBO ya kujifananisha na KENYA sijui na LONDON hayana tija kwa Sasa...humu tunapeana mbinu za namna ya KUWAKANDA WAKANDAJI...
 
Tuache taasisi ziajiri zenyewe, utumishi wanachelewesha. Haya mmeachiwa TRA kikowapi? Unaenda mwezi wa 5 hakuna shortlisted. Watu walimjaza upepo mama ili wapitishe watu wao kinyemela baada ya kuona mkando wa Psrs hawauwezi.
Point kabisa kaka.... Et sababu et psrs wanawapelekea watu wasiokuwa washindani?

Vyuo vile vile , elimu ile ile why?

Hii ngoma ikamatwe na psrs tu kule tu ndio kwenye haki.
 
Kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…