HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Point kabisa kaka.... Et sababu et psrs wanawapelekea watu wasiokuwa washindani?

Vyuo vile vile , elimu ile ile why?

Hii ngoma ikamatwe na psrs tu kule tu ndio kwenye haki.
[emoji3][emoji3][emoji3]....mbona mapema tunakata tamaa kuna watu walikuwa wanaunga mkono ishu hii ya Taasisi kuajiri yenyewe tuwe wapole mwisho wa siku kuja kushtuka watu washapanga kikosi chao wengine tunaenda kuwa watazamani tu..... Tutarudi kuongea lugha moja...
Naona pic inaaza nw....
 
Mie sikuwa miongoni mwa hao waliokuwa wanapiga promo kuwa taasisi ziajiri wenyewe, na unyonge wangu nimeshakula placement yangu nimetulia kupitia psrs,,

Mwezi wa tano huu TRA wako wapi?πŸ˜…
 
Shule ya msingi nimesoma masomo yote kwa kiswahili isipokuwa somo la kiingereza na wanafunzi wote tulikuwa waswahili. Lakini pamoja na kuweza sana kuzungumza kiswahili baadhi ya wanafunzi walipata F mpaka zero wakati mwingine kwenye mitihani yao.

Nikaenda secondary nikakutana na wanafunzi yenye background kama yangu lakini pia tukakutana na watoto wa magari ya njano, ee bwana eee nusu kukimbia shule kwa kuhofia kutotoboa lkn tukakaza hivyohivyo mwisho wa siku walitushinda kwenye dabate na morning speech πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ lakini class na academic performance kiujumla tukawashinda mbaliiii na walipokwama tuliwasovia bila khiyana kwa sababu ni washkaji zetu na hawakutuoshea kwa sababu walitushinda debateπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.

Nilichojifunza uwezo wa kuzungumza lugha(nakusudia kienglishπŸ˜ƒ ) kwa ufasaha haimaanishi wewe ni smart sana.
cc. Multi skilled πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna jamaa anaitwa Blender ndio alikuwa kinara
 
MTU mwenye content ni rahisi sana kumuelekeza kazi kuliko wale You know this you know that halafu content sifuri
 
Ndio hvy camp, kuongea kingereza sio kuwa na akili, sembuse walevi mateja wanaongea kinge kilichoyooka afu mtu anapima uwezo wa mtu kwa kuongea kingereza hapo big no, labda kama unafanya kazi ya translation and interpretation labda. Sababu kazi tunazopewa ni kwenda kuhudumia wananchi na wananchi wanaongea kiswahili.
 
Mie sikuwa miongoni mwa hao waliokuwa wanapiga promo kuwa taasisi ziajiri wenyewe, na unyonge wangu nimeshakula placement yangu nimetulia kupitia psrs,,

Mwezi wa tano huu TRA wako wapi?[emoji28]

Acheni uongo, toka dirisha lifungwe ni mwezi huu 15/08 ndo mwezi wa2. Utumishi shortlisted walikuwa wanatumia miezi 6
 
Acheni uongo, toka dirisha lifungwe ni mwezi huu 15/08 ndo mwezi wa2. Utumishi shortlisted walikuwa wanatumia miezi 6
Ila kwenye taasis kama huna connection usijisumbue, borea psrs waendelee na mchakato at least wapo fair
Wanaopinga psrs ni wale wa connection labda maana taasis haiwezi lalamika eti tunaletewa watu wasio competent kwani hamna training n supervising huko kazini. Hamna aliyeanza kazi anajua wengi walifundishwa.
Ndio psrs changamoto zipo kama vile kuchukua mda mrefu kuita watu kazini na mengine kiasi
Serikali ingezidi kuboresha psrs na kutafuta suluhisho la kudumu within psrs sio tena waturudishe tulipotoka.
Inakua kichekesho kama RC mmoja aliwaambia wananchi wake msilime tena tangawizi sababu zimekua nyingi pandeni maparachichi asa nikajiuliza mfano parachichi zikazaa nying atasema tena msilime parachichi rudini kwenye tangawizi au limeni vitunguu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yani serikali itafute suluhisho kwa psrs na ingependeza ajira zote za kudumu zipitie psrs Yani zote kuanzia taasis wizara Kila mahali penye mkono wa serikali. Alafu ajira za muda mfupi zibaki kwa taasis na mashirika.
Tena serikali wangefuta suala la kujitolea ili watuajiri vijana iwe field tu kufanya bure hamna kitu na kujitolea ipigwe marufuku
Hii itasaidia taasis kutoa ajira za mda mfupi na psrs kuajiri kwa wingi
 

TRA watakuwa fair, nepotism zipo kila sehem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…