Mwanangu sasa naona upo sawa, story za vijiweni... Ukichukua circle Yako ya waliolamba asali, ukichukua shuhuda za humu, majibu utayapata mwenyewe...Borea utumishi japo kuwa wananikanda lakin bado nawaamini
Ndio mkuuMwanangu sasa naona upo sawa, story za vijiweni... Ukichukua circle Yako ya waliolamba asali, ukichukua shuhuda za humu, majibu utayapata mwenyewe...
MAPUNGUFU YAO TUSEME...TUSIACHE....watu wanapata KAZI MUHIMBILI SIKU HIZI...wakongwe wananielewa..
Kweli mkuu watu wanalamba Asali hadi TPDCMwanangu sasa naona upo sawa, story za vijiweni... Ukichukua circle Yako ya waliolamba asali, ukichukua shuhuda za humu, majibu utayapata mwenyewe...
MAPUNGUFU YAO TUSEME...TUSIACHE....watu wanapata KAZI MUHIMBILI SIKU HIZI...wakongwe wananielewa..
(Airport operation officer)
1.steps za kufungua mlango wa ndege
2.Aviation negative impacts
3.Steps za kufanya research
4.Activities znazofanyka hunger ckumbk vzr kama cyo hangar ni apron
5.swl lengne nmelisahau ila nahs lilideal na mambo ya taxiway au runways... Umo umo tu
Kwani TAA washatoa majina??? bado
Hahaha mi nilimbwela sana asee had swali la introduce yourself nilipuyanga Ile natoka nje nachukua beg naeka sawa veti naskia ndan wanacheka....yale maswal yangekua written ningetoa content ya hatari mana yalkua mepesi sanaa sema kumbwela tu..vitu vika evaporate [emoji28]
Ukweli lazima TUUSEME...wewe TPDC Ileee....UNAWEZA TOBOA pale? Tuweni WAKWELI....Kweli mkuu watu wanalamba Asali hadi TPDC
Sasa mwezi wa pili ndio siku chache hizo 😅😅Acheni uongo, toka dirisha lifungwe ni mwezi huu 15/08 ndo mwezi wa2. Utumishi shortlisted walikuwa wanatumia miezi 6
Kupitia prsrs mbona panatobolekaUkweli lazima TUUSEME...wewe TPDC Ileee....UNAWEZA TOBOA pale? Tuweni WAKWELI....
Sasa mwezi wa pili ndio siku chache hizo [emoji28][emoji28]
Kuongea rahisi kutenda sasa
Acha uwongo , TRA mwisho wa kutuma maombi ilikuwa ni 9/6 sasa kutoka hapo hadi leo tarehe 2/8 ndio miezi 5 imefika? Ukiangalia hata miezi 2 haijafika ushaannza kulalamika,, utumishi Ajira hizo hizo zilienda kwa zaidi ya Mwaka mzimaa so mama alikuwa sawa kuwaonya PSRS.Tuache taasisi ziajiri zenyewe, utumishi wanachelewesha. Haya mmeachiwa TRA kikowapi? Unaenda mwezi wa 5 hakuna shortlisted. Watu walimjaza upepo mama ili wapitishe watu wao kinyemela baada ya kuona mkando wa Psrs hawauwezi.
Usinikumbushe TANROAD ya miaka ile 2014, nilienda Certify vyeti na ushamba wangu wakanipiga kila cheti buku 7 baada ya kuwashusha kutoka buku 10. Nikaenda posta nikatuma kwa EMS elfu 13500. Tangia hapo sijasikia hata interview sio written wala oral hadi leo. Nilipouliza watu wakasema wamechukua watu wanaojitolea palepaleUkweli lazima TUUSEME...wewe TPDC Ileee....UNAWEZA TOBOA pale? Tuweni WAKWELI....
Kuna kapdf hukoUsinikumbushe TANROAD ya miaka ile 2014, nilienda Certify vyeti na ushamba wangu wakanipiga kila cheti buku 7 baada ya kuwashusha kutoka buku 10. Nikaenda posta nikatuma kwa EMS elfu 13500. Tangia hapo sijasikia hata interview sio written wala oral hadi leo. Nilipouliza watu wakasema wamechukua watu wanaojitolea palepale
Atakuwa ana test mitamboIT kaanza kutumia nini sasa hivi ???
K- vant kavuIT kaanza kutumia nini sasa hivi ???
jamaa unafurahisha jukwaa sana saiz, endelea hvi hvi mkuuIT kaanza kutumia nini sasa hivi ???
Tufurahi siku zisogee😃😃😃 muda ufike tulambe asali.jamaa unafurahisha jukwaa sana saiz, endelea hvi hvi mkuu
Hongera sana mkuu ukawe mtumishi mwemaaa.Nilifanya oral mwaka Jana mwishoni majibu yalipotoka sikuchaguliwa nikafuatilia Kwa miezi mitatu nikaacha
Nikasahau kabisa
Lakini mwezi uliopita nimefanikiwa kupata kazi